Kram Billz
Member
- Dec 1, 2012
- 75
- 59
Habari zenu wakuu,
Nimeanzisha huu uzi maalumu kwaajili ya kubadilishana ujuzi kuhusu tasnia ya photography na retouching. Hivi vitu viwili huwa vinaenda sambamba na huwa vinategemeana kwasababu ili kufanya picha yako iwe na muonekano na ubora mzuri utahitaji kuiretouch hiyo picha na pia huwezi kuretouch picha ambayo imepigwa chini ya ubora. Mimi binafsi ni photographer na retoucher ila katika tasnia hii inanibidi nijifunze kila siku ili niweze kuongeza ujuzi zaidi kiufupi hakuna mwisho wa kujifunza.
Napenda kuchukua fursa hii kutoa nafasi kwa yeyote mwenye swali kuhusu mada hii aulize bila wasiwasi na kwa pamoja tunaweza kusaidiana. Na nitakuwa najaribu kutuma some tips and tricks ambazo zinaweza kutusaidia katika tasnia hii. Karibuni
Hii ni sample kati ya moja ya kazi zangu ambazo nimefanya ikiwa ni kabla na baada ya kuifanyia retouching