Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,779
- 11,651
Mkuu nimekulia hapa tz so nawajua vizuri sana watanzania na wengi(sio wote) wanawachukia wahindi kuliko hata wazungu waliowatawala ndio maana nakwambia siwezi kumshauri mhindi aolewe tz.Mkuu acha ubaguzi..mbona sisi tunaishi nao vizuri saana hao wahindi wakiwa hapa kwetu.. tofauti na sisi tukienda kule India
Ukitaka kuamini wabongo wanawachukia wahindi anzisha uzi kwamba unataka kuoa mhindi ndo utaona watu walivyo na chuki.
Hii sio ajabu maana wabongo mnabaguana vibaya kimakabila sana hasa katika mambo ya kuoa na kuolewa naongea kitu ambacho nimekishuhudia.Mfano mhaya akioa mtu wa kabila tofauti, wao wanawaita wanyamahanga hakika atasutwa na kubaguliwa(kiufupi wana ubaguzi wa kikabila japo sio wote)Nimekulia kwa wahaya so nawajua vibaya.
Kama kweli unataka kuoa mhindi basi oa hawa waliozaliwa na kukulia hapa tz ila ukitaka kumtoa Bharat kabisa utasota japo inawezekana.
Ushauri wangu😱a hawa dada zako weusi au umewachoka?