Tujifunze photography na retouching

kama uko interested na hizi mambo unaweza kucheki youtube channel ya Richstar huyu jamaa yupo vizuri anafundisha kwa kiswahili binafsi kanifundisha mambo mengi sana kwenye maswala ya graphics designing,video editing ,kuedit picha kwa kutumia adobe photoshop n.k
Bless up mkuu nitamtafuta
 
Kk Hi. Nina utaalam wa kupiga picha na kwa ss najishugulisha na picha za pasport size. Msaada wgu. Je nataka kuprint mm mwenyewe. Prenter ipi iliyo rahisi kutumia na kwa bei pia upatikanaji wa ink zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mujibu wa hiyo picha yako nmeona umfake nywele hadi zmeonekana si halisi pia katika retouch ni muhinu sana kumaintain skin texture lakin ww umefuta hyo alama ya ndui begani, so kwa ulichokifanya haifai kuweka before and after kwa sabab ya hzo tofauti za wazi zinazonekana,
though nmependa dodge and burn yako,Bravoo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna mipaka wala sheria katika retouching ni jinsi ww unavyoona kipi kinakufaa kwako as long as unajua nini unachotaka kukifanya.Sio kila picha inatakiwa iwe na details nyingi kwenye ngozi mfano glamour skin glow ni ngumu kukuta skin texture na bado ngozi inakuwa sio plastic. Usijiwekee mipaka katika ufanyaji wa kitu, endelea kujifunza bro
 
Mimi Nina Adobe Photoshop cs2 Ila Ni ngumu Sana .nimejifunza kwa YouTube tuitorials Lakini wapi.Nina usongo na background eraser .nimeanza kujua Ila Bado Sana.

Bro inabidi utafute version mpya kidogo angalau hata CS6 ni nzuri sana itakufaa ina tools nyingi ambazo zipo kwenye hizi versions za CC
 
Mkuu unapatikana wapi?, ningependa kujua kama una studio au unafanya training. Nafanya photography ila sipo deep sana though sio beginner.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ninaishi Dsm Tabata kisukuru sina studio ila unaweza ukajifunza kwa kuuliza maswali na kuangalia tutorials na bado ukawa vizuri. Mfano mimi binafsi sikuwahi kufundishwa photography wala retouching ni juhudi zangu mwenyewe za kujifunza hadi kufikia hapa nilipo
 
ninapotumia spot blush kuondoa chunusi , kuna rangi nyeusi inakuwa unabaki kwenye uso.
tatizo ni nini naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app

Spot healing brush huwa inasample eneo automatically na kuweka sehemu nyingine kwa sababu hii muda mwingine inaweza kuwa imesample sehemu tofauti mfano inaweza ikasample sehemu yenye shadows na kuheal sehemu yenye highlights ikitokea hivyo lazima hiyo sehemu iwe nyeusi. Ila healing brush yenyewe kama clone stamp tool inakupa uwezo wa kusample sehemu moja kupeleka kwengine mfano skin texture
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom