Angalau sasa umejipambanua moja kwa moja; kwa hiyo sasa tunaweza kujadili bila ya wewe kujifanya ni mzalendo kumbe ni mtu mwenye maslahi na anayofanya Samia Suluhu Hassan; kuwaua waTanzania kwa sababu tu wanadai haki ya wao kuchagua viongozi wanaowataka bila kulazimishwa na mtu. Pazia la "mazungumzo" umeliweka pembeni sasa; kwa hiyo tunajuwa unachopigania humu JF; siyo Tanzania, bali hilo kundi la uovu.Siwezi kuzungumzia kama kuna CCM au laa,kwasababu hizo ni tuhuma,maana siwezi poteza muda kujadili porojo
Kwahiyo sehemu yenu ya mikakati ni kubadilisha tarehe za maandamano kila kukicha,na kutaka mpaka kuandamana kwenye sikukuu za dini
Sishangai nikisikia hata Mei Mosi mtaandamana
Acheni ujinga watanzania
Mbona unauzunguka mbuyu wakati chanzo unakijuaGhasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu
Hili la mikakati lisikupe taabu, na wala halikuhusu. Acha wenyewe linaowahusu wafanye mikakati vyovyote watakavyoona inawafaa wao'Kwahiyo sehemu yenu ya mikakati ni kubadilisha tarehe za maandamano kila kukicha,na kutaka mpaka kuandamana kwenye sikukuu za dini
Ni mazungumzo gani hayajawahi kufanyika na hakuna anayejali? Ni njia zipi sa kistaarabu hazijawahi kutumika lakini walioko madarakani wanadhani watu ni wajinga? Ni bora kiwake tukose wote, siku kila mtu akiwa muhanga ndio tutaheshimiana.Hizo VITA zililetwa na WAZUNGU hasa USA ili kuiba MALI Kama mafuta.
Ndo maana nilisema ni kweli CCM imepoteza misingi yake Ila hatuwezi kuitoa kwa kutegemea wazungu .
Zaidi tutaiingiza nchi katika MACHUFUKO ambayo tunaweza kuyaeupuka..
Number don't lie kupitia takwimu mbalimbali tunaona mataifa ya kimagharibi huwa hayatatui migogoro ya kisiasa zaidi ya kuiba Mali na kuuza silaha
Refer CONGO, Sudan kusini , Somalia , Libya n.k
Kwahiyo sisi kwa sisi tukituliza akili tunaweza kuiweka nchi yetu katika mikono salama.
NB.
Sisi ambao hatusapoti maandano haimaniishi tunakubalina na mauaji ya 29/10
Ila tunapendekeza njia ya mazungumzo ndo itumike.
Na sisi tutapata silaha, usidhani tutarudi kibwege. Maana wanaopora uchaguzi wanategenea silaha. Na ukitaka kujua tutazipataje silaha, jiulize mbona unga ni haramu dunia nzima, lakini bado unaingia nchini? Kama ccm inategemee itaendelee kukaa madarakani kwa kupora chaguzi, basi ijue iko nje ya ukweli.Kuitoa CCM sio jambo jepesi Kama unavyofikiria .
Nadhani ile 29/10 umejionea mwenyewe .
Lazima uwe na mikakati na haya maneno yenu mnayokuwa mnaandika kufarijiana.
Ile 29/10 inakupa picha kamili kuwa kelele , maandamano n.k bado ni njia dhaifu na duni.
Sisi tutatumia mazungumzo na nyie tumieni maandamano.
Hili nalo bado unafikiri ni hoja ya kushawishi watu wenye akili timamu wasidai haki zao za msingi; eti kuwatishia athari za "wazungu"?Tanzania tuna rasilimali nyingi sana ambazo zInawavutia wazungu, tukifanya kosa moja la kiufundi utawaona hawa hapa
Huo UNGA unaingizwa na naniNa sisi tutapata silaha, usidhani tutarudi kibwege. Maana wanaopora uchaguzi wanategenea silaha. Na ukitaka kujua tutazipataje silaha, jiulize mbona unga ni haramu dunia nzima, lakini bado unaingia nchini? Kama ccm inategemee itaendelee kukaa madarakani kwa kupora chaguzi, basi ijue iko nje ya ukweli.
Bila hiki kilichofanyika mazungumzo ilikuwa ni kupotezeana muda. Tena inatakiwa tupate silaha ili tukiingia kwenye mazungumzo ifahamike nini tunaongea. Haya mambo ya kutuambia wazungu sijui uchafu gani, kawaokoteni waliolala.Issue sio SSH mkuu ukijua tatizo la nchi ni MFUMO wa CCM
Hata wewe ukiwa Rais kwa tiketi ya CCM hakuna utakaachobadilisha
Sisi wananchi wazalendo hatutaki vijana wetu waandamane ili wauliwe Ila tunataka mazungumzo yafanyike.
Njia ya kuandamana haina matokeo chanya
Nataka nijibu swali lako kitulivu kabisa, na kama kweli unayo nia ya kuelewa jibu hutajifanya hujui jibu.Tuchukulie kwamba upo sahihi kwa maelezo yako
Je, kuondoa mfumo huu kandamizi ni kupitia maandamano ya fujo na vurugu?
Naona unalazimisha hii nadharia yako ukidhani unaongea na wajinga wasiojua lolote. Ni kama unatufanya hatujui sababu ya machafuko hapa ndani, bali kinachoendelea ni matakwa ya wazungu. Kwa upuuzi huu uliokuja kutaka kuuuza humu, basi kawaambie waliokutuma kuwa hakuna wajinga wa hivyo.Ukifuatilia vizur historia ya Libya chini ya Colonel Muammar Gaddafi, nchi ilikuwa inaweka maslahi ya walibya mbele
Na makapuni ya nje hayakuruhusiwa kuchimba mafuta na hata yalichimba basi yalikuwa kwa maslahi ya Libya zaidi,mwa maana Serikalli ilikuwa makini kuhakikisha Libya inanufaika na uchumi wake
Kama unavyojua,mabwana wakubwa hiki hawakulipenda hivvyo wakaanzisha fitina kupitìa wazawa ili Utawala wa Gaddafi uonekane una matatizo,ili mwisho wa siku wapate uhalali wa regime change
Haya ndio yanayotokea sasa hapa Tanzania, inasemekana baadhi ya wanaharakati wanafadhiliwa na makampuni ya nje kama Ford
Cha kujiuliza ni wangapi wapo nyuma ya Ford??
Je, dhumuni lao ni nini hasa?
Watanzania tutulize vichwa vyetu na kutafakari kwa kina sana,tusiingie kwenye anga za adui yetu
Kama serekali inapata commssion kwenye biashara ya unga, itapata na kweye silaha pia, maana haina watumishi waadilifu wa hivyo.Huo UNGA unaingizwa na nani
Hakuna illegal business ambayo serikali haipati commission haipo sasa ukisema utapata kwa njia za UNGA ujue ur not serious
Kama serekali inapata commssion kwenye biashara ya unga, itapata na kweye silaha pia, maana haina watumishi waadilifu wa hivyo.
Nyie bana huwa mnalishana propaganda za kijinga kisha mnaziamini wenyewe, na sababu huwa mnajadiliana wenye mtazamo mmoja, bila kujua na sisi tuna akili. Ni raslimali zipi ambazo wazungu hawajazifikia hadi sasa hapa nchini, ambazo ndio mnaamini bado wanazitaka?Tanzania tuna rasilimali nyingi sana ambazo zInawavutia wazungu, tukifanya kosa moja la kiufundi utawaona hawa hapa
Amani iliyopo hapa nchini ndio inakupa jeuri ya kutukuna wanaume wenzako hapa jukwaani,bila amani hii ungekuwq sasa hivi kambi ya wakimbizi unasubir chakula cha mgaoNinyi waseng€ mnaakili kwrnye vichwa vyenu mbwa ninyi ,mazungumzo na serikali haramu ambayo haijachagyliwa na wananchi iliyoua naelfu ya watu na ambayo bado inaendeleza ufedhuli ule ule ? ,mnajifyatua akili sio ?
Huu ndio ujinga ambao tunataka kuutoa kwenye vichwa vyenuNakukumbusha tu Humphrey Pole pole ,Job ndugai , magufuri , Jenister Mhagama walikuwa ni machawa wa mfumo dhalimu kuliko wewe na walipata benefits mara milioni kuliko nyinyi wapumbavu makapuku msio na akili mnaosambaza propaganda mfu humu za serikali haramu ya kigaidi ya com Ila Leo hawapo hai na wamemalizwa na mfumo dhalimu huo ,sasa we ngoja Muda si mrefu litakukuta jambo
Huu ndio ujinga ambao tunataka kuutoa kwenye vichwa vyenuNakukumbusha tu Humphrey Pole pole ,Job ndugai , magufuri , Jenister Mhagama walikuwa ni machawa wa mfumo dhalimu kuliko wewe na walipata benefits mara milioni kuliko nyinyi wapumbavu makapuku msio na akili mnaosambaza propaganda mfu humu za serikali haramu ya kigaidi ya com Ila Leo hawapo hai na wamemalizwa na mfumo dhalimu huo ,sasa we ngoja Muda si mrefu litakukuta jambo
Msiwe wachoyo wa fadhila kwahiyo unataka kusema hakuna maendeleo yaliyofanyika hapa Tanzania?"Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya."
Vipi sisi tunafaidika na nini toka kwenye gesi, uranium, tanzanite, dhahabu, makaa ya mawe, almasi, chuma, kilimanjaro, serengeti, bandari salama,tanga na mtwara? Na nyinginezo chungumzima..
Bora hata tungekuwa tunafaidika basi na mali za nchini mwetu, maliasili kibao ila afya mbovu , maji tabu, elimu kipengele, miundombinu jau.. wakati mwingine bora mkae kimya tu.
Huu ndio ujinga ambao tunataka kuutoa kwenye vichwa vyenuNakukumbusha tu Humphrey Pole pole ,Job ndugai , magufuri , Jenister Mhagama walikuwa ni machawa wa mfumo dhalimu kuliko wewe na walipata benefits mara milioni kuliko nyinyi wapumbavu makapuku msio na akili mnaosambaza propaganda mfu humu za serikali haramu ya kigaidi ya com Ila Leo hawapo hai na wamemalizwa na mfumo dhalimu huo ,sasa we ngoja Muda si mrefu litakukuta jambo
Msiwe wachoyo wa fadhila kwahiyo unataka kusema hakuna maendeleo yaliyofanyika hapa Tanzania?"Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya."
Vipi sisi tunafaidika na nini toka kwenye gesi, uranium, tanzanite, dhahabu, makaa ya mawe, almasi, chuma, kilimanjaro, serengeti, bandari salama,tanga na mtwara? Na nyinginezo chungumzima..
Bora hata tungekuwa tunafaidika basi na mali za nchini mwetu, maliasili kibao ila afya mbovu , maji tabu, elimu kipengele, miundombinu jau.. wakati mwingine bora mkae kimya tu.
Inategemea unafanya harakati gani kwa malengo yapiKufanya harakati ni kosa kisheria?
Hapa wanaharakati wanafadhiliwa kuleta machafuko hapa nchini kwetu..serikali ya Tanzania haijabinya maslahi ya mabeberu wawe nchi za magharibi, ulaya mashariki, China, na hata nchi za kiarabu.
..mradi wa LNG wamewekeza makampuni ya Marekani, na Ulaya.
..mradi wa Uranium wamewekeza kampuni ya Kirusi.
..mradi mkubwa wa chuma na makaa ya mawe wamewekeza Wachina.
..bandarini wapo Waarabu, Wahindi, na Wafaransa.
..mbuga za Wanyama na hewa ya ukas wamewekeza Waarabu.
..madai kwamba Mabeberu wanataka kuleta machafuko ili wazifikie rasilimali zetu ni UONGO. Ccm ina mashirikiano mazuri na mabeberu katika kufisadi mali za Watanzania.
..kuhusu kufadhiliwa na Ford Foundation hakuna tatizo lolote. Kama wanaharakati wana mahitaji ya fedha au utaalamu hakuna ubaya ikiwa watasaidiwa na nchi wafadhili, na mashirika ya kimataifa. Hata Ccm inapokea misaada toka nje ya nchi.
Napata sana ukakasi pale unapo ninasibisha na Bakwata na maelekezo ya diniTatizo lenu; watu wenye nia hasa ya upotoshaji ni kuwa mnapoandika ni kama mmezima akili za kufikiri kuwa watakaosoma maandishi yenu na wao wanazo akili za kuchambua na kuelewa mnacholenga nyinyi.
Uliwahi kuona wapi amani inayotokana na kuvuruga utulivu wa nchi kwa kuwanyima wananchi haki?
Hiyo amani ya kugawiwa kwa mitutu ya bunduki ni amani hiyo?
Wewe siyo mtu wa kwanza aliyekuja na hadaa za aina hii; huu ni msimamo toka BAKWATA na pengine mafunzo yenu ndivyo yanavyo elekeza; hili sijui.
Tanzania kama taifa, hatuwezi kufuata maelekezo ya imani ambayo yanahimiza kunyima watu haki zao za msingi kama kuchagua viongozi wanaowataka wao.
Umemuuliza Samia Suluhu Hassan kwa nini kakataa kila aina ya njia za kutafuta uelewano kwa mazungumzo, unayoyahimiza wewe ili pawepo na uchaguzi huru?Hayo mazungumzo unayoyataka wewe ili taifa liwe na amani ni mazungumzo ya namna gani hayo; anayolazimisha Samia kwa mitutu ya bunduki?