@Njuka II ni mtu kama ulivyo wewe, isipokuwa yeye, nahisi, ni programmer. Maana Kuna bahadhi ya formula anazozitoa zina uhusiano mkubwa na coding za kwenye programming language, hususani C# na visual basic. Net.Inawezekana akawa ni Robot, mi ukiniambia Njuka II ni mtu sikuelewi
=COUNTIF(B2:B300,"A")/COUNTA(A2:A300)Namna gani nijue wangapi wameingia kazini kwenye attendance sheet kwa asilimia
Shukrani kwa appreciation, tuko pamoja ndgMkuu upo vizuri sana. Hujawahi kunisngusha kabisa.
=COUNT(B19:B63) hii itakupa idadi ya cell zenye namba tu.=COUNTA(B19:B63) hii inatumika kuhesabu seli yoyote iliyoandikwa
of course yes=COUNT(B19:B63) hii itakupa idadi ya cell zenye namba tu.
Lengo la kutumia vigezo vitatu ni nini ndg? Hapo njia nzuri ungetumia wastani kama unataka haki na usawa lakini changamoto yake ni moja, unaweza ukashangaa mwanafunzi mwenye Division I ya 11 akawa anaongoza wakati kuna mwenye Division I ya 10.Mkuu Njuka II, nikitaka kurank marks za wanafunzi kwa kutumia vigezo vitatu kwa pamoja yaani division point, wastani na marks za somo moja ili kuweza kupata wanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho nitumie mbinu gani?
(Ranking which involves breaking more than two ties or ranking with three criteria for ranking).
Msaada tafadhali.
Formula ninayotumia mimi ni hii hapa chini ambayo inatumia criteria mbili tu. Nataka niongeze ya tatu. Je nifanyeje?
=IFERROR(RANK.EQ($R17,$R$17:$R$10000,1)+COUNTIFS($R$17:$R$10000,$R17,$T$17:$T$10000,">"&$T17),"").
Range ya R ni point za division na range ya T ni wastani.
Nimekupata ndugu. Ngoja nifanyie kazi. Nitaleta mrejesho.Lengo la kutumia vigezo vitatu ni nini ndg? Hapo njia nzuri ungetumia wastani kama unataka haki na usawa lakini changamoto yake ni moja, unaweza ukashangaa mwanafunzi mwenye Division I ya 11 akawa anaongoza wakati kuna mwenye Division I ya 10.
Lakini unaweza ukatumia point za division kama ranking values kwa kuongeza some value ili watakapogongana kila mmoja awe na rank value ya kipekee mfano kwenye formula ya kucalculate point za division unaweza ukaongeza + SN/1000 ambapo SN ni serial number ya mwanafunzi, lengo ni kutengeneza decimal point in case kama wanafunzi zaidi ya mmoja wamepata same divsion point
Mfano kama mwanafunzi wa SN 1 na 2 wamepata division I ya 7, wa kwanza atakuwa na 7.001 na huyo wa pili atakuwa na 7.002
Kama wanafunzi ni wengi sana weka SN/10000 au hata SN/100000 ili isije ikamuongezea mtu point mfano kama wanafunzi wapo 1000 na ukatumia SN/1000, huyu mwanafunzi wa mwisho atadhulumiwa point moja nzima na kumfanya apitwe na wenzake ambapo hakutakuwa na usawa
7+SN/1000 where SN=1000 (last student)
7+1000/1000
7+1=8
Hapa atapitwa na wanafunzi wote waliopata Division I ya 7

Perfect. Imefanya kazi kiongozi.Lengo la kutumia vigezo vitatu ni nini ndg? Hapo njia nzuri ungetumia wastani kama unataka haki na usawa lakini changamoto yake ni moja, unaweza ukashangaa mwanafunzi mwenye Division I ya 11 akawa anaongoza wakati kuna mwenye Division I ya 10.
Lakini unaweza ukatumia point za division kama ranking values kwa kuongeza some value ili watakapogongana kila mmoja awe na rank value ya kipekee mfano kwenye formula ya kucalculate point za division unaweza ukaongeza + SN/1000 ambapo SN ni serial number ya mwanafunzi, lengo ni kutengeneza decimal point in case kama wanafunzi zaidi ya mmoja wamepata same divsion point
Mfano kama mwanafunzi wa SN 1 na 2 wamepata division I ya 7, wa kwanza atakuwa na 7.001 na huyo wa pili atakuwa na 7.002
Kama wanafunzi ni wengi sana weka SN/10000 au hata SN/100000 ili isije ikamuongezea mtu point mfano kama wanafunzi wapo 1000 na ukatumia SN/1000, huyu mwanafunzi wa mwisho atadhulumiwa point moja nzima na kumfanya apitwe na wenzake ambapo hakutakuwa na usawa
7+SN/1000 where SN=1000 (last student)
7+1000/1000
7+1=8
Hapa atapitwa na wanafunzi wote waliopata Division I ya 7
Nipe namba yako mkuu. Nitarekebisha usijali.Mlete hata hela za soda basi, kila mtu anatoa maua tu....tuko pamoja ndg
Hapo itabidi tu uingize manually ndg, halafu utengeneze hata table pembeni iwe inacount no of appearance kwa kila mwalimuKazini kwangu (shuleni) kumekuwa na lawama sana kwamba ratiba ya kusimamia mitihani haina usawa,, kuna wengine wanatokea mara nyingi zaidi ya wengine.
Nikapata wazo kuwa niandae list ya walimu wote na madarasa yote yanayotakiwa kusimamiwa alafu niicommand EXCEL iyafeed majina haya yajipange kwenye vyumba vya mitihani kwa usawa na hata yakizidiana kutokea basi iwe kwauchache.
Naja kwenu ndugu zangu,,
Je ni function zipi zitanisaidia kazi hii ya kupanga majina ili angalau walimu watokee kwa idadi sawa (hata kama 100%) katika ratiba hio?
Njuka II
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Anza kuorodhesha waalimu wote wanaotakiwa kusimamia mtihani na kisha kila mwalimu mpe namba yake. Mfano kama wapo kumi, watakuwa na namba 1,2,......10.Kazini kwangu (shuleni) kumekuwa na lawama sana kwamba ratiba ya kusimamia mitihani haina usawa,, kuna wengine wanatokea mara nyingi zaidi ya wengine.
Nikapata wazo kuwa niandae list ya walimu wote na madarasa yote yanayotakiwa kusimamiwa alafu niicommand EXCEL iyafeed majina haya yajipange kwenye vyumba vya mitihani kwa usawa na hata yakizidiana kutokea basi iwe kwauchache.
Naja kwenu ndugu zangu,,
Je ni function zipi zitanisaidia kazi hii ya kupanga majina ili angalau walimu watokee kwa idadi sawa (hata kama 100%) katika ratiba hio?
Njuka II
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Tumia function ya RANK.EQMie ndo naanza kujifunza excel… ktk kurank wanafunzi mfano kwa kutumia jumla ya alama, unaweza kuta wanafunzi wawili wana alama sawa mfano wote wana jumla ya alama 300 na na wamekuwa 1. Yan S/N 1 jumla alama 300 kawa number 1 na S/N 2 alama 300 kawa 1 mie nataka wote wawe na 1.5 kwa maana ya kulingana. Maranyingi nafanya manuel huwa inanichukulia muda kwa idadi kubwa ya wanafunzi wanapolingana alama. Je, kuna solution fupi?
Tumia function ya RANK.EQ