Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 629
Kwa mfano nina majina 100 ya wafanyakazi wa kampuni inaitwa Yamaha co. LMT kwenye sheet 1Ulichoshindwa ni kipi? Ulitaka uifanyie kazi gani?
Subiri, niko mbali na PC nitakupatia jina la YouTube video ambapo utakutana na mtaalamu wa kuitumia VLookup, na natumaini utajifunza vitu adimu ambavyo vitakusaidia katika kazi zako.
na
Kwenye sheet 2 Ina majina 1225 ya kampuni/branch 6(Yamaha co LMT ikiwemo).
kwenye hayo majina 1225 wamo wale wafanyakazi 100 wa kampuni ya Yamaha co LMT.
Nataka sheet ya 2 niwachuje wale mia niwawekee alama (ninge filter) tatizo wamechanganyika kwenye sheet 2 ila sheet 1 ina majina mia wa kampuni hiyo
Nataka wale 100 wa 'Yamaha' nifanye vlookup iwawekee alama au wajitenge nipate 1125 wabaki peke yao.
Sijui kama nimejieleza vzr.