Tujifunze kwa yanayotokea Marekani

Tujifunze kwa yanayotokea Marekani

Nimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.

Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na watumishi kama laki nane hawafanyi kazi ipasavyo kisa kukosa bajeti baada ya serikali kuomba fedha hasa za ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico.
Wabunge wa Democratic Party wamegoma, lakini pia Rais Trump ameapa lazima ukuta ujengwe na apewe US dollars billion tano.
Wabunge wanataka serikali utumie 1.3 billion kuimarisha ulinzi mpakani.
Lakini pamoja na misimamo ya kila upande sijaona nguvu ikitumika.
Najiuliza Marekani chama kinachokuwa madarakani hakina ilani ya uchaguzi ambayo inatakiwa kutekelezwa.

Rais hawezi amua ku divert fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama tifanyavyo sisi?
Rais waMarekani hana nguvu kuamua kama tifanyavyo sisi kama alivyo amua Rais Magufuli kwenye ujenzi wa barabara ya Morocco to Mwenge na mengine kama hayo.

Kwanini rais asivunje bunge kutimiza malengo yake.
Kimberly Marekani rais anaweza kuamua jambo akakwamishwa na bunge.
Kwa kweli kuna mengi ya kukifunza kutokana na sakata hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
I.love Mexico. A very beautiful country
 
Kwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.
Lakuzuia mikutano ya vya upinzani piano lipo kwenye ilani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
American Revolutionary War, also known as the American War of Independence, was an 18th-century war between Great Britain and its Thirteen Colonies which declared independence as the United States of America.

Dates: Apr 19, 1775 – Sep 3, 1783

2019-1783=236 years USA
2019-1962= 57 years Tanzania
Bado tuna safari ndefu sana kufika unakofikiria.
Israel mbona imeanza muda si mrefu na wameendelea? Mchawi wa Tanzania ni ccm ikitoka tu nchi hii itakuwa kama south

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna National emergency trump ametishia kuitisha ikitokea yule Speaker ataendelea kupinga hilo na Kama Potus basi kuna nguvu amepewa kuvuka huo mkwamo japo inaweza kumletea madhara mbele, State ni next level wale kwanza wasomi ni wengi na Matumbo yao yameshiba, Bongo hapa ni njaa tu ndo mana unaona hakuna anaekula huku anaongea na unafiki kibao
 
Sio kweli mkuu,bongo usawa huu wa stone age ni pagumu sana ndomaana hata nyie wadosi mnakimbia mnatuachia magorofa yetu pale kariakoo.

Hatahivyo,ninampango wa kuishi India ili nipate fursa ya kuoa mdada wa kihindi kama ulivyoshauri. Kwa unyenyekevu mkubwa mkuu nakuomba kwa maranyingine tena ukubari kunipa ushirikiano kwakunitajia fursa huko tuhamie sote

Sent using Jamii Forums mobile app
Una hali gani kiuchumi? i mean una hela(mtaji wa kutosha) au unataka ukatafute kazi India?
Kama una hela ya kutosha unaweza kufanya uwekezaji kwenye kilimo hasa cha vyakula,viwanda vidogo au uwe unasafirisha bidhaa kutoka tz to India hasa vyakula na mazao yake.Kiufupi fanya uwekezaji ambao utawagusa watu wengi(wateja)maana wahindi ni wengi almost 1.2 bil so soko sio shida iwapo bidhaa yako wataipenda.
Kama unataka kwenda kuomba kazi za kutumia nguvu(unprofessional) bora ubaki hapa kwa Makonda.
 
Haya ndo mambo ya kujadili sasa.

Mkuu kwa uzoefu wako unadhani niwe na pesa za kitanzania kama kias gan ili niweze kufanya uwekezaji huko India? Nataka kutoa mzigo Tanzania na kupeleka India ni bidhaa gan unanishauri inaweza kunilipa nikiipeleka India na changamoto gan nijiandae kukabiliana nazo katka biashara hyo ikiwemo changamoto za transportation?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Tumpara Dudu, post: 29903327, member: 39a pesa za kitanzania kama kias gan ili niweze kufanya uwekezaji huko Ind nijiandae kukabiliana nazo katka biashara hyo ikiwemo changamoto za transportation?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Sijafanya hii biashara ila
-ufuta
-vito(kama una uwezo)
-nafaka
Kwa ufupi unabidi ucheki ni bidhaa gani zinapendwa India ambazo hazizalishwi kwa wingi huko.
Changamoto haitakuwa kubwa maana utakuwa unafanya shipping(dar-bombay) kwa urahisi,labda vibali vya mamlaka za hapa bongo na India inaweza kuwa kazi kuvipata.
Kama ningekuwa tayari nimeshaenda huko ningekupa ramani ila mpaka 2022 ndo nasepa so kwa sasa siwezi kukupa ramani.
Ushauri:itakuwa rahisi kuinvest India(ukishahamia uko) kuliko kuexport.
Kama hauna hela ya kutosha endelea kufight hapa bongo huku ukiwa umeweka malengo yako kwamba miaka 3 au 5 ijayo unasepa India.
Ukweli ni kwamba ukienda kuishi India bila kuwa na uwezo wa kifedha ni rahisi kubaguliwa.
 
[QUOTE="Tumpara Dudu, post: 29903327, member: 39a pesa za kitanzania kama kias gan ili niweze kufanya uwekezaji huko Ind nijiandae kukabiliana nazo katka biashara hyo ikiwemo changamoto za transportation?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijafanya hii biashara ila
-ufuta
-vito(kama una uwezo)
-nafaka
Kwa ufupi unabidi ucheki ni bidhaa gani zinapendwa India ambazo hazizalishwi kwa wingi huko.
Changamoto haitakuwa kubwa maana utakuwa unafanya shipping(dar-bombay) kwa urahisi,labda vibali vya mamlaka za hapa bongo na India inaweza kuwa kazi kuvipata.
Kama ningekuwa tayari nimeshaenda huko ningekupa ramani ila mpaka 2022 ndo nasepa so kwa sasa siwezi kukupa ramani.
Ushauri:itakuwa rahisi kuinvest India(ukishahamia uko) kuliko kuexport.
Kama hauna hela ya kutosha endelea kufight hapa bongo huku ukiwa umeweka malengo yako kwamba miaka 3 au 5 ijayo unasepa India.
Ukweli ni kwamba ukienda kuishi India bila kuwa na uwezo wa kifedha ni rahisi kubaguliwa.[/QUOTE]Mkuu nashukuru sana kwa maneno yako mazur ya kujenga,nadhani umekuwa mtu muhimu sana kwangu. Navuta subra lakini nategemea nitaendelea kupata taarifa muhimu kutoka kwako kila ninapozihitaj. Nakuomba usinichoke ndugu yang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nikukumbushe tu kuwa hakuna analofanya Rais lililopo nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Kilichopo hapa ni kuwa Rais anahulka ya kuahidi jambo na kulitekeleza kwa wakati; tulishazoea viswahili vingi hii ni awamu ya utekelezaji tu.
Hapo umenena mkuu, majority tulizoa kusema tutafanya hivi tutafanya vile, saizi haya mambo ya tumefanya hivi ama vile au tunafanya hivi ama vike yanatuvuruga vichwa kabisa.
 
Wamarekani wenye miaka 243 ya uhuru eti walinganishwe na sisi wenye miaka 57.

Ni sawa na mtu ambaye kichwani kwake anastahili kula pilau ya kuku wakati uwezo wake ni wa kula ugali na maharage.
 
Tupo duniani kusaidiana so siwezi kukuchoka. Nitatoa msaada kadiri nitakavyoweza.
Jioni njema.
Tumpara Dudu [/QUOTE]Mkuu nashukuru sana kwa maneno yako mazur ya kujenga,nadhani umekuwa mtu muhimu sana kwangu. Navuta subra lakini nategemea nitaendelea kupata taarifa muhimu kutoka kwako kila ninapozihitaj. Nakuomba usinichoke ndugu yang
 
Tupo duniani kusaidiana so siwezi kukuchoka. Nitatoa msaada kadiri nitakavyoweza.
Jioni njema.
Tumpara Dudu
Mkuu nashukuru sana kwa maneno yako mazur ya kujenga,nadhani umekuwa mtu muhimu sana kwangu. Navuta subra lakini nategemea nitaendelea kupata taarifa muhimu kutoka kwako kila ninapozihitaj. Nakuomba usinichoke ndugu yang[/QUOTE]Ubarikiwe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tu
Huo ndio unaitwa utawala wa sheria, kwetu sheria amehodhi mtu mmoja tu akiamua kitu hakuna wa kupinga kama alivyoamua kujenga ukuta wa mererani na kununua ndege.
Yajayo nihatari tupu
 
Waulize huko Libya waliotaka uhuru wa kusema na democracia kama waliipata baada ya wananchi kumwondoa Rais Gadaffi kwamba ni Dikiteta. Kwa Wafrica bila kuwa DIKITETA mambo hayaendi rafiki yangu.
Wafrica hawajui mana halisi ya Demokrasia hasa Tanzania. Wao ni kutukana tu na kuandamana hapo watafurahi.
Lakini haohao Watanzania mbona hawasemi kwamba MUNGU ni Dikiteta. Yeye alisema Usiibe, Usizini, Usiue n.k
Hawajawahi kulalamika kwamba katunyima democrasia mana wengine wanataka wavinjari kila kona.
Hawalalamiki kwa sababu wanaiba, wanazini, wanaua n.k. Sasa walalamikie nini? Ndiyo maana kwa wakatoliki wanahimizwa kutubu.
 
It's very simple, when The US is a highly developed country, ours is a least underdeveloped shithole country where a president forces his subjects to worship him reminiscent of the medieval monarchs like Nebuchadnezzar.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa wanangu kutojua kiswahili,hata wakijifunza kiswahili watakuwa na mtazamo kama wangu so no wonder.
kwani wazungu hawawezi kusoma kiswahili...kuelewa kitu kingine
 
Back
Top Bottom