Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Tusubiri wazinzi watusaidie kujibuTitle ingesomeka "..., Amri kumi za Mungu"
Alafu USIZINI ni ya 6 au ya 7?

Kumbe ziko 17Kutoka 20
1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
13 Usiue.
14 Usizini.
15 Usiibe.
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
1-17 ni aya tu, mfano amri ya 4 ni kutoka 20:8-11Kumbe ziko 17
Kwa wanadamu woteHizi amri zinawahusu pia waislam na wasiokuwa upande wowote?
Kama hujaoa ya 6 haikuhusu6,9 hizo naitaji kusamehewa tu
Mungu akasema. Hiyo ni amri ya 1? hahahaaaa duu?Kumbe ziko 17
Title ingesomeka "..., Amri kumi za Mungu"
Alafu USIZINI ni ya 6 au ya 7?
Nimelalamika au nimeweka wazi?
Hebu kasome kutoka 20:1-17 halafu fananisha na hizo za katekisimo za PAPA

Nakujibu moja moja ,kwanza Yesu hakutoa Amri Mpya,Naomba kuuliza jambo juu amri,
Baada ya kuwa mmebishanaaaa na kukashifianaaaa mkidhani mnamtumikia Mungu,
Naomba kuwauliza na mnijibu kiungwana,
Amri zilikuwepo na Yesu alizikuta,
1:kwa nini alisema Amri MPYA nawapa PENDANENI,(UPENDO)
sote tunajua mtu akisema nakupa kipya anataka kukuambia chazamani kiache kimepwaya,
Kwa yy kusema mpya NAWAPA wakati zipo walizopewa alikuwa anamaanisha nini kwetu,
2:sote tunajua ULEVI ni dhambi,
Kwa nini Mungu hakuiweka hiyo km amri maana tunasisitizwa kuzishika,kwa mujibu wa amri kumi inamaana ulevi si dhambi?,km dhambi kwa nini haikuwekwa,
3:amri kumi mpangilio wake unaanzia ya kwanza,
Kwa nini Yesu alipokuwa anamtamkia yule kijana tajiri aliruka ruka na hakuitaja kabisa ya kwanza mpaka ya tatu na akaruka tena na hakumalizia,na pia kwa nn yule kijana japo alisema anazishika lkn Yesu alionesha kutokamilika kwa yule tajiri japo ni mshika amri kikamilifu?,
3:kanisa katoliko ndo limetuzlia Biblia hizi tunazojidai tunazijua kuliko kanisa katoliki(anaekataa akatae lkn wanaojua watakaa kimya)sasa basi km walikuwa na nia ya kupotosha amri za Mungu na si kufanya summary km alivyofanya Yesu kwa Yule tajiri,kwa nini hawakuzipotosha kwenye Biblia wakati wanaikusanya na kuiandika vizuri na kuitafsiri ila waje kuzipotosha ktk vitabu vyao?
Ukitaka nijibu kwa jazba na ukitaka nijibu kwa hekima
Swali lako la pili mbona lakujifikiria tu,Naomba kuuliza jambo juu amri,

Kweli mkuu! Uchakachuz wa Amri za Mungu umefanywa na Roma na hata baadhi ya maandikoHizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,
Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
Swali la 3Naomba kuuliza jambo juu amri,
Baada ya kuwa mmebishanaaaa na kukashifianaaaa mkidhani mnamtumikia Mungu,
Naomba kuwauliza na mnijibu kiungwana,
Amri zilikuwepo na Yesu alizikuta,
1:kwa nini alisema Amri MPYA nawapa PENDANENI,(UPENDO)
sote tunajua mtu akisema nakupa kipya anataka kukuambia chazamani kiache kimepwaya,
Kwa yy kusema mpya NAWAPA wakati zipo walizopewa alikuwa anamaanisha nini kwetu,
2:sote tunajua ULEVI ni dhambi,
Kwa nini Mungu hakuiweka hiyo km amri maana tunasisitizwa kuzishika,kwa mujibu wa amri kumi inamaana ulevi si dhambi?,km dhambi kwa nini haikuwekwa,
3:amri kumi mpangilio wake unaanzia ya kwanza,
Kwa nini Yesu alipokuwa anamtamkia yule kijana tajiri aliruka ruka na hakuitaja kabisa ya kwanza mpaka ya tatu na akaruka tena na hakumalizia,na pia kwa nn yule kijana japo alisema anazishika lkn Yesu alionesha kutokamilika kwa yule tajiri japo ni mshika amri kikamilifu?,
3:kanisa katoliko ndo limetuzlia Biblia hizi tunazojidai tunazijua kuliko kanisa katoliki(anaekataa akatae lkn wanaojua watakaa kimya)sasa basi km walikuwa na nia ya kupotosha amri za Mungu na si kufanya summary km alivyofanya Yesu kwa Yule tajiri,kwa nini hawakuzipotosha kwenye Biblia wakati wanaikusanya na kuiandika vizuri na kuitafsiri ila waje kuzipotosha ktk vitabu vyao?
Ukitaka nijibu kwa jazba na ukitaka nijibu kwa hekima
Swali lako.la mwisho, kwanza umedanganywa, biblia ya kwanza ni VULGATE , ilitafsiriwa na jopo la watu 70Naomba kuuliza jambo juu amri,
Baada ya kuwa mmebishanaaaa na kukashifianaaaa mkidhani mnamtumikia Mungu,
Naomba kuwauliza na mnijibu kiungwana,
Amri zilikuwepo na Yesu alizikuta,
1:kwa nini alisema Amri MPYA nawapa PENDANENI,(UPENDO)
sote tunajua mtu akisema nakupa kipya anataka kukuambia chazamani kiache kimepwaya,
Kwa yy kusema mpya NAWAPA wakati zipo walizopewa alikuwa anamaanisha nini kwetu,
2:sote tunajua ULEVI ni dhambi,
Kwa nini Mungu hakuiweka hiyo km amri maana tunasisitizwa kuzishika,kwa mujibu wa amri kumi inamaana ulevi si dhambi?,km dhambi kwa nini haikuwekwa,
3:amri kumi mpangilio wake unaanzia ya kwanza,
Kwa nini Yesu alipokuwa anamtamkia yule kijana tajiri aliruka ruka na hakuitaja kabisa ya kwanza mpaka ya tatu na akaruka tena na hakumalizia,na pia kwa nn yule kijana japo alisema anazishika lkn Yesu alionesha kutokamilika kwa yule tajiri japo ni mshika amri kikamilifu?,
3:kanisa katoliko ndo limetuzlia Biblia hizi tunazojidai tunazijua kuliko kanisa katoliki(anaekataa akatae lkn wanaojua watakaa kimya)sasa basi km walikuwa na nia ya kupotosha amri za Mungu na si kufanya summary km alivyofanya Yesu kwa Yule tajiri,kwa nini hawakuzipotosha kwenye Biblia wakati wanaikusanya na kuiandika vizuri na kuitafsiri ila waje kuzipotosha ktk vitabu vyao?
Ukitaka nijibu kwa jazba na ukitaka nijibu kwa hekima
Hao watu unasema sabini walikuwa akna nani na je hawakuwa na imani Fulani?Swali lako.la mwisho, kwanza umedanganywa, biblia ya kwanza ni VULGATE , ilitafsiriwa na jopo la watu 70
Roma aliipokea kama wengine tu, KWANZA ELEWA NENO LA MUNGU LINALINDWA NA MUNGU MWENYEWE,
Roma hii unayoishabikia , Ilishaua maelfu ya watu waliokuwa wanailinda BIBLIA na walioitafsiri BIBLIA ili ikufikie wewe,
Nadhan hili hulijui na huwezi kuambiwa,
Tyndale aliuliwa na KANISA LA ROMA KWA KUTAFSIRI BIBLIA KWENDA LUGHA YA ENGLISH
MUNGU MWENYEWE ALISHAAHIDI ATALILINDA NENO LAKE DAIMA aliyasema hayo kupitia nabii Isaya miaka 700 kabla hata YESU hajazaliwa
Isaiah 40:7-8
7 The grass withers and the flowers fall,
because the breath of the
LORD blows on them.
Surely the people are grass.
The grass withers and the flowers fall,
8 but the word of our God endures forever.”
NIMEMALIZAView attachment 907108