Tujikumbushe: Africa writers series

Not yet Uhuru ...Oginga Odinga
The Ashanti Doll...Fancis Bebey
Masquerade Time...Cyprian Ekwensi

Huyu Ngugi wa Thiongo kuna kitabu chake nimesoma lakini sina hakika kama ni AWS lakini hakika ni kitamu. Kinaitwa Devil On The Cross humo ndani kuna Mwaura's Matatuu Matata Matamu Model T Ford MMM 333 mali ya Robin Mwaura, tafuta ukisome.
 
Not yet Uhuru ...Oginga Odinga
The Ashanti Doll...Fancis Bebey
Masquerade Time...Cyprian Ekwensi

Huyu Ngugi wa Thiongo kuna kitabu chake nimesoma lakini sina hakika kama ni AWS lakini hakika ni kitamu. Kinaitwa Devil On The Cross humo ndani kuna Mwaura's Matatuu Matata Matamu Model T Ford MMM 333 mali ya Robin Mwaura, tafuta ukisome.
Kimo kwenye orodha ya AWS
 
NAWAOMBA WADAU WASOME KITABU CHA " LILA NA FILA KILICHOANDIKWA NA J.KIIMBILA NI KITABU KITABU KINACHOENDANA NA WAKATI
Nimekisoma hiki kitabu.Muhusika ni mfalme Binta ambaye mwanzoni wananchi wake walimpenda sana lakini baadaye akabadilika na kuanza kujilimbikizia mali na kuwa dikteta.Lakini mwisho wake ulikuwa mbaya.
 
Is it possible?Mtunzi nimemsahau.Nilikipenda sana.Ilikuwa raha sana.Halafu ukute ticha mkali kwa uchambuzi...raha sana.

Nimekisoma hiki kitabu.Muhusika ni mfalme Binta ambaye mwanzoni wananchi wake walimpenda sana lakini baadaye akabadilika na kuanza kujilimbikizia mali na kuwa dikteta.Lakini mwisho wake ulikuwa mbaya.

Nakushukuru ndg yangu kwa kukisoma nazani umepata na kuelewa maufhui ..

Mtunzi WA is it possibilities kama sikosei ni Ole Kulet nami nilikisoma no kizuri sana
 
Kuli ----- Shafi A. Shafi
Sowing the Seeds of Revolution--- Samor Moses Machel.
Ngoma ya Mwanamalundi----E. Mbogo
Is It Possible? ---H Ole Kulet
 
vitabu ambavyo ukivisoma utatamani visiishe ni MOSES by barbara kimenye halafu kuna The narrow path, hivi vitabu ni visa kwenda mbele.
 
Burning Grass is a novel by Nigerian author Cyprian Ekwensi, first published in 1962 as part of the Heinemann African Writers Series
 
Mimi napenda poems za Almando Guebuza.
Mfano frontline na they drive me along they do they do...
Kuna ile if we must die
Pia kuna novels kama
No longer at ease by chinua achebe
Kuna A man of the people by chinua achebe
A grain of wheat by Ngungi wa thiongo
Kuna is it possible
Kuna I will.marry when I want
Kuna wheap not a child
Kuna kingine sijui kinaitwa .... Of Obatala nimesahau jina lake exactly
Nabkuna ile poem ya huyu huyu Armando inatwa "Eat More". Jamaa yuko vizuri sana na kwenye Poems
 
Kuna kile cha 'Is It Possible" anazungua if its possible for a young Maasai man to carry a spear and a sword na wakati huo huo to carry books, akazungumzia na harakati za ukombozi kutoka kwa wakoloni. It's among the best books, nimekisoma zaidi ta mara tatu
 
The Beautyful Ones Are Not Yet Born. - Ayi Kwei Armah


Hiki kitabu kinahusu siasa japo unaweza ukahisi ni mapenzi kutokana na heading yake

Kinasadifu kila kitu kilichopo katika Tanzania yetu ya leo.
Kuhusu huyo jamaa AYI KWEI ARMAH, aliwahi kuishi Tanzania, Jiji pendwa DSM, akiwa kama Mwl Chang'ombe ambayo siku hizi ndio DUCE.
 
Back
Top Bottom