Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

Attachments

  • Screenshot_20230423-092341.png
    Screenshot_20230423-092341.png
    33.3 KB · Views: 21
Nina Cell A2 ina jina la mtoto na Cell B2 ina marks nataka cell C2 iwe na maneno yasomeke hivi mzaz wa mtoto jina lichukue A2 amepata alama ya marks itoke B2 nipen formula hapo
Concatination ila cell yenye hizo info haipo mkuu
 
Tumia Countblank function

Syntax
=COUNTBLANK(Cell range) eg Countblank(A1:A800)
Hichi ndo nilihitaji ili kupata wasiofanya hapo je mfano A1-A80 ina jinsi ME na KE na B1-B80 ina masomo sasa nataka formula ya kujua Me wangapi hawajafanya maana watakuwa cell zao hazijajazwa na Ke hivyo hivyo
 
=COUNTIFS(A1:A80,"ME",B1:B80,"")

Alternatively
=SUMPRODUCT(- -(A1:A80="ME"),- -(B1:B80=""))

Omit hiyo space kati ya hizo double minus, nimeweka space ili uone kama kuna minus sign mbili.
 
Back
Top Bottom