Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Mbona unakimbilia napaniki wakat mm nipo poa? Sijakuquote wewe, nimekosea nime quote wawili, sasa ndio kupaniki?
Umepaniki ndiyo maana umequote wawili. Mtu Ukipaniki uangalifu na focus inapungua ndiyo maana umeniquote na kurespond kitu ambacho sijaongea halafu unashindwa kuelewa maswali.

Umepaniki.
 
Elewa.

Miungu wengine ni amri, maswala ya sanamu ni maelezo ya kucompliment 'Miungu wengine'

Ya kumi 'Usitamani mali ya mtu mwingine''
Hahahhahaaa wewe jamaa bhana ,

HIYO YA SANAMU INASEMA MSICHONGE ....hilo neno mnaliacha na HALIPO KWENYE KATEKISIMU WHY?

KWANINI AMRI YA 10 INAGAWANYWA?

MAANA NI AYA MOJA TU , wakati amri ya kwanza mnaiunganisha na ya PILI japo hiyo ya pili hamuitaji kabisa?
 
Unajibiwa ila hutaki kukubali kwakuwa una majibu ya katekista

NAKUULIZA SASA WEWE ILI NIKUBALIANE,

KWAKUWA UNADAI AMRI YA USIABUDU MIUNGU NA KUCHONGA SANAMU NI amri moja (,ila hamsemi why NENO KUCHONGA SANAMU HAMLIWEKI)

TUKIHESABU ZITAKUWA 9,

YA KUMI IPO WAPI?
nataka nikufunge na mtego wako mwenyewe
Hahaha mimi sifanyishi mitego hapa.

Kwahiyo ulikua haujibu unaogopa kujifunga?
 
1.Usiabudu miungu wengine.
2. Usiape bure kwa jina la Mungu wako.
3. Shika Kitakatifu Siku ya Mungu wako
4. Waheshimu Baba na Mama, upate miaka mingi na heri duniani.
5. Usiue
6. Usizini
7. Usiibe
8. Usiseme uongo
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya watu.
Kutoka : 20 : 4 - Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
 
Umepaniki ndiyo maana umequote wawili. Mtu Ukipaniki uangalifu na focus inapungua ndiyo maana umeniquote na kurespond kitu ambacho sijaongea halafu unashindwa kuelewa maswali.

Umepaniki.
Acha nicheke, tu ....mimi mijadala kama.hii sijawahi na siwez kupaniki,
 
Hahaha mimi sifanyishi mitego hapa.

Kwahiyo ulikua haujibu unaogopa kujifunga?
NIMEKUJIBU, UMEGOMA KWAKUWA UNA MAJIBU YA KATEKISTA,

HAYA NIMEKUULIZA KWA HAYO HAYO MAJIBU YAKO,

NIJIBU BAS , HALAFU TUTAFIKA WHY MSEME shika kitakatifu....badala ya IKUMBUKE SIKU YA SABATO....
TUTAFIKA HAPO
 
Hahahhahaaa wewe jamaa bhana ,

HIYO YA SANAMU INASEMA MSICHONGE ....hilo neno mnaliacha na HALIPO KWENYE KATEKISIMU WHY?

KWANINI AMRI YA 10 INAGAWANYWA?

MAANA NI AYA MOJA TU , wakati amri ya kwanza mnaiunganisha na ya PILI japo hiyo ya pili hamuitaji kabisa?
Hapana kitabu chetu hakiitwi Katekisimu.

Kuna mstari wa Kutoka uliouleta wewe halafu kuna kitabu cha kipaimara ndiyo kina hizo amri kumi zenye kufanana na alizoleta mleta uzi.
 
Hapana kitabu chetu hakiitwi Katekisimu.

Kuna mstari wa Kutoka uliouleta wewe halafu kuna kitabu cha kipaimara ndiyo kina hizo amri kumi zenye kufanana na alizoleta mleta uzi.
Katekisimu,misale ya waumini na hivo vitabu vyote ,ukivyosema vya kipaimara vyote NI MAFUNDISHO YA WANADAMU KUWAPELEKA WATU MOTONI
 
NIMEKUJIBU, UMEGOMA KWAKUWA UNA MAJIBU YA KATEKISTA,

HAYA NIMEKUULIZA KWA HAYO HAYO MAJIBU YAKO,

NIJIBU BAS , HALAFU TUTAFIKA WHY MSEME shika kitakatifu....badala ya IKUMBUKE SIKU YA SABATO....
TUTAFIKA HAPO
Hapana hatuna hiyo shika kitakatifu. Kuna ikumbuke siku ya bwana na kuitakasa.

Kama hautaki kunijibu ukihofia kujifunga inamaanisha nisitarajie wewe kujibu nitakachouliza. Mimi nitakua sina la zaidi kama ni hivyo
 
Wewe bhana ,tulia hapa , NIMEKUPA MAJIBU UMEGOMA , na mimi sitaki kukuacha mtupu, nina njia nying za kukusaidia ujijibu mwenyewe

OK

KWANINI AMRI YA 10 INAGAWANYWA?

MAANA NI AYA MOJA TU , wakati amri ya kwanza mnaiunganisha na ya PILI japo hiyo ya pili hamuitaji kabisa?
 
Kama haujapaniki kwanini umeniquote na kunijibu kitu kisichonihusu?
Kwahiyo mtu akikosea kum quote mtu kapanik? Mbona una hoja dhaifu hivo?

Cimment yako na niliye mquote zilifatana,

Hebu usitoke nje ya mada TWENDE taratibu, mimi nahis wewe ndio unapaniki
 
Hapana hatuna hiyo shika kitakatifu. Kuna ikumbuke siku ya bwana na kuitakasa.

Kama hautaki kunijibu ukihofia kujifunga inamaanisha nisitarajie wewe kujibu nitakachouliza. Mimi nitakua sina la zaidi kama ni hivyo
Kwahiyo zenu zinatofautiana na za katoliki? Wewe ni KKKT?

Bas nitakuhoji kwahizo amri za KKKT
 
Back
Top Bottom