Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,779
- 11,651
Hebu soma tena nilichoandika.kwani wazungu hawawezi kusoma kiswahili...kuelewa kitu kingine
Hebu soma tena nilichoandika.kwani wazungu hawawezi kusoma kiswahili...kuelewa kitu kingine
To put the record straight, Democrats wana wingi ktk baraza la wawakilishi (House of Representatives) na Republicans wana wingi ktk bunge la Senate.MKEHA,
..kuna SEREKALI, BUNGE/CONGRESS[ House of Representatives + Senate], na MAHAKAMA.
..pia wenzetu uchaguzi wa Wabunge[wawakilishi + maseneta] hufanyika wakati tofauti na uchaguzi wa Raisi.
..Raisi Trump alipoingia madarakani alikuta chama chake Republican kina wabunge[wawakilishi + maseneta] wengi kuliko Democrats.
..majuzi umefanyika uchaguzi ambapo Democrats wamepata viti vingi vya wawakilishi, na wamewakaribia Republicans kwa upande wa maseneta. kwa msingi huo Democrats wamekuwa chama kinachoongoza Bunge la Marekani.
..Kwa msingi huo basi kwa sasa hivi Republicans wameshikilia mhimili wa serekali, na Democrats wameshikilia mhimili wa Bunge. Hakuna namna yoyote ile ya kusonga mbele bila vyama hivyo kufanya kazi kwa kushirikiana.
..Kinachoendelea Marekani kinahoji ile dhana ya chama tawala. Je, chama kinaposhinda Uraisi maana yake kinakuwa juu ya vyama vilivyoshinda viti vingi vya Ubunge, au halmashauri za majiji mbalimbali?
Sio mbaya kujifunza yaliyo mazuriKwanini wamarekani wasijifunze kwetu?
Huu upumbavu wa kujifunza kila kitu kwa mzungu utaisha lini?
Kwani jamaa kazungumzia ushoga?Huo ni otovu wa nidhamu wa akili. Kila kitu ukitaka ujifunze Marekani utakwama mku. Wanaweza pia kujifunza kutoka Tz .
Sasa hata mambo ya ushoga (Ndoa za jinsia moja nayo tujifunze tuanze ku practice)?
Sisi huku wanawake ni wengi wanaume ndo wachache hatuna haja ya kujifunza kutoka America.
Pole sana maana unakinzana na ulichokiandikaKuna uwezekano mkubwa wa wanangu kutojua kiswahili,hata wakijifunza kiswahili watakuwa na mtazamo kama wangu so no wonder.
Kweli kabisa. Na mimi nimeziona mil 50 kila kijijiKwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.
Wapi nimekinzana?Pole sana maana unakinzana na ulichokiandika
Ilani ya ccm ni msahafu au biblia ni ujinga tuKwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.
Duuuuu wewe kiboko!!!!!!!!!Hawalalamiki kwa sababu wanaiba, wanazini, wanaua n.k. Sasa walalamikie nini? Ndiyo maana kwa wakatoliki wanahimizwa kutubu.
Wajifunze nini kwetu?Kwanini wamarekani wasijifunze kwetu?
Huu upumbavu wa kujifunza kila kitu kwa mzungu utaisha lini?
Tuna cha kujifunza kwao sawa na wenyewe walivyo na vya kujifunza kwetu kama kukataa ushoga na kutokuwawekea wanaume mpaka wa idadi ya wake wa kuoa nk.Kwanini wamarekani wasijifunze kwetu?
Huu upumbavu wa kujifunza kila kitu kwa mzungu utaisha lini?