Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

Jinsi ya kufunga cell moja mtu asiweze edit kitu abaki msomaji tu nqomba msaada
Gusa cell unayotaka kuifunga kisha bonyeza control +1 shortcut keys. Itakuja pop up window. Nenda sehemu iliyoandikwa protection alafu weka tick kwenye vibox vinavyoonekana ili kulock hizo cell. Click ok.
Baada ya hapo nenda kwenye review tab, clikck protect sheet na kisha weka password.
Au right click sheet name kwenye sheet tab(sheet yenye cell unayotaka kuilock), kisha click protect, kisha weka password. Utakuwa umefanikiwa kuprotect hiyo cell.
 
Mwaka mmoja umepita tangu mtu wa mwisho achangie mada
Mkuu nimetengeneza template ya matokeo ambayo nikiweka alama inanipangia wastani,position na grade.
Sasa nimekuja na wazo jengine maana idadi ya wanafunzi inazidi kuwa kubwa, wazo langu ni kutengeneza fomu ya somo moja moja ili kama najaza hisabati iwe hisabati tu then zile data ziingie kwenye template. Niazie wapi? Kama inawezekana hivyo je tunaweza kujaza watu wawili tofauti kwa kila mmoja na somo lake then tempalate inajiupdate.
Naomba kuwasilisha.
 
Mnaweza kujaza hata watu 10 lakini hapa tunaenda kwenye google sheets sio excel ya kawaida kwenye pc

Pia add sheets kama unataka kila somo liwe na sehemu yake
 
Back
Top Bottom