Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,831
- 9,039
Hapa nilichemka kuzikusanya zoote, mfano mapato,matumizi na gharama zingine yaani nilichemka parefu SanaYaan Excel ni Hisabati mwanzo mwisho ndio maana wanaitumia kwenye kuunda Database
Hapa nilichemka kuzikusanya zoote, mfano mapato,matumizi na gharama zingine yaani nilichemka parefu SanaYaan Excel ni Hisabati mwanzo mwisho ndio maana wanaitumia kwenye kuunda Database
Kweli kabisa, mimi nilikuwa najua bahadhi ya functions na formula za excel Kwa ajili ya kuchakata matokeo ya Wanafunzi, Walimu wenzangu wakawa wananiita "Mtaalamu wa IT". Nikawa najichekea tu.Uzuri ukiijua Excel watu wataanza kukuita IT IT IT IT.
Baada ya kuijua Excel vizur nikasoma programming nasi nikawa nimeua kabisa
VLookup function ni nzuri, tena sana, Kwa kuwa inarahisisha mambo mengi. Vile vile unaweza kuchakata taarifa mbalimbali pasipo kuumiza kichwa. Ni nzuri sana.Mm bianfs nazichezea sana Excel lkn mnyama vlookup amegoma kichwani, naniulizaga hii kichwa inataka nini
Kwa formula zote kama unataka kuondoa ibakie data tu peke yake copy tu hizo data alafu paste hapo hapo kama Value only, formula zitatoka lkn data na format itabakia ile ile.Hivi namna ya kuondoa zile link za vloookup kwenye formular bar baada ya michakoto yote inakuwaje?
. Hii itakusaidia.
=RANDBETWEEN(70,95)
Hii itakupa marks za watoto kuanzia70 hadi 95 bila kujirudia
Ila sasa ukimaliza utacopi zote then utapaste kama value
Unaweza tuelekeza namna ya kutengeneza ratiba ya vipindi.Kweli kabisa, mimi nilikuwa najua bahadhi ya functions na formula za excel Kwa ajili ya kuchakata matokeo ya Wanafunzi, Walimu wenzangu wakawa wananiita "Mtaalamu wa IT". Nikawa najichekea tu.
Hizo za Error zinakua zipoje bigExcel ni moja ya spreadsheet pana sana,binafsi naitumia excel na google sheets kwa ajili ya kutrack KPI na kufanya baadhi ya Analysis, si lazima kumaster kila kitu kwenye hizo labda kama wewe ni mkufunzi, cha muhimu kuwa deep sehemu zinazokusaidia kwenye shughuli zako, baadhi ya functions ambazo nazitumia sana ni
1.Count & Sum functions - hizi ni countif, countifs, counta,sumif, sumifs sum n.k
2.Lookup functions - vlookup, match and index, sumproduct
3.Logic functions - if, ifs, nested ifs, and , or n.k
4.Errors - iserror, isna n.k
5.Importrange - kulink data kutoka sehemu mbalimbali ktk google sheets
Zipo nyingine ambazo nazitumia mara moja moja kutokana na situation mfano average,average if, mode,mean,max,min,filter, query n.k. Zaidi ya formula & function natumia pivot table kufanya quick analysis, na natumia Charts kwa ajili ya kusummarize matokeo na kutengeneza dashboard pia natumia Power query kwa ajili ya kuandaa data kabla ya kuzianalyse, Macros na VBA natumia mara chache sana kama nimetingwa.
Hata Mimi aisee hii ngoma inawashinda walimu wengi sana na wengi hufanya Kwa kulazimishaKweli kabisa, mimi nilikuwa najua bahadhi ya functions na formula za excel Kwa ajili ya kuchakata matokeo ya Wanafunzi, Walimu wenzangu wakawa wananiita "Mtaalamu wa IT". Nikawa najichekea tu.

Mi ninachojua Kuna program maalumu inayofanya kazi ya kupanga ratiba, nimeisahahu jina, unachokielezea bado sija "experience" Kwa excel. Kwangu huwa naandaa ratiba ya kawaida ya vipindi vyangu Kwa kutumia excel, lakini kuandaa ya Shule yote Kwa Walimu wote na vipindi vyote, Kwa kutumia excel, bado sijawahi jaribu.Unaweza tuelekeza namna ya kutengeneza ratiba ya vipindi.
Niingize majina ya walimu na madarasa, then excel inioneshe collision na suggestions.?
Use conditional formating for dublicatesUnaweza tuelekeza namna ya kutengeneza ratiba ya vipindi.
Niingize majina ya walimu na madarasa, then excel inioneshe collision na suggestions.?
Hata kwa Excel pia inawezekana, mi ninayo hiyo template niliitengenezaga, inakuonesha na collision ya vipindiMi ninachojua Kuna program maalumu inayofanya kazi ya kupanga ratiba, nimeisahahu jina, unachokielezea bado sija "experience" Kwa excel. Kwangu huwa naandaa ratiba ya kawaida ya vipindi vyangu Kwa kutumia excel, lakini kuandaa ya Shule yote Kwa Walimu wote na vipindi vyote, Kwa kutumia excel, bado sijawahi jaribu.
Basi sawa, binafsi sijawahi practice, nitajaribu.Hata kwa Excel pia inawezekana, mi ninayo hiyo template niliitengenezaga, inakuonesha na collision ya vipindi
Nimejaribu nimeshindwaVLookup function ni nzuri, tena sana, Kwa kuwa inarahisisha mambo mengi. Vile vile unaweza kuchakata taarifa mbalimbali pasipo kuumiza kichwa. Ni nzuri sana.
Mkuu naomba PM-inbox hiyo templateHata kwa Excel pia inawezekana, mi ninayo hiyo template niliitengenezaga, inakuonesha na collision ya vipindi
Ulichoshindwa ni kipi? Ulitaka uifanyie kazi gani?Nimejaribu nimeshindwa
PoaUlichoshindwa ni kipi? Ulitaka uifanyie kazi gani?
Subiri, niko mbali na PC nitakupatia jina la YouTube video ambapo utakutana na mtaalamu wa kuitumia VLookup, na natumaini utajifunza vitu adimu ambavyo vitakusaidia katika kazi zako.