misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,789
- 14,570
Hoja yako hii nimeipenda...Kwanini wamarekani wasijifunze kwetu?
Huu upumbavu wa kujifunza kila kitu kwa mzungu utaisha lini?
Ila hii imenisikitisha sana...Kuna uwezekano mkubwa wa wanangu kutojua kiswahili,hata wakijifunza kiswahili watakuwa na mtazamo kama wangu so no wonder.
Samahani, ila huo ndo uhalisia wanangu watakulia na kusoma India so uwezekano wa kujua Kiswahili ni mdogo sana japo nitajitahidi wajue kiswahili.Hoja yako hii nimeipenda...
Ila hii imenisikitisha sana...
Samahani kwa swali hili..Samahani, ila huo ndo uhalisia wanangu watakulia na kusoma India so uwezekano wa kujua Kiswahili ni mdogo sana japo nitajitahidi wajue kiswahili.
Hii ni mipango yangu sijui Muumba anapangaje.
US wanafanya kazi ya kujenga nchi yao na watu wao,sisi tunafanyakazi ya kujenga ccm na kulinda makaburi-hiyo ndo tofauti kubwaNimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.
Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na watumishi kama laki nane hawafanyi kazi ipasavyo kisa kukosa bajeti baada ya serikali kuomba fedha hasa za ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico.
Wabunge wa Democratic Party wamegoma, lakini pia Rais Trump ameapa lazima ukuta ujengwe na apewe US dollars billion tano.
Wabunge wanataka serikali utumie 1.3 billion kuimarisha ulinzi mpakani.
Lakini pamoja na misimamo ya kila upande sijaona nguvu ikitumika.
Najiuliza Marekani chama kinachokuwa madarakani hakina ilani ya uchaguzi ambayo inatakiwa kutekelezwa.
Rais hawezi amua ku divert fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama tifanyavyo sisi?
Rais waMarekani hana nguvu kuamua kama tifanyavyo sisi kama alivyo amua Rais Magufuli kwenye ujenzi wa barabara ya Morocco to Mwenge na mengine kama hayo.
Kwanini rais asivunje bunge kutimiza malengo yake.
Kimberly Marekani rais anaweza kuamua jambo akakwamishwa na bunge.
Kwa kweli kuna mengi ya kukifunza kutokana na sakata hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.
Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na watumishi kama laki nane hawafanyi kazi ipasavyo kisa kukosa bajeti baada ya serikali kuomba fedha hasa za ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico.
Wabunge wa Democratic Party wamegoma, lakini pia Rais Trump ameapa lazima ukuta ujengwe na apewe US dollars billion tano.
Wabunge wanataka serikali utumie 1.3 billion kuimarisha ulinzi mpakani.
Lakini pamoja na misimamo ya kila upande sijaona nguvu ikitumika.
Najiuliza Marekani chama kinachokuwa madarakani hakina ilani ya uchaguzi ambayo inatakiwa kutekelezwa.
Rais hawezi amua ku divert fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama tifanyavyo sisi?
Rais waMarekani hana nguvu kuamua kama tifanyavyo sisi kama alivyo amua Rais Magufuli kwenye ujenzi wa barabara ya Morocco to Mwenge na mengine kama hayo.
Kwanini rais asivunje bunge kutimiza malengo yake.
Kimberly Marekani rais anaweza kuamua jambo akakwamishwa na bunge.
Kwa kweli kuna mengi ya kukifunza kutokana na sakata hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha huo ni ubaguzi. Watamzania huwa hatuulizani asili zetuSamahani kwa swali hili..
Wewe ni mtanzania au "mtanzania mwenye asili ya Asia"
ghabachori huyo.Samahani kwa swali hili..
Wewe ni mtanzania au "mtanzania mwenye asili ya Asia"
Standard garge, ndege na stiegers gorge vipo ukurasa wa ngapi wa ilani ya UchaguziKwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.
Aha ha nilijua utauliza tu.Samahani kwa swali hili..
Wewe ni mtanzania au "mtanzania mwenye asili ya Asia"
Kweli mkuu...Aha ha nilijua utauliza tu.
Ukishakuwa mtanzania yatosha.Baba yenu Nyerere alishakataa kuulizana maswali ya aina hii.
Serious unajadili matumixi sahihibyabpesa umma au unajadili ushoga wa america?Huo ni otovu wa nidhamu wa akili. Kila kitu ukitaka ujifunze Marekani utakwama mku. Wanaweza pia kujifunza kutoka Tz .
Sasa hata mambo ya ushoga (Ndoa za jinsia moja nayo tujifunze tuanze ku practice)?
Sisi huku wanawake ni wengi wanaume ndo wachache hatuna haja ya kujifunza kutoka America.
Nimezaliwa hapa Tanzania,nimesoma miaka 13 Tanzania so naipenda sana, japo 2022 naenda kuishi Maharashastra lakini Tz itabaki kuwa nyumbani na ndugu zangu wengi sana wapo hapa.Kweli mkuu...
Ila naamini Tanzania imekupa vingi kwenye maisha na hustahiki kuwa mstaliti kwa kuwa unaitwa Khan au una nasaba ya Delhi
Naamini unaipenda Tanzania kuliko wahindi waavyouthamini wewe
Mkuu,nitafutie mke wa kihindi tafadhari.nije nioe hata kwenuNimezaliwa hapa Tanzania,nimesoma miaka 13 Tanzania so naipenda sana, japo 2022 naenda kuishi Maharashastra lakini Tz itabaki kuwa nyumbani na ndugu zangu wengi sana wapo hapa.
Nikipata 1000 mia 800 itabaki Tz 200 itaenda Bharat.
Nawapenda sana watanzania na wahindi pia.
Jioni njema.
Wewe ni mzalendo wa kweli kwa ulicho kiandikaNimezaliwa hapa Tanzania,nimesoma miaka 13 Tanzania so naipenda sana, japo 2022 naenda kuishi Maharashastra lakini Tz itabaki kuwa nyumbani na ndugu zangu wengi sana wapo hapa.
Nikipata 1000 mia 800 itabaki Tz 200 itaenda Bharat.
Nawapenda sana watanzania na wahindi pia.
Jioni njema.