Kimo kwenye orodha ya AWSNot yet Uhuru ...Oginga Odinga
The Ashanti Doll...Fancis Bebey
Masquerade Time...Cyprian Ekwensi
Huyu Ngugi wa Thiongo kuna kitabu chake nimesoma lakini sina hakika kama ni AWS lakini hakika ni kitamu. Kinaitwa Devil On The Cross humo ndani kuna Mwaura's Matatuu Matata Matamu Model T Ford MMM 333 mali ya Robin Mwaura, tafuta ukisome.
Nimekisoma hiki kitabu.Muhusika ni mfalme Binta ambaye mwanzoni wananchi wake walimpenda sana lakini baadaye akabadilika na kuanza kujilimbikizia mali na kuwa dikteta.Lakini mwisho wake ulikuwa mbaya.NAWAOMBA WADAU WASOME KITABU CHA " LILA NA FILA KILICHOANDIKWA NA J.KIIMBILA NI KITABU KITABU KINACHOENDANA NA WAKATI
Is it possible?Mtunzi nimemsahau.Nilikipenda sana.Ilikuwa raha sana.Halafu ukute ticha mkali kwa uchambuzi...raha sana.
Nimekisoma hiki kitabu.Muhusika ni mfalme Binta ambaye mwanzoni wananchi wake walimpenda sana lakini baadaye akabadilika na kuanza kujilimbikizia mali na kuwa dikteta.Lakini mwisho wake ulikuwa mbaya.
Nakushukuru ndg yangu kwa kukisoma nazani umepata na kuelewa maufhui ..
Mtunzi WA is it possibilities kama sikosei ni Ole Kulet nami nilikisoma no kizuri sana
Nabkuna ile poem ya huyu huyu Armando inatwa "Eat More". Jamaa yuko vizuri sana na kwenye PoemsMimi napenda poems za Almando Guebuza.
Mfano frontline na they drive me along they do they do...
Kuna ile if we must die
Pia kuna novels kama
No longer at ease by chinua achebe
Kuna A man of the people by chinua achebe
A grain of wheat by Ngungi wa thiongo
Kuna is it possible
Kuna I will.marry when I want
Kuna wheap not a child
Kuna kingine sijui kinaitwa .... Of Obatala nimesahau jina lake exactly
Yah eat more jamaa poems zake ziko ironically hahahaNabkuna ile poem ya huyu huyu Armando inatwa "Eat More". Jamaa yuko vizuri sana na kwenye Poems
Utapata "kiwi ya macho"Na KULI usisahau
Kuhusu huyo jamaa AYI KWEI ARMAH, aliwahi kuishi Tanzania, Jiji pendwa DSM, akiwa kama Mwl Chang'ombe ambayo siku hizi ndio DUCE.The Beautyful Ones Are Not Yet Born. - Ayi Kwei Armah
Hiki kitabu kinahusu siasa japo unaweza ukahisi ni mapenzi kutokana na heading yake
Kinasadifu kila kitu kilichopo katika Tanzania yetu ya leo.