Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Swali lako.la mwisho, kwanza umedanganywa, biblia ya kwanza ni VULGATE , ilitafsiriwa na jopo la watu 70

Roma aliipokea kama wengine tu, KWANZA ELEWA NENO LA MUNGU LINALINDWA NA MUNGU MWENYEWE,

Roma hii unayoishabikia , Ilishaua maelfu ya watu waliokuwa wanailinda BIBLIA na walioitafsiri BIBLIA ili ikufikie wewe,

Nadhan hili hulijui na huwezi kuambiwa,

Tyndale aliuliwa na KANISA LA ROMA KWA KUTAFSIRI BIBLIA KWENDA LUGHA YA ENGLISH

MUNGU MWENYEWE ALISHAAHIDI ATALILINDA NENO LAKE DAIMA aliyasema hayo kupitia nabii Isaya miaka 700 kabla hata YESU hajazaliwa

Isaiah 40:7-8

7 The grass withers and the flowers fall,
because the breath of the
LORD blows on them.
Surely the people are grass.
The grass withers and the flowers fall,

8 but the word of our God endures forever.”

NIMEMALIZAView attachment 907108
Tena ulivyo mbumbumbu umeshindwa hata kuelewa tafsiri rahisi ya kiingereza,
Bandiko lako linasema
For translating the BIBLE,to
Inamaana tayari ilikuwa ni Biblia,
Tayari ilishakuwa Biblia,
Walioifanya iwe na iitwe Biblia ni wakatoliki,kubali kataa,
 
Amri kumi za Vatican.
Amri kumi za Mungu zinapatikana kwenye Bibilia aka maandiko matakatifu. Kutoka 20:1-17.

Ni rahisi kuamini ujinga na uzushi kuliko maneno ya Mungu. Ila hilo halimbabaishi Mungu au kupinga ukweli wake. Ukweli utadumu hivyo viamri vitapeperushiwa mbali.

Cc
popbwinyo

Maswali ya kukusanya sijui kutafsiri Bibilia hayana uhusiano hapo. Maana hizo amri maandiko yake pentateuch yapo hata kabla jerome hajazaliwa. Yalishakusanywa BC na Ezra na nehemia, Yakakusanywa tena na wagiriki huko alexandria misri ( septugiant ) enzi hizo Vatican hapafikiliwi kuja kuwa na dhehebu la kuzichakachua. Yesu alizisoma, maana kama kijana wa nazarenti mpenzi wa maandiko ya baba yake wa mbinguni alisoma pentateuch, mwandishi ya wazee na manabii pia.

Kikubwa
Tii amri upone kataa au chakachua ufe.
Tunaokolewa kwa Neema inayotukataza kuufanya kila ubaya ikiwepo ukaidi kwa neno lake.

Hapo sio ishu ya msabato (maana hata wao siku hizi sabato wanaichakachua), sio muislam, mlokole au mkatoliki.

Hapo ni " hivi ndivyo asemavyo Bwana " vs " hivi ndivyo asemavyo mzazi, kanisa, mapokeo, mchungaji, theolojia yetu etc.

Zaburi 119 imenifundisha kuchagua "hivi ndivyo asemavyo bwana".

Mwisho wa siku Dunia itagawanyika makundi mawili tu . Obedient vs disobedient to devine commands na sio madhehebu wala many vs few au rationalists vs absolutists
 
Aa
Hizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,

Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA

Aroon relaaaaaaax. Amri ni zilezile. Badala ya kuhoji mpangilio wake wewe kazana kuzishika kila siku.
Hakuna amri za Papa.
Najua baadhi ya watu hawavutiwi na Kanisa Katoliki kutokana na ukale na u conservative wake. Sheria zake ni thabiti na hawachukulii mambo kirahisi.
Kinachowavuta baadhi ya watu wengine kwenye utitiri wa makanisa ( mengine ya ajabuajabu kabisa) ni kwa sababu huko sheria zimekuwa relaxed. Watu wanafundishwa kuikwepa misalaba. Walokole ndio Masadukayo wa leo.

Wimbi la utitiri wa makanisa ya ovyoovyo linaendelea kwa sababu baadhi ya wanaojiita wachungaji wameufanya Ukristu biashara!!
Manabii hao wa uongo wanapata pesa kupitia kupumbaza watu kwa mahubiri ya uongo yaliyojaa mbwembwe na kelele nyiiingi.

Nasema hao sio 'watumishi' wa bwana. Ni wanyonyaji wa waumini wanaopumbazwa kila siku.
 
Amri kumi za Vatican.
Amri kumi za Mungu zinapatikana kwenye Bibilia aka maandiko matakatifu. Kutoka 20:1-17.

Ni rahisi kuamini ujinga na uzushi kuliko maneno ya Mungu. Ila hilo halimbabaishi Mungu au kupinga ukweli wake. Ukweli utadumu hivyo viamri vitapeperushiwa mbali.

Cc
popbwinyo

Maswali ya kukusanya sijui kutafsiri Bibilia hayana uhusiano hapo. Maana hizo amri maandiko yake pentateuch yapo hata kabla jerome hajazaliwa. Yalishakusanywa BC na Ezra na nehemia, Yakakusanywa tena na wagiriki huko alexandria misri ( septugiant ) enzi hizo Vatican hapafikiliwi kuja kuwa na dhehebu la kuzichakachua. Yesu alizisoma, maana kama kijana wa nazarenti mpenzi wa maandiko ya baba yake wa mbinguni alisoma pentateuch, mwandishi ya wazee na manabii pia.

Kikubwa
Tii amri upone kataa au chakachua ufe.
Tunaokolewa kwa Neema inayotukataza kuufanya kila ubaya ikiwepo ukaidi kwa neno lake.

Hapo sio ishu ya msabato (maana hata wao siku hizi sabato wanaichakachua), sio muislam, mlokole au mkatoliki.

Hapo ni " hivi ndivyo asemavyo Bwana " vs " hivi ndivyo asemavyo mzazi, kanisa, mapokeo, mchungaji, theolojia yetu etc.

Zaburi 119 imenifundisha kuchagua "hivi ndivyo asemavyo bwana".

Mwisho wa siku Dunia itagawanyika makundi mawili tu . Obedient vs disobedient to devine commands na sio madhehebu wala many vs few au rationalists vs absolutists
Kasome maswali yangu ya awali utajua kwa nini niliuliza hayo,
Lkn kuhusu kutii unatii vipi kitu kikuukuu,
Kitu kilichoisha,
Km ni kutii basi ulevi siyo dhambi maana haujakatazwa ktk zile kumi,
Lkn pia kumbuka yule kijana tajiri alizitii kikamilifu hizo amri zaidi yenu lkn bado Yesu alimuambia anapungukiwa,
Nimeuliza hivi,km lengo la wakatoliki ni kupotosha,walishindwaje kuootosha hizo mambo ndani ya Biblia wapipokuwa wanaikusanya na kuiunda na kuilinda?
Km wao ni wapotofu ilikuaje Mungu awatumie wapotofu,kukusanya na kuunda na kulilinda neno lake?
Kwa nini hakuwatumia ninyi wasabato mliokuwepo muifanye kazi hiyo,ama kwa nini hakumleta Eg white mapema ili afanye kazi hiyo?maana Mungu ni muweza
 
Amri kumi za Vatican.
Amri kumi za Mungu zinapatikana kwenye Bibilia aka maandiko matakatifu. Kutoka 20:1-17.

Ni rahisi kuamini ujinga na uzushi kuliko maneno ya Mungu. Ila hilo halimbabaishi Mungu au kupinga ukweli wake. Ukweli utadumu hivyo viamri vitapeperushiwa mbali.

Cc
popbwinyo

Maswali ya kukusanya sijui kutafsiri Bibilia hayana uhusiano hapo. Maana hizo amri maandiko yake pentateuch yapo hata kabla jerome hajazaliwa. Yalishakusanywa BC na Ezra na nehemia, Yakakusanywa tena na wagiriki huko alexandria misri ( septugiant ) enzi hizo Vatican hapafikiliwi kuja kuwa na dhehebu la kuzichakachua. Yesu alizisoma, maana kama kijana wa nazarenti mpenzi wa maandiko ya baba yake wa mbinguni alisoma pentateuch, mwandishi ya wazee na manabii pia.

Kikubwa
Tii amri upone kataa au chakachua ufe.
Tunaokolewa kwa Neema inayotukataza kuufanya kila ubaya ikiwepo ukaidi kwa neno lake.

Hapo sio ishu ya msabato (maana hata wao siku hizi sabato wanaichakachua), sio muislam, mlokole au mkatoliki.

Hapo ni " hivi ndivyo asemavyo Bwana " vs " hivi ndivyo asemavyo mzazi, kanisa, mapokeo, mchungaji, theolojia yetu etc.

Zaburi 119 imenifundisha kuchagua "hivi ndivyo asemavyo bwana".

Mwisho wa siku Dunia itagawanyika makundi mawili tu . Obedient vs disobedient to devine commands na sio madhehebu wala many vs few au rationalists vs absolutists
Kitu kimoja tu umeongea ambacho hata Mimi ndo nnachoamini ni kuhusu mahusiano yako BINAFSI na Mungu,siyo na kundi Fulani la ibada ama dini,
Maisha ya sasa ni kuhusu wewe na Mungu siyo kundi lako na Mungu,
Waabudu wa kweli wanamuabudu Mungu ktk Roho na kweli,
Unamuita mkatoliki,shetani,mpotofu nk,lkn unasahau kuwa kutukana ni ushetani,na atukanae ni mfuasi wa shetani,unatumia kashfa na matusi kuwa kashifu na kuwatusi wakatoliki ukidhani unamtumikia Mungu,
Mungu wetu hatumikiwi kwa matusi,ila mungu wako ndo anatangazwa kwa kashfa,hicho ndo kipimo cha ujinga wa wajinga wanaojiita wakamilifu kupitia dini walizopo,
 
Waswahili husema Kila nyakati na nyakati zake, Biblia hiyohiyo inasema Mungu alimpa Musa amri 40 alifanya maagano mengi na Israel akavunja akaagana tena na tena hivyo basi hata Yesu alipokuja kuna mambo aliyabadili na hadi anaondoka kuna amri mpya aliwapa ya kupendana , akawaachia na kula mkate + kunywa damu yake kama ukumbusho wake!
HIVI KWANINI KANISA LA ROMA LIMEDANGANYA MAELFU YA WATU KIASI HIKI?

YAANI WATU TOKA WATOTO WANAMEZESHWA AMRI ZA KATEKISIMU , BADALA AMRI ZA MUNGU KUTOKA KTK BIBLIA

KATIKA KIPENGELE HIKI TUTATUMIA
USHAHIDI WA BIBLIA NA, KITABU
CHA KATEKISIMU NDOGO YA
KANISA KATOLIKI UK 56, ILI
KUTIBITISHA;

A. Amri kumi katika biblia KUTOKA
20:1-17 na Amri kumi katika
katekisimu ndogo ya kanisa katoliki;

I. AMRI YA KWANZA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:1-3
Mimi ni Bwana, Mungu wako,
niliyekutoa katika nchi ya Misri,
katika nyumba ya utumwa.Usiwe na
miungu mingine ila mimi

AMRI YA KWANZA KATIKA
KATEKISIMU
Ndimi Bwana Mungu wako,
usiabudu miungu wengine

II. AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu

AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Usilitaje bure jina la Mungu wako

III. AMRI YA TATU KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:7
Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu
wako, maana Bwana hatamhesabia
kuwa hana hatia mtu alitajaye jina
lake Bure

AMRI YA TATU KATIKA KATEKISIMU
Shika kitakatifu siku ya Mungu

IV. AMRI YA NNE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:8-11
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Siku sita fanya kazi, utende mambo
yako yote; lakini siku ya saba ni
Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku
hiyo usifanye kazi yo yote, wewe,
wala mwana wako, wala binti yako,
wala mtumwa wako, wala mjakazi
wako, wala mnyama wako wa
kufuga, wala mgeni aliye ndani ya
malango yako. Maana, kwa siku sita
Bwana alifanya mbingu, na nchi, na
bahari, na vyote vilivyomo,
akastarehe siku ya saba; kwa hiyo
Bwana akaibarikia siku ya Sabato
akaitakasa.

AMRI YA NNE KATIKA KATEKISIMU
Waheshimu Baba na Mama, upate
miaka mingi na heri Duniani

V. AMRI YA TANO KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:12
Waheshimu baba yako na mama
yako; siku zako zipate kuwa nyingi
katika nchi upewayo na Bwana,
Mungu wako.

AMRI YA TANO KATIKA KATEKISIMU-
Usiue

VI. AMRI YA SITA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:13
Usiue.

AMRI YA SITA KATIKA KATEKISIMU
Usizini

VII. AMRI YA SABA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:14
Usizini

AMRI YA SABA KATIKA KATEKISIMU-
Usiibe

VIII. AMRI YA NANE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:15
Usiibe

AMRI YA NANE KATIKA KATEKISIMU
Usiseme uongo

IX. AMRI YA TISA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:16
Usimshuhudie jirani yako uongo

AMRI YA TISA KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mwanamke asiye mke
wako

X. AMRI YA KUMI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako,
usimtamani mke wa jirani yako; wala
mtumwa wake, wala mjakazi wake,
wala ng'ombe wake, wala punda
wake, wala cho chote alicho nacho
jirani yako

AMRI YA KUMI KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mali ya mtu mwingine
View attachment 901465
 
Swali la 3

Hili swali mbona hufikirii kabla ya kuja kuuliza?

Context pale Yesu sio kuorodhesha Amri kumi zote,

Kuanzia ya 1-10 ,

Mfano Baba yako awe na watoto kumi, mtu aulize unawajua watoto wa flani, sio lazima niwataje wote kumi, nikiwataja Wawili au watatu , Yule anayeulizwa atapata nafas ya kusema Nawajua NDIO

KUONESHA HIVO YESU MWENYEWE AMESEMA HIV KUHUSU HIZO AMRI KUMI

MBINGU ZITAPITA ILA MANENO HAYA HAYATAPITA KAMWE...........

“Msidhani [wengi mno leo wanadhani] ya kuwa nalikuja kuitangua torati [Sheria] au manabii;” akasema, “sikuja kutangua [kuifutilia mbali], bali kutimiliza [kuitekeleza]. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka [bado zipo], yodi moja [,] wala nukta moja [.] HAITAONDOKA hata yote yatimie [yaani, mpaka hapo mbingu na nchi
zitakapoondoka]. Basi [kwa hiyo] mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo [Yak.2:10-12], na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa [mnyonge hataingia – Ufu.21:27] katika ufalme wa mbinguni; bali mtu ATAKAYEZITENDA [Amri Kumi] NA KUZIFUNDISHA, huyo ataitwa mkubwa [mtawala/mfalme – Ufu.20:4; Dan. 7:27] katika ufalme wa mbinguni.” Mathayo 5:17-19.

ANASEMA HAITAONDOKA HATA YODI WALA NUKTA MOJA TU YA ZILE AMRI KUMI,

Anayesema hivo ni Yesu mwenyewe,

KWAHIYO NDUGU USIJIDANGANYE YESU ALIZIONDOA AMRI
Mbona kukimbilia kujibu swali la tatu tu na mengine je?
Lkn kuhusu jibu lako pamoja na kudhani sikufikili kabla ya kuuliza,umekosa utulivu tu wa kujua nimeuliza SWALI JIBU kutokana na maswali ya kitoto mlouliza awali kuhusu wakatoliki kuzipangua amri na hawakufuata mnavyodhani ndivyo,ndipo sa nikawaletea na Yesu alivyofanya,Yy pia alizipangua na kuruka zingine alipokuwa anataka kumfundisha yule tajiri kuwa zile amri HAZITOSHELEZI yy kwenda peponi,
Zile zilikuwa maandalizi ya ukombozi halisi wa mwanadamu utaokuja kupitia Kristo msalabani,
Zile haikuwa ukamilifu ilikuwa kivuli cha yajayo,
Zingekuwa ukamilifu Yesu asingesema AMRI MPYA NAWAPA .........,
Piga picha watu wameshika torati maelfu ya miaka,halafu day one Yesu angesema nimekuja kuitangua torati nani angemuelewa,
Kuleta kitu kipya ni kuondoa cha zamani,matendo ya Yesu ya kuondoa uzamani ndo yalipelekea kuuliwa kwake,angekuwa anaishi sawa na uzamani asingepingana nao,
Agano la kale ni kuukuu na kitu kikisha kuwa kikuukuu ki karibu na kutoweka,sasa tangu Paulo aseme hivyo miaka 2000 bado hakijatoweka,
Agano la kale na sheria zake ilikuwa maandalizi ya AMRI MPYA maandalizi ya ukombozi halisi siyo ule wa Misri,ilikuwa kivuli cha yajayo,ilikuwa maandalizi ya Kristo,na sasa ni mambo ya kufundishia asili ya ukombozi lkn ukamilifu upo ktk Kristo,
Jiulize kwa nini pamoja na kuzishika amri yule kijana tajiri Yesu alimuambia bado haujakamilika
 
Nimejibu yote ,anza juu nimekujibu swali moja moja
 
Swali lako la pili mbona lakujifikiria tu,

Ukinywa pombe, unaharibi main, figo n.k hivo unajiua

Hapo unakuwa umevunja amri ya USIUE

AMRI KUMI NI KATIBA YA MUNGU NA NDIYO ATAITUMIA KUHUKUMU

Mungu atatumia AMRI ZAKE KUMI kuuhukumu ulimwengu huu Usemao AMRI KUMI hazina kazi

. "Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe UZISHIKE AMRI ZAKE, Maana kwa JUMLA ndiyo IMPASAYO [WAJIBU WAKE] MTU. Kwa maana Mungu ataleta HUKUMUNI kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya." "Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. Kwa maana yeye aliyesema,
Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria [mwenye dhambi]. Semeni ninyi na kutenda kama watu WATAKAOHUKUMIWA KWA SHERIA YA UHURU Mhubiri 12:13,14; Yakobo 2:10-12.

Yesu mwenyewe anasema kwamba ili uweze kuingia mbinguni inakupasa uzishike Amri Kumi za Mungu.

"Na tazama, mtu mmoja akamwendea akamwambia, Mwalimu, NITENDE JAMBO GANI JEMA, ILI NIPATE UZIMA WA MILELE? Akamwambia Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini UKITAKA KUINGIA KATIKA UZIMA, ZISHIKE AMRI
." Mathayo 19:16,17.
Una akili ndogo sana ya kufikiri,
Kwa hiyo chochote kinachoharibu kiungo cha mwili,ama kusababisha kifo ni dhambi?,
Basi hata maji ni dhambi maana mtu akiyanywa sana hushindwa kupumua na huharibu mapafu na kumsababishia kifo,
 
Naona una jazba

Ila utaelewa tu,

Kama mtu unaabudu kinyago,

Basi tutakufundisha taratibu utaelewa
 
Nakujibu moja moja ,kwanza Yesu hakutoa Amri Mpya,

Hebu tumsikilize mwenyewe hapa kuhusu AMRI KUMI

MBINGU ZITAPITA ILA MANENO HAYA HAYATAPITA KAMWE...........

“Msidhani [wengi mno leo wanadhani] ya kuwa nalikuja kuitangua torati [Sheria] au manabii;” akasema, “sikuja kutangua [kuifutilia mbali], bali kutimiliza [kuitekeleza]. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka [bado zipo], yodi moja [,] wala nukta moja [.] HAITAONDOKA hata yote yatimie [yaani, mpaka hapo mbingu na nchi
zitakapoondoka]. Basi [kwa hiyo] mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo [Yak.2:10-12], na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa [mnyonge hataingia – Ufu.21:27] katika ufalme wa mbinguni; bali mtu ATAKAYEZITENDA [Amri Kumi] NA KUZIFUNDISHA, huyo ataitwa mkubwa [mtawala/mfalme – Ufu.20:4; Dan. 7:27] katika ufalme wa mbinguni.” Mathayo 5:17-19.

HAYA ENDELEENI KUKUMBATIA AMRI ZA KWENYE KATEKISIMU
Aliposema AMRI MPYA NAWAPA...
alimaanisha nini,
Amri mpya-inamaana zipo za kale
Nawapa- inamaana KATOA,
Mtu anapotoa kitu unataka kusema hajakupa,
Soma tafsiri ya kiingereza fungu hili uone km hakumaanisha kuwapa,
Kukurahisishia ni afadhari useme hili fungu Yesu hakulisema ni wakatoliki waliliweka walipokuwa wanaiunda Biblia
 
Naona una jazba

Ila utaelewa tu,

Kama mtu unaabudu kinyago,

Basi tutakufundisha taratibu utaelewa
Tangu lini Farisayo akamfundisha mtu,maana yy hushika mambo kwa nje,
Yy akikashifu ni njia ya kumtangaza mungu wake,lkn akijibiwa kwa ukali sawa na kashfa yake huita jazba,
Farisayo aliyempinga Kristo aliyesema hakuna ajuae siku wa SAA lkn yy akafundisha siku na SAA ya ule mwisho anawezaje kumfundisha mtu badala ya kukiri uongo wake,
Farisayo aliyewaambia watu kuwa John Paul wa 2 ndo mpinga Kristo maana hata unabii wa jeraha la mauti umetimia kwake alipopona kuuliwa,sasa ni miaka Jp2 kafa na haikutimia,anatufundishaje wakati tabiri zake zote zinabuma,
Farisayo
 
HIVI KWANINI KANISA LA ROMA LIMEDANGANYA MAELFU YA WATU KIASI HIKI?

YAANI WATU TOKA WATOTO WANAMEZESHWA AMRI ZA KATEKISIMU , BADALA AMRI ZA MUNGU KUTOKA KTK BIBLIA

KATIKA KIPENGELE HIKI TUTATUMIA
USHAHIDI WA BIBLIA NA, KITABU
CHA KATEKISIMU NDOGO YA
KANISA KATOLIKI UK 56, ILI
KUTIBITISHA;

A. Amri kumi katika biblia KUTOKA
20:1-17 na Amri kumi katika
katekisimu ndogo ya kanisa katoliki;

I. AMRI YA KWANZA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:1-3
Mimi ni Bwana, Mungu wako,
niliyekutoa katika nchi ya Misri,
katika nyumba ya utumwa.Usiwe na
miungu mingine ila mimi

AMRI YA KWANZA KATIKA
KATEKISIMU
Ndimi Bwana Mungu wako,
usiabudu miungu wengine

II. AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu

AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Usilitaje bure jina la Mungu wako

III. AMRI YA TATU KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:7
Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu
wako, maana Bwana hatamhesabia
kuwa hana hatia mtu alitajaye jina
lake Bure

AMRI YA TATU KATIKA KATEKISIMU
Shika kitakatifu siku ya Mungu

IV. AMRI YA NNE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:8-11
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Siku sita fanya kazi, utende mambo
yako yote; lakini siku ya saba ni
Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku
hiyo usifanye kazi yo yote, wewe,
wala mwana wako, wala binti yako,
wala mtumwa wako, wala mjakazi
wako, wala mnyama wako wa
kufuga, wala mgeni aliye ndani ya
malango yako. Maana, kwa siku sita
Bwana alifanya mbingu, na nchi, na
bahari, na vyote vilivyomo,
akastarehe siku ya saba; kwa hiyo
Bwana akaibarikia siku ya Sabato
akaitakasa.

AMRI YA NNE KATIKA KATEKISIMU
Waheshimu Baba na Mama, upate
miaka mingi na heri Duniani

V. AMRI YA TANO KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:12
Waheshimu baba yako na mama
yako; siku zako zipate kuwa nyingi
katika nchi upewayo na Bwana,
Mungu wako.

AMRI YA TANO KATIKA KATEKISIMU-
Usiue

VI. AMRI YA SITA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:13
Usiue.

AMRI YA SITA KATIKA KATEKISIMU
Usizini

VII. AMRI YA SABA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:14
Usizini

AMRI YA SABA KATIKA KATEKISIMU-
Usiibe

VIII. AMRI YA NANE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:15
Usiibe

AMRI YA NANE KATIKA KATEKISIMU
Usiseme uongo

IX. AMRI YA TISA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:16
Usimshuhudie jirani yako uongo

AMRI YA TISA KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mwanamke asiye mke
wako

X. AMRI YA KUMI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako,
usimtamani mke wa jirani yako; wala
mtumwa wake, wala mjakazi wake,
wala ng'ombe wake, wala punda
wake, wala cho chote alicho nacho
jirani yako

AMRI YA KUMI KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mali ya mtu mwingine
View attachment 901465
Amri ya kwanza ni 20:1-6 yote ikiwa na maana moja tu usiabudu miungu mingine, sasa wasabato mmegawa katika amri mbili na Amri ya kumi wakatoliki mstari wa 17 wamegawa makundi 2 na wasabato wameweka ktk amri moja. But wote kwa pamoja mnataja amri za Mungu zote.Umefanya vema Aron kuweka mlingayo nimejifunza kitu hapo
 
Amri MPYA nawapa PENDANENI,
amri na sheria na torati hukamilishwa na hii MPYA,na Yesu tunaemfuata katuambia ni MPYA,halafu kasema anatupatia,
Tunashindwaje kuchukua tunachopewa na Kristo tukashikilia ya zamani ambayo ilikuwa ni kwa kumuandaa mwanadamu na ujio wa ukombozi kamili,
Kulazimisha za kale ni kukiri kuwa ukombozi haujaja,na huo ni upinga Kristo
 
Tunajadili zile Amri 10 na sio amri moja Jumuishi
 
Kutoka 20

1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
13 Usiue.
14 Usizini.
15 Usiibe.
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Exodus...
 
Hizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,

Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
wewe ndio una amri zako ulizopewa na huyu mwanam ke anayeitwa Warren G Whites..... endelea kujidanganya
 
Kwanini mkuu ,maana hapa zimetajwa Amri za KATEKISIMO SIO ZA BIBLIA ,kwann isiwe habari nzuri kwa wasabato?

Huon kama jamaa kadanganya kadanhanyika na anaendelea kudanganya maana kamezeshwa hivo toka akiwa mdogo?

Huoni kama Anazidi kupotea na kupoteza watu?
wasabato , kanisa la mwanamke.. kawadanganya na nyinyi mmedanganyika......
 
Back
Top Bottom