Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Kuchonga sanam ambapo katka maana usiabudu miungu wengne (miti, ng'ombe, shetan)
Lakn unaweza kujiulza sanam za kanisa katorik zinakuaje sasa? Ule n utamadun tu wa watu wa Israel ambapo kuweka sanamu haimaanisha kwamba maombi yanaenda kwa hzo sanam n mapambo tu ya kikanisa zaid
Soma 2Wakorintho 6:16-18
 
Naomba anaejua lile fungu linaloonesha Yesu akiulizana kuhusu amri na yule kijana tajiri,
Kuna jambo la kutafakari hapo
 
Hebu someni matayo 19:16
halafu mjiulize kwa nini Yesu alizitaja Amri kwa mpangilio ule na si kwa kufuata ilivyo andikwa ktk tolati,
Lkn pia kwa nini aliishia njiani hakutaja zote,
Mengine ntawauliza mkinijibu haya,
Halafu pamoja na jamaa kuonekana kazishika zote toka utoto wake lkn bado ilionekana hajakamilika
 
Hizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,

Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
Kuna swali nimeuliza hapo naomba majibu
 
Lakini ukitaka kuingia ktk uzima zishike AMRI,
(kwa nini hakusema zishike amri kumi)
:18akamwambia,zipo?,Yesu akasema,ni hizi,
Usiue,usizini,usiibe,usishuhudie uongo,19waheshimu baba na mama yako na,mpende jirani yako kama nafsi yako,

Kwa nini Yesu hakuzitamka km zilivyoandikwa na akaruka ruka tofauti na mnavyotaka na hata ilivyokuwa imeandikwa,
 
Hizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,

Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA

Hivi nyie ndugu zetu hamwezi kuleta hoja kwenye jamvi bila kutukana ? au huko mnakoabudu mmeaambiwa ili mpate wafuasi wapya ni lazima mlisemee vibaya Kanisa Katoliki ? mnataka kutuaminisha wote imani yenu ili tuhamie kwenye hicho kikundi chenu cha ujasiriadini? imenibidi nianze na haya maswali kwanza kwa kuwa kila thread mnayoanzisha ni kutukana Kanisa Katoliki pamoja na Uongozi wake. SILILIZA NIKWAMBIE ndugu yangu, kutumia nguvu nyingi kudhihaki imani za watu kwenye mitandao, ni ishara ya mtu mwenye kiwango hafifu zaidi cha uelewa. Kwa nini msiwe wastaarabu mkaendelea kumtumikia Mungu kwa imani hizo mnazozisadiki pasipo kuleta bughdha kwa watu wengine na kujiona ninyi ni watakatifu na ni watu ambao hamna hatia ? Kanisa Katoliki ni Taasisi kubwa ambayo ipo chini ya himaya ya UTATU MTAKATIFU WA MUNGU, haliwezi kuyumba, halikuwahi kuyumba na halitayumbushiwa na mtu au kikundi cha watu wenye nia ovu ya kulichafua Kanisa kama wewe. HAMTAWEZA. Lakini pia sio ustaarabu kabisa kudhihaki imani za watu. Nyie mnaojua zaidi si mtulie na imani yenu ? pili pili usiyoila yakuwashia nini ?

Baada ya kusema hayo, nirudi kwenye maada yako, na nikushauri njoo ktk Katoliki hata kwa Semina tu, tukufundishe neno la Mungu ili uache kuishi kwa kukariri wewe na watu wa aina yako. Sitaweza kuelezea hapa kwa kuwa ni maada ndefu. Ila milango iko wazi ndani ya Kanisa, njooni tuwapige neno, bila shaka mtaelewa. Wakati mwingine kuyaelewa maandiko Matakatifu, inahitaji nguvu ya Roho Mtakatifu. Kinyume na hapo mtaendelea kukariri. Wakati mkijipanga kuja kwenye semina zinazoandaliwa na Kanisa (mkitaka), endeleeni kwanza kupitia vifungu hivi vya Biblia ; Warumi 10: 4, Wagalatia 3: 23-25, Waefeso 2: 15.
Nawashauri pia kujaribu kuwa wastaaraba ba kuacha kushambulia imani za watu, hata Mungu hapendi. Mungu atubariki sote na amani itawale.
 
Kuna watu wao wameishika moja tuu nayo n ya tatu( 3 ) hyo ndo wameiwekea mkazo kweli kweli na jumla ya mafundisho yao huishia hapo, wamesahau yakuwa yeye alosema usiue ndye alosema usiue pia.
 
Hivi nyie ndugu zetu hamwezi kuleta hoja kwenye jamvi bila kutukana ? au huko mnakoabudu mmeaambiwa ili mpate wafuasi wapya ni lazima mlisemee vibaya Kanisa Katoliki ? mnataka kutuaminisha wote imani yenu ili tuhamie kwenye hicho kikundi chenu cha ujasiriadini? imenibidi nianze na haya maswali kwanza kwa kuwa kila thread mnayoanzisha ni kutukana Kanisa Katoliki pamoja na Uongozi wake. SILILIZA NIKWAMBIE ndugu yangu, kutumia nguvu nyingi kudhihaki imani za watu kwenye mitandao, ni ishara ya mtu mwenye kiwango hafifu zaidi cha uelewa. Kwa nini msiwe wastaarabu mkaendelea kumtumikia Mungu kwa imani hizo mnazozisadiki pasipo kuleta bughdha kwa watu wengine na kujiona ninyi ni watakatifu na ni watu ambao hamna hatia ? Kanisa Katoliki ni Taasisi kubwa ambayo ipo chini ya himaya ya UTATU MTAKATIFU WA MUNGU, haliwezi kuyumba, halikuwahi kuyumba na halitayumbushiwa na mtu au kikundi cha watu wenye nia ovu ya kulichafua Kanisa kama wewe. HAMTAWEZA. Lakini pia sio ustaarabu kabisa kudhihaki imani za watu. Nyie mnaojua zaidi si mtulie na imani yenu ? pili pili usiyoila yakuwashia nini ?

Baada ya kusema hayo, nirudi kwenye maada yako, na nikushauri njoo ktk Katoliki hata kwa Semina tu, tukufundishe neno la Mungu ili uache kuishi kwa kukariri wewe na watu wa aina yako. Sitaweza kuelezea hapa kwa kuwa ni maada ndefu. Ila milango iko wazi ndani ya Kanisa, njooni tuwapige neno, bila shaka mtaelewa. Wakati mwingine kuyaelewa maandiko Matakatifu, inahitaji nguvu ya Roho Mtakatifu. Kinyume na hapo mtaendelea kukariri. Wakati mkijipanga kuja kwenye semina zinazoandaliwa na Kanisa (mkitaka), endeleeni kwanza kupitia vifungu hivi vya Biblia ; Warumi 10: 4, Wagalatia 3: 23-25, Waefeso 2: 15.
Nawashauri pia kujaribu kuwa wastaaraba ba kuacha kushambulia imani za watu, hata Mungu hapendi. Mungu atubariki sote na amani itawale.
Mtoto humuiga baba,
Mafarisayo(wasabato wa kale)walimtukana YESU na kumwita ana belizebuli pepo,
SDA(wasabato wa sasa)wanautukana ukatoliki tena kupitia biblia ambayo ni zao proudly la kanisa
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini Amri inayokataza kuchonga sanamu waliiondoa?
Labda nikuulize, ww ulvyojiuliza umegundua nn? Ili wasipingwe na wapagan katka kuueneza ukristu
 
1.Usiabudu miungu wengine.
2. Usiape bure kwa jina la Mungu wako.
3. Shika Kitakatifu Siku ya Mungu wako
4. Waheshimu Baba na Mama, upate miaka mingi na heri duniani.
5. Usiue
6. Usizini
7. Usiibe
8. Usiseme uongo
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya watu.
Hivi nikwamba kiswahili ndio shida kwako au vipi, maana kwa namna ulivyo ziandika amri kumi za Mungu ni dhahiri umekosea kabisa, na usipo angalia hutaenda mbinguni kwakosa la kupindisha maneno ya amri kumi za Mungu
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini Amri inayokataza kuchonga sanamu waliiondoa?
Hiyo ni amri au ni maelezo ya amri ya kwanza? Wakati napata kipaimara (Lutheran) tulitakiwa kukariri huo mstari wa Kutoka na hayo yalikua ni maelezo. Ingetambulika kama amri siyo ingefanya amri kua 11?
 
Kweli umedangwanywa ukadanganyika, hiyo ni amri inajitegemea

Ya kuchonga sanamu, na usiwe na miungu mingine ni amri 2 tofauti, Roma waliiondoa hiyo Ya KUCHONGA SANAMU ili wapate nafasi ya kuchonga na kuabudu haya mavinyago
FB_IMG_1539890403869.jpeg
 
Labda nikuulize, ww ulvyojiuliza umegundua nn? Ili wasipingwe na wapagan katka kuueneza ukristu
Ili wachonge na kuabudu Masanamu haya bila kuulizwaulizwa, maana tayar wanakuwa wameshawamezesha waumini ,

Ndio maana mtoa uzi ni Mtu mzima lkn anazijua hizo za katekisimu maana amemezeshwa toka mtoto kwenye VIPAIMARA
images-1.jpeg
 
Kweli umedangwanywa ukadanganyika, hiyo ni amri inajitegemea

Ya kuchonga sanamu, na usiwe na miungu mingine ni amri 2 tofauti, Roma waliiondoa hiyo Ya KUCHONGA SANAMU ili wapate nafasi ya kuchonga na kuabudu haya mavinyagoView attachment 904473
Una tatizo la kupaniki. Kuna swali hujalijibu mwisho.

Nimeonyesha encounter ya mimi na huo mstari ilipoanzia. Nimeeleza kwamba, kwa amri ya kwanza ilivyo hiyo ni maelezo ya ya kwanza.

Nimeuliza kama hiyo ikihesabiwa ni amri si zitakua 11? Kama zikiwa 11 mbona Musa mwenyewe alisema amri ni 10?
 
Mkuu wala sijapaniki ila hukubalian na hoja una kitu kichwan, hebu toka nje ya box tujadiliane, nimekupa had mfano,

Nimekwambia hiyo ni Amri na sio maelezo,

Amri zipo Kumi sio Kumi na moja

Walichofanya WAROMA, amri ya kuchonga SANAMU WAMEIONDOA KABISA

AMRI YA KUMI WAKAIGAWA MARA MBILI.ILI KUFIDIA ZIWE KUMI ,

Fananisha amri za Biblia na za katekisimu,

Amri nyingine walioibadilisha kabisa ni AMRI YA 4

Mbona simple tu na ipo wazi, angalia juu kule nimeziandika AMRI ZA MUNGU na ZA KATEKISIMU(ZA PAPA)

NIMEZIFANANISHA MOJA BAADA YA NYINGINE ,
tapatalk_1539803186523.jpeg
 
Mkuu wala sijapaniki ila hukubalian na hoja una kitu kichwan, hebu toka nje ya box tujadiliane, nimekupa had mfano,

Nimekwambia hiyo ni Amri na sio maelezo,

Amri zipo Kumi sio Kumi na moja

Walichofanya WAROMA, amri ya kuchonga SANAMU WAMEIONDOA KABISA

AMRI YA KUMI WAKAIGAWA MARA MBILI.ILI KUFIDIA ZIWE KUMI ,

Fananisha amri za Biblia na za katekisimu,

Amri nyingine walioibadilisha kabisa ni AMRI YA 4

Mbona simple tu na ipo wazi, angalia juu kule nimeziandika AMRI ZA MUNGU na ZA KATEKISIMU(ZA PAPA)

NIMEZIFANANISHA MOJA BAADA YA NYINGINE ,View attachment 904495
Hebu jaribu kuelewa na mimi ninachoandika.

Kama amri ya kwanza inasema 'Usiabudu miungu wengine ila mimi' si inamaanisha hata hizo sanamu zimejumuishwa?

Au ikisemwa 'miungu wengine' inakua imemaanisha nini?

Nimetoka kukwambia kua tulitakiwa kukariri huo mstari ulioweka wote na swala la sanamu lipo treated kama maelezo ya amri ya kwanza. Yaani amri inasema 'Usiabudu miungu wengine ila mimi' maelezo ndiyo yanazungumzia kuchonga sanamu na kujifanyia miungu wengine.

Kama amri ya 10 iligawanywa ili ifidie kua kumi hauoni kua na wewe unaigawanya amri ya 1 na maelezo yake ili ziwe 10?
 
Back
Top Bottom