Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 724
asante mkuuCamera yoyote unaweza ukaanzia inategemea na bajeti yako. Ila vya kuzingatia ni hio camera ina uwezo wa kupiga RAW format na uwezo wa lenses kwasababu mfano lens ambayo ni prime(haizoom in wala out) inakupa picha ambayo ni very sharp ukilinganisha na zoom lens.
Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app