Tujifunze kwa yanayotokea Marekani

Tujifunze kwa yanayotokea Marekani

Huo ni otovu wa nidhamu wa akili. Kila kitu ukitaka ujifunze Marekani utakwama mku. Wanaweza pia kujifunza kutoka Tz .
Sasa hata mambo ya ushoga (Ndoa za jinsia moja nayo tujifunze tuanze ku practice)?
Sisi huku wanawake ni wengi wanaume ndo wachache hatuna haja ya kujifunza kutoka America.
 
Huo ndio unaitwa utawala wa sheria, kwetu sheria amehodhi mtu mmoja tu akiamua kitu hakuna wa kupinga kama alivyoamua kujenga ukuta wa mererani na kununua ndege.

Na kujenga ukuta; na kununua korosho; na kujenga International Airport porini; na kujenga Stieglers gorge; na kupiga marufuku bunge lisionekane likifanya kazi; mikutano ya siasa afanye yeye peke yake na chama chake; anunue wabunge (sijui rais wa Marekani ataanzia wapi kumnunua mbunge); yeye ni kila kitu na chochote kilichomo ndani ya Tanzania ni halali yake, anao uamzi wa kukifanya atakavyo yeye. Akisema hataki wasichana wasome tutabaki tunalialia pembeni, lakini hakuna tunachoweza kufanya kukataa maagizo kama hayo.
Nchi hizi zetu, rais ni mungu.
 
Huo ni otovu wa nidhamu wa akili. Kila kitu ukitaka ujifunze Marekani utakwama mku. Wanaweza pia kujifunza kutoka Tz .
Sasa hata mambo ya ushoga (Ndoa za jinsia moja nayo tujifunze tuanze ku practice)?
Sisi huku wanawake ni wengi wanaume ndo wachache hatuna haja ya kujifunza kutoka America.
Acheni kujilisha ubatili. Ni lazima kufuata sheria zilizopo. Kuhusu ushoga huo ni khiyari ya moyo. Ukijisikia kunepewa, weye nepewa tu. Ila kuchagua hili tumuige Mmarekani lile tusimuige ni upuuzi. Lililo jema liigwe.
 
Kwanini wamarekani wasijifunze kwetu?
Huu upumbavu wa kujifunza kila kitu kwa mzungu utaisha lini?
Sasa nyie Jiwe anaamua tu pesa zitumikajee unataka Marekani wajifunze ujinga gani hapoo???

Elimu Mbovuu... Mara Kuua Albino... Kuteka watu... Unataka marekani wajifunze upuuzi huu au??? Hakuna kitu Marekani wanaweza kujifunza toka tanzania labda Kiswahili bhasii... Mengine yote Uozoooo mtupuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.
Lipi alilofanya akafanikiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tuna tiririka tu, mambo yata kuwa sawa yenyewe huko mbele.
 
Huo ndio unaitwa utawala wa sheria, kwetu sheria amehodhi mtu mmoja tu akiamua kitu hakuna wa kupinga kama alivyoamua kujenga ukuta wa mererani na kununua ndege.
Hata akitia hasara ya matilioni, anakuja tu mbele ya TBCCM anasema serikali haipati hasa WATU WANACHEKACHEKA, KUSHANGILIA na KUPIGA MAKOFI kama MAZWAZWA Koko !!
 
Akili mfilisi hii /eeh Mungu watu wangu wanaangamia kwa kukosa akili kumkichwa kudadeki lol
Kwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni otovu wa nidhamu wa akili. Kila kitu ukitaka ujifunze Marekani utakwama mku. Wanaweza pia kujifunza kutoka Tz .
Sasa hata mambo ya ushoga (Ndoa za jinsia moja nayo tujifunze tuanze ku practice)?
Sisi huku wanawake ni wengi wanaume ndo wachache hatuna haja ya kujifunza kutoka America.
Napenda watu kama nyie wt wengi bado wana usingizi wa pono brain washed wanadhani kila cha ngozi nyeupe ni bora matata. Wapumbavu wa kitumwa .
 
Kwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.
Utekelezaji bila sheria. Vunja bunge tujue kichwa kimoja ndo sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani umeanza 1992, inamaana kutoka 1961-1991, miaka 30 bila kuwepo UPINZANI, Hapa maana yake ni kwamba kwa miaka hiyo 30, CCM haikuwa na mpingaji, Je kwa muda huo wa miaka 30 ni nini ambacho CCM mlikifanya na hiki mnachokomaa kujinadi mnakifanya sasa hivi kilishindikana kufanyika katika huo mfumo wa kutokuwa na MPINGAJI kwa sasabu zipi???
Licha ya hivyo,watu wanapinga vitu kwa hoja na fact,sasa kwanini na ww usithibitishe usahihi wako kwakupanguwa hizo hoja na fact ili uaminike kuwa unafanya kitu sahihi?

Jambo la pili,hivi ni jambo gan ambalo wapinzani waliwahi kulipinga na kweli halikupitishwa na bunge? Mbona CCM ndo ina wabunge wengi na hata sheria za kipumbavu za ukandamizaji wanazipitisha iweje leo rais atumie pesa hazina bila ya idhini ya Bunge eti kwakisingizio wapinzani wanapinga kila kitu,watamkwamisha akipitia Bungeni? Yaan raisi avunje sheria na katiba et kwakisingizio cha kukwamishwa na wapinzani jamani mbona mnatufanya mazuzu watanzania nyie CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wamarekani wasijifunze kwetu?
Huu upumbavu wa kujifunza kila kitu kwa mzungu utaisha lini?
Utaisha siku utakapo kua na uwezo wa kuchanganua na kupambanua mambo
 
Nimezaliwa hapa Tanzania,nimesoma miaka 13 Tanzania so naipenda sana, japo 2022 naenda kuishi Maharashastra lakini Tz itabaki kuwa nyumbani na ndugu zangu wengi sana wapo hapa.
Nikipata 1000 mia 800 itabaki Tz 200 itaenda Bharat.
Nawapenda sana watanzania na wahindi pia.
Jioni njema.
Tuambie bas fursa huko Ili tuhamie sote mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fursa zipo bongo kazana utatoboa tu, hata mimi nipo bongo.
Sio kweli mkuu,bongo usawa huu wa stone age ni pagumu sana ndomaana hata nyie wadosi mnakimbia mnatuachia magorofa yetu pale kariakoo.

Hatahivyo,ninampango wa kuishi India ili nipate fursa ya kuoa mdada wa kihindi kama ulivyoshauri. Kwa unyenyekevu mkubwa mkuu nakuomba kwa maranyingine tena ukubari kunipa ushirikiano kwakunitajia fursa huko tuhamie sote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.

Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na watumishi kama laki nane hawafanyi kazi ipasavyo kisa kukosa bajeti baada ya serikali kuomba fedha hasa za ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico.
Wabunge wa Democratic Party wamegoma, lakini pia Rais Trump ameapa lazima ukuta ujengwe na apewe US dollars billion tano.
Wabunge wanataka serikali utumie 1.3 billion kuimarisha ulinzi mpakani.
Lakini pamoja na misimamo ya kila upande sijaona nguvu ikitumika.
Najiuliza Marekani chama kinachokuwa madarakani hakina ilani ya uchaguzi ambayo inatakiwa kutekelezwa.

Rais hawezi amua ku divert fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama tifanyavyo sisi?
Rais waMarekani hana nguvu kuamua kama tifanyavyo sisi kama alivyo amua Rais Magufuli kwenye ujenzi wa barabara ya Morocco to Mwenge na mengine kama hayo.

Kwanini rais asivunje bunge kutimiza malengo yake.
Kimberly Marekani rais anaweza kuamua jambo akakwamishwa na bunge.
Kwa kweli kuna mengi ya kukifunza kutokana na sakata hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Marekani na Tanzania ni nchi tofauti,na kila nchi ina katiba na taratibu zake ndio maana yeye Trump kaamua kutumia government shutdown,ungemuuliza je hadi kufikia hatua hiyo katumia mamlaka gani?Watanzania tumekuwa wakuiga tu eti unafuatilia mambo ya Marekani halafu unakuja huku kutaka tuwe kama Marekani au nawewe unataka raisi wetu afanye ''government shutdown'' kwa kuwa wabunge wa upinzani wanapinga yale anayoyafanya raisi?Watu wengine bure kabisa.
 
Kila nchi ina cha kujifunza kutoka nchi nyingine.
Ninachopinga ni upumbavu wa kutaka kujifunza kila kitu na kila siku kwa mzungu.
Nachukia upumbavu wa kuamini cha mzungu ndo bora daima.
Huu ni msimamo wangu unchangeable.
Ni nani alosema kila kitu tujifunze kwa wazungu,au ni dhana potofu uliyonayo nafsi mwako? Sir khan,hata ustaarabu ulionao Leo unatokana na hao unaowabeza. Kama siyo hao muda huu ungekuwa umevaa vibwaya ambavyo kwa sasa vinavaliwa ngomani,ulikuwa unajua kuvaa sauti na mke gauni?Palipo na ukweli tuseme. Hata wewe ni lazima ushirikiane na jamii kwa namna moja au nyingine ili maisha yaende,hii ni pamoja na kuipa jamii nafasi ya kukukosoa. TIA AKILI SIR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom