Tujifunze kwa yanayotokea Marekani

Tujifunze kwa yanayotokea Marekani

Mkuu,nitafutie mke wa kihindi tafadhari.nije nioe hata kwenu
Siwezi kukutafutia na wala siwezi kumshauri dada wa Kihindi kuolewa Tz kwa sababu wabongo mnawachukia sana wahindi.Wewe unaweza ukampenda lakini ndugu zako na jamii inayomzunguka watamchukia na kumtenga.
Kama upo tayari kuishi India hapo sawa ila kama unataka kuishi naye hapa nisamehe bure.
 
Kwanini wamarekani wasijifunze kwetu?
Huu upumbavu wa kujifunza kila kitu kwa mzungu utaisha lini?
We kweli hauko sawa. Wazee wako hawajui matumizi ya choo,wanao huko vijijini hawajui matumizi ya chupi,kaka zako hapa mjini hawajui hata treni ya umeme inafananaje,wewe leo unataka wamarekani wajifunze kwetu?
Hata kaka yako Mzee Meko hajui kizungu,mshauri basi aende kusoma hata English kozi ili ikitokea kama bahati,Tramp akimpigia simu aweze hata kumsalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kukutafutia na wala siwezi kumshauri dada wa Kihindi kuolewa Tz kwa sababu wabongo mnawachukia sana wahindi.Wewe unaweza ukampenda lakini ndugu zako na jamii inayomzunguka watamchukia na kumtenga.
Kama upo tayari kuishi India hapo sawa ila kama unataka kuishi naye hapa nisamehe bure.
Wahindi ndo wana ubaguzi sana kitu kinachopelekea chuki kutoka kwa blacks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kukutafutia na wala siwezi kumshauri dada wa Kihindi kuolewa Tz kwa sababu wabongo mnawachukia sana wahindi.Wewe unaweza ukampenda lakini ndugu zako na jamii inayomzunguka watamchukia na kumtenga.
Kama upo tayari kuishi India hapo sawa ila kama unataka kuishi naye hapa nisamehe bure.
Mkuu acha ubaguzi..mbona sisi tunaishi nao vizuri saana hao wahindi wakiwa hapa kwetu.. tofauti na sisi tukienda kule India
 
Huo ni otovu wa nidhamu wa akili. Kila kitu ukitaka ujifunze Marekani utakwama mku. Wanaweza pia kujifunza kutoka Tz .
Sasa hata mambo ya ushoga (Ndoa za jinsia moja nayo tujifunze tuanze ku practice)?
Sisi huku wanawake ni wengi wanaume ndo wachache hatuna haja ya kujifunza kutoka America.
Hayo yalikuwepo toka sodoma na gomora. Je wakati huo us ilikuwepo? Duu! Kilosa elimu ni janga baya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waulize huko Libya waliotaka uhuru wa kusema na democracia kama waliipata baada ya wananchi kumwondoa Rais Gadaffi kwamba ni Dikiteta. Kwa Wafrica bila kuwa DIKITETA mambo hayaendi rafiki yangu.
Wafrica hawajui mana halisi ya Demokrasia hasa Tanzania. Wao ni kutukana tu na kuandamana hapo watafurahi.
Lakini haohao Watanzania mbona hawasemi kwamba MUNGU ni Dikiteta. Yeye alisema Usiibe, Usizini, Usiue n.k
Hawajawahi kulalamika kwamba katunyima democrasia mana wengine wanataka wavinjari kila kona.
UKO 2019 KIUPEO CHIFU, ACHANA NAYO HAYO MAZWAZWA YA MABEBERU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu, sote tunaweza kuwa tumestaarabika, lakini viwango vya kustaarabika ni tofauti kabisa. Hatuna ustaarabu uliolingana. Nafikiri umenielewa.
 
Bahati mbaya huku Africa na hasa TANZANIA wapinzani mnapinga kila kitu. Hayo ndio yametuchelewesha kusonga mbele.
1.mradin wa Stiegler's gorge.. haufai
2. Elimu bure...upuuzi
3. Ujenzi wa flyover..hovyo kabisa
4. Watumishi hewa..mnawaonea
5. Kikokotoo..kiki 2020
6. Uwajibikaji..dikteta
7. Ukuta mererani..hovyo
8. Kununua ndege..wakijijini watapanda?
7. SGR .. matumizi ya hovyo
8. Korosho..kiki 2020
Na mambo chungu mzima yanayofanywa kwa nia njema kabisa lakini bado ili uonekane wewe ni mpinzani basi lazima upinge.
Government shutdown ya marekani imekubalika na wananchi wengi hata wa republicans ndio maana wengi walijiuzuru. Uwepo wa wakimbizi ktk nchi wana positive impact ktk ukuaji wa uchumi kwani mara nyingi huwa ni cheap labourers na wanafanya kazi intensively bila malalamiko. Angela markel wa ujerumani alipata tabu mwanzoni wakati aliporuhusu wakimbizi wengi kuingia lakini hali ni tofauti kwa sasa. Wenyeji wa mikoa ya kigoma, kagera na geita wanajua umuhimu wa wawakimbizi tatizo ni kwamba wakimbizi hawa wanatokana na nchi zisizo na udhibiti madhubuti wa silaha.
My take:
Ni bora uwe tyrant kwa maslahi ya wananchi wako wengi na hasa wenye hali za chini kuliko kufurahisha kikundi kidogo na mabeberu.
Kupindisha sheria hata kama ni kwa nia nzuri bado ni kosa. Sasa kamwe usitarajie kupongezwa pale unapofanya makosa.
 
Boss MKEHA Ni Nani aliyekuambia hawajifunzi ya Watu wa Nchi zingine??? !!!
Watendaji wetu Kila uchwao wanaenda nje ya Nchi kwenye Mikutano, Kusoma, Semina, Na mengineyo.
Tatizo sisi Waafrica bado Sana hatuwezi kujiongoza na kujitegemea. Iwapo tuna resources nyingi.
Tamaa za Madaraka na Kujilimbikizia Mali bila kujali maslahi mapana ya Nchi na wengine.
Lingine kama Taifa tuwe na Mipango endelevu, sio Kila Rais au Waziri au Viongozi mpya anakuja na lake.
Mimi naamini bado tuna nafasi ya kufanya vizuri kama tukikabadilisha hizi kasoro ndogo ndogo.
Nitataja baadhi ya kasoro:
1. Kusiwe na Binadamu aliye juu ya Sheria na Katiba ya Nchi, hata awe Rais au Tajiri.
2. Watu wote walipe Kodi, wajengewe uwezo wa kupenda kulipa Kodi.
3. Kuboresha maslahi ya Wafanyakazi na vitendea kazi.
4. Kwenye Chaguzi kusiwe na ahadi nyingi. Yaani ahadi zisizidi 5 kwa Kila Mkoa mmoja hapa kwa Kila ngazi Urais, Wabunge na Madiwani.
5. Madaraka ya Rais yapunguzwe.
6. Kusiwe na muingiliano wa mihimili.
Na mengineyo.

Nimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.

Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na watumishi kama laki nane hawafanyi kazi ipasavyo kisa kukosa bajeti baada ya serikali kuomba fedha hasa za ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico.
Wabunge wa Democratic Party wamegoma, lakini pia Rais Trump ameapa lazima ukuta ujengwe na apewe US dollars billion tano.
Wabunge wanataka serikali utumie 1.3 billion kuimarisha ulinzi mpakani.
Lakini pamoja na misimamo ya kila upande sijaona nguvu ikitumika.
Najiuliza Marekani chama kinachokuwa madarakani hakina ilani ya uchaguzi ambayo inatakiwa kutekelezwa.

Rais hawezi amua ku divert fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama tifanyavyo sisi?
Rais waMarekani hana nguvu kuamua kama tifanyavyo sisi kama alivyo amua Rais Magufuli kwenye ujenzi wa barabara ya Morocco to Mwenge na mengine kama hayo.

Kwanini rais asivunje bunge kutimiza malengo yake.
Kimberly Marekani rais anaweza kuamua jambo akakwamishwa na bunge.
Kwa kweli kuna mengi ya kukifunza kutokana na sakata hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nyinyi ndio husema marekani ni mfano kwenu kwa kila kitu!!!!!

Hapa unasema bunge la marekani lina maamuzi juu ya kauli ya rais,wakati huo unakiri wizara kadhaa kukosa pesa baada ua rais kusisitiza amri yake,la sivyo serikali itsendelea kufungwa muda usiojulikana.[emoji38][emoji38][emoji38].

Urais sio hizo stori zenu za abunuwasi mnazokaa mkiongopeana huko,rais popote duniani ndio msemaji wa mwisho,haya mengine ni mbwembwe tu.
Kaka unaota mchana. Kila muhimili una mipaka yake. Wenzetu wanaheshimu sana hilo. Ndiyo maana mabunge ya wenzetu yanauwezo wa kudindishiana misuli na maraisi wao nao wakanywea. Zito Kabwe amefanya jambo la Afya sana kutoa takwimu za vitabu alivyosoma 2018. Kusoma kunatengeneza uelewa mpana sana. Naliona tatizo la kutosoma vitabu na Makala mbali mbali lipo kwa wengi humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir khan, kwani kuna Sababu ya kucoment kila thread? Unajipunguzia credit. Kwa mawazo yako us watajifunza nini tz!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndo tatizo la mtu mweusi yaani unaamini wewe ni wa kujifunza kila kitu kwa mzungu,ni nani aliyewaroga nyie?
Kuwa viwango vya juu haimfanyi mtu hasijifunze vitu positive vya watu wa chini hata mwalimu mwenye masters hujifunza baadhi ya mambo kutoka kwa wanafunzi wake japo anawazidi kielimu.
Husipobadilisha mtazamo wako hata nikiandika essay kumi huwezi kunielewa na hili tatizo si wewe tu bali mabilioni ya ngozi nyeusi mpo hivi.
 
Kaka unaota mchana. Kila muhimili una mipaka yake. Wenzetu wanaheshimu sana hilo. Ndiyo maana mabunge ya wenzetu yanauwezo wa kudindishiana misuli na maraisi wao nao wakanywea. Zito Kabwe amefanya jambo la Afya sana kutoa takwimu za vitabu alivyosoma 2018. Kusoma kunatengeneza uelewa mpana sana. Naliona tatizo la kutosoma vitabu na Makala mbali mbali lipo kwa wengi humu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa unabishana na mimi hapa while trump kaifunga serikali,either itoe pesa alizo taka,au iendelee kuchezea ban.

Si waendeleee na kazi kama wana maamuzi na hawapangiwi!!!!
 
Bahati mbaya huku Africa na hasa TANZANIA wapinzani mnapinga kila kitu. Hayo ndio yametuchelewesha kusonga mbele.
1.mradin wa Stiegler's gorge.. haufai
2. Elimu bure...upuuzi
3. Ujenzi wa flyover..hovyo kabisa
4. Watumishi hewa..mnawaonea
5. Kikokotoo..kiki 2020
6. Uwajibikaji..dikteta
7. Ukuta mererani..hovyo
8. Kununua ndege..wakijijini watapanda?
7. SGR .. matumizi ya hovyo
8. Korosho..kiki 2020
Na mambo chungu mzima yanayofanywa kwa nia njema kabisa lakini bado ili uonekane wewe ni mpinzani basi lazima upinge.
Government shutdown ya marekani imekubalika na wananchi wengi hata wa republicans ndio maana wengi walijiuzuru. Uwepo wa wakimbizi ktk nchi wana positive impact ktk ukuaji wa uchumi kwani mara nyingi huwa ni cheap labourers na wanafanya kazi intensively bila malalamiko. Angela markel wa ujerumani alipata tabu mwanzoni wakati aliporuhusu wakimbizi wengi kuingia lakini hali ni tofauti kwa sasa. Wenyeji wa mikoa ya kigoma, kagera na geita wanajua umuhimu wa wawakimbizi tatizo ni kwamba wakimbizi hawa wanatokana na nchi zisizo na udhibiti madhubuti wa silaha.
My take:
Ni bora uwe tyrant kwa maslahi ya wananchi wako wengi na hasa wenye hali za chini kuliko kufurahisha kikundi kidogo na mabeberu.
Asilimia kubwa ya watu wapo kama wewe hawatazami mizani kupata uwiano,au pengine huwa na Interest zao za siri za siasa..Mi navyodhani wapinzani walihitaji concrete answer na kuoneshwa viashiria kuwa miradi itaenda sawa italeta manufaa..sasa wewe unatetea tu kama Aunt wa Kikokoteo cha Mafao..Mfumo unaoutumia kujaji ndio unaongoza kudumaza watanzania wengi kufikiria..I believe wewe itakuwa smart ila hauna interest ya kumsaidia maskini au pengine unapima upepo wa kisiasa
 
Nimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.

Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na watumishi kama laki nane hawafanyi kazi ipasavyo kisa kukosa bajeti baada ya serikali kuomba fedha hasa za ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico.
Wabunge wa Democratic Party wamegoma, lakini pia Rais Trump ameapa lazima ukuta ujengwe na apewe US dollars billion tano.
Wabunge wanataka serikali utumie 1.3 billion kuimarisha ulinzi mpakani.
Lakini pamoja na misimamo ya kila upande sijaona nguvu ikitumika.
Najiuliza Marekani chama kinachokuwa madarakani hakina ilani ya uchaguzi ambayo inatakiwa kutekelezwa.

Rais hawezi amua ku divert fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama tifanyavyo sisi?
Rais waMarekani hana nguvu kuamua kama tifanyavyo sisi kama alivyo amua Rais Magufuli kwenye ujenzi wa barabara ya Morocco to Mwenge na mengine kama hayo.

Kwanini rais asivunje bunge kutimiza malengo yake.
Kimberly Marekani rais anaweza kuamua jambo akakwamishwa na bunge.
Kwa kweli kuna mengi ya kukifunza kutokana na sakata hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ni USA na hapa ni Tanzania.
Wewe nenda kajifunze huko acha vi manbo maneno yenu kila siku mnaleta vijambo vya ajabu humu.
Nyinyi cdm kazi kupika majungu tu.loh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom