Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,725
- 3,795
Kama sio Mroma huyu, basi ni Mlutheri. Wamechakachua amri kumi za mungu haoTitle ingesomeka "..., Amri kumi za Mungu"
Alafu USIZINI ni ya 6 au ya 7?
Kama sio Mroma huyu, basi ni Mlutheri. Wamechakachua amri kumi za mungu haoTitle ingesomeka "..., Amri kumi za Mungu"
Alafu USIZINI ni ya 6 au ya 7?
Niomeshe amri inayokataza kuchonga sanamu, na inayosema IKUMBUKE SIKU YA SABATOhakuna alichopotosha hapo.kwa mfano unapoambiwa usiue .huu ni msamiati mrefu sana .haimaanishi kuua tu .ata kutoa mimba nikuua pia.kuwaza pia inaesabika
aisee hauko sawa udini unakusumbua. unapoambia usiabudu miunge mingine wewe unaelewa vp.na unapoambiwa uikumbuke siku ya bwana nakuitakasa wewe unaelewa vp Ndugu. na kama ulikuwa hujui sasa nakujulisha Sabato ya kweli ni Yesu kristo .wewe endekeza mabishano ya kidini na kidhehebu uone kama utamjua Mungu kweliNiomeshe amri inayokataza kuchonga sanamu, na inayosema IKUMBUKE SIKU YA SABATO
Acha bla blaa , Leta maandiko ,aisee hauko sawa udini unakusumbua. unapoambia usiabudu miunge mingine wewe unaelewa vp.na unapoambiwa uikumbuke siku ya bwana nakuitakasa wewe unaelewa vp Ndugu. na kama ulikuwa hujui sasa nakujulisha Sabato ya kweli ni Yesu kristo .wewe endekeza mabishano ya kidini na kidhehebu uone kama utamjua Mungu kweli
Ndio mlivyodanganya?
KANISA LA ROMA LIMEJAA UPAGANI, UKISEMA NI MUENDELEZO ,
KWANINI MNAKUJA KUIGAWA AMRI YA 10 ZIWE MBILI?
KWANINI AMRI YA IKUMBUKE SIKU YA SABATO MMEIONDILEA MBALI?
MNAIONA NI KITUO CHA POLISI
KWANINI INAYOSEMA MSICHONGE SANAMU HAMTAKI HATA KUIONA ILI TU MCHONGE NA MJAZE MISANAMU YENU KANISANI
SABATO imeanza Edeni ipi?, Muulize yule mwanamke wenu G White, alianzishia sabato wapi?Sabato imeanzia EDENI,
Roma imetokea ndani ya ROMA YA KIPAGANI, ulishajiuliza why, kanisani kwenu kumejaa masanamu tu,
Kama ni moja ,yaani, wewe ni kiazi kuliko viazi vyote duniani!
Kwaiyo Nyie Wasabato ndio mnaojua kutafasiri sana biblia...?
Kanisa zima limejaa maboga, 1. AMRI YA KWANZA "USIWE NA MIUNGU MINGINE ILA MIMI, NA HIYO USIJIFANYIE SANAMU YA KUCHONGA (nyie SDA mnaona ni amri inayojitegemea), NI KITU HICHO HICHO... ni muendelezo, kuzidi kufafanua kutoabudu miungu mingine, sasa kwa akili za kindezi zza wasabato mkaona na vitu viwili tofauti...
Acheni upunguni nyie, msipende kupotosha biblia na kifasiri kwa interst zenu
ACHA KULETA UTETEZ WA KIPUUZIyaani, wewe ni kiazi kuliko viazi vyote duniani!
Kwaiyo Nyie Wasabato ndio mnaojua kutafasiri sana biblia...?
Kanisa zima limejaa maboga, 1. AMRI YA KWANZA "USIWE NA MIUNGU MINGINE ILA MIMI, NA HIYO USIJIFANYIE SANAMU YA KUCHONGA (nyie SDA mnaona ni amri inayojitegemea), NI KITU HICHO HICHO... ni muendelezo, kuzidi kufafanua kutoabudu miungu mingine, sasa kwa akili za kindezi zza wasabato mkaona na vitu viwili tofauti...
Acheni upunguni nyie, msipende kupotosha biblia na kifasiri kwa interst zenu
KWANNI unalazimisha kuwa kuikumbuka sabato ni kati ya Amri kumi?t tatizo hujui biblia, umekaririshwa na wewe unakuja kuleta hoja za kanisani kwako hapa, bila kufanya utafiti kujiridhisha na ulichofundishwa.Kama ni moja ,
Nioneshe Amri inayosema IKUMBUKE SIKU YA SABATO....
NA UNIAMBIE KWANINI AMRI YA KUMI....IMEGAWANYWA MARA MBILI KUFIDIA HIYO YA USICHONGE SANAMU ,ILI ZIWE KUMI?
Kwahiyo sio au?KWANNI unalazimisha kuwa kuikumbuka sabato ni kati ya Amri kumi?t tatizo hujui biblia, umekaririshwa na wewe unakuja kuleta hoja za kanisani kwako hapa, bila kufanya utafiti kujiridhisha na ulichofundishwa.
kwa kifupi, wasabato ni mpo against na ukristo... period
Sawa ila mimi nakuombea msamahawe
we jamaa ni BOYA SANA, ... kwanza sina time ya kubishana na BOYA kama wewe
Naona vifungu vya BibLIA Ulivyomeza vimekwisha Yesu ni Bwana wa Sabato Matayo 12:1-13Acha bla blaa , Leta maandiko ,
Nimekwambia nioneshe amri ya usichonge sanamu ,
Halafu kwa mtoa mada au amri za katekisimu sijaona IKUMBUKE SIKU YA BWANA,
halafu aliyekwambia Yesu ndio sabato nani, leta andiko hapa,
Mm sitaki bla blaa
YESU NI BWANA WA SABATONaona vifungu vya BibLIA Ulivyomeza vimekwisha Yesu ni Bwana wa Sabato Matayo 12:1-13
Angalia ulivyokuwa msenge .. Kwaiyo umeona kanisa katoliki tu kusali jumapili ni tatizo kwako....Kwahiyo sio au?
Kweli mmepotezwa,
Mimi sijakulazimisha
SOMA KUTOKA 20:8-11
HALAFU RUDI KWENYE KATEKISIMU,
UKIIKUTA ,NJOO NAKUPA ZAWADIView attachment 911331
alichokuwa anakitaka umempa. jamaa amekalia kukashfu madhehebu ya wengine badala yakujifunza kumjua Mungu anaemuamini.kelele kwenye katekisimy utafikiri dhehebu lao halina vitabu vingine zaidi ya biblia.Angalia ulivyokuwa msenge .. Kwaiyo umeona kanisa katoliki tu kusali jumapili ni tatizo kwako....
kwanini uangalia makanisa mengine yanayosali jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi na ijumaa au jumamosi, unakimbilia kanisa katoliki tu kusali j2..
acha ufala wewe, mind your business, achana na makanisa ya wengine
Isaya 2Angalia ulivyokuwa msenge .. Kwaiyo umeona kanisa katoliki tu kusali jumapili ni tatizo kwako....
kwanini uangalia makanisa mengine yanayosali jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi na ijumaa au jumamosi, unakimbilia kanisa katoliki tu kusali j2..
acha ufala wewe, mind your business, achana na makanisa ya wengine
LAANA YA KUVUNJA AMRI YA SABATO ULIMWEGUNIAngalia ulivyokuwa msenge .. Kwaiyo umeona kanisa katoliki tu kusali jumapili ni tatizo kwako....
kwanini uangalia makanisa mengine yanayosali jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi na ijumaa au jumamosi, unakimbilia kanisa katoliki tu kusali j2..
acha ufala wewe, mind your business, achana na makanisa ya wengine
Ndio maana nakwambia unameza vitu bila kuelewa,Kuwa Bwana wa Sabato ni kuwa mkuu wa Sabato, maana yake anaouwezo wa kufanya chochote juu ya Sabato na kila kilichopo kwenye Sabato kipo chini yake,AMKA AROON jifunze maandiko na sio Ubishi wa kidiniYESU NI BWANA WA SABATO
LETA ANDIKO YESU NI SABATO,
MBONA MNAPENDA KUCHAKACHUKUA KILA KITU
Bado unaendelea na FictionsIsaya 2
8 Tena nchi yao imejaa sanamu; huabudu
kazi ya mikono yao, vitu vilivyofanywa kwa
vidole vyao wenyewe.
9 Mtu mnyonge huinama, na mtu mkubwa
hujidhili; kwa hiyo usiwasameheView attachment 911345