Tujifunze Kutoka Libya

Huyo Ana miaka 65 na yupo UN miaka 30 sasa sijui yeye na wewe nani mjinga .

Ningekupa na jina lake ukamjua ndo ungejua kuwa nani mjinga
Kufanya kazi UN ndio kipimo cha kutokuwa mjinga? what if namzidi kipato? Anyway mimi nipo zaidi kwenye hiyo kauli uliyosema alikwambia acha tuishambulie kauli zaidi
 
Mtatumia mazungumzo au risasi!? Acha upotoshaji .
 
kwa sasa maji hakuna Dar es saalam
 
Utajiei wa akina samia na jamaa zake JK umetokana na nini!?
 
Tuchukulie kwamba upo sahihi kwa maelezo yako

Je, kuondoa mfumo huu kandamizi ni kupitia maandamano ya fujo na vurugu?
Tumejaribu kupiga kura wameiba zote,vipi kina mdude, mzee kibao waliouliwa na kina lisu waliokamatwa na kupewa uhaini kwa kuongea tuu,na maandamano na mikutano ya kisiasa si haki ya kikatiba, acha kujitoa ufahamu na kutetea wahuni hao, utekaji na mauaji sio poa
 
Pure propaganda, hata kama ni kweli ni mali za Libya sio Gaddafi, they can afford ni very rich state kutokana na oil
 
Toa haki, watu hawaanzishagi vurugu tu bila sababu, sema sababu huwa zinapuuziwa na viongozi wakizani kwamba hawawezi kufikiwa. Kiburi na jeuri za viongozi kote duniani madhara yake ni huwa hivyo.
 

..serikali ya Tanzania haijabinya maslahi ya mabeberu wawe nchi za magharibi, ulaya mashariki, China, na hata nchi za kiarabu.

..mradi wa LNG wamewekeza makampuni ya Marekani, na Ulaya.

..mradi wa Uranium wamewekeza kampuni ya Kirusi.

..mradi mkubwa wa chuma na makaa ya mawe wamewekeza Wachina.

..bandarini wapo Waarabu, Wahindi, na Wafaransa.

..mbuga za Wanyama na hewa ya ukas wamewekeza Waarabu.

..madai kwamba Mabeberu wanataka kuleta machafuko ili wazifikie rasilimali zetu ni UONGO. Ccm ina mashirikiano mazuri na mabeberu katika kufisadi mali za Watanzania.

..kuhusu kufadhiliwa na Ford Foundation hakuna tatizo lolote. Kama wanaharakati wana mahitaji ya fedha au utaalamu hakuna ubaya ikiwa watasaidiwa na nchi wafadhili, na mashirika ya kimataifa. Hata Ccm inapokea misaada toka nje ya nchi.
 
Sio kweli,only in shit hole countries like Tanzania sio kwa wanaojielewa

Habari unasoma na kuona ktk TV ni zilichojuwa

Wewe hauwezi kuelewa mambo ya USA

Ila ujue Rushwa zipo Sana , upigaji n.k

Nitakutumia kitabu cha Jay Z kinaitwa Decoded

You will see a lot of Motherfuckers Hapo USA
 
HIyo wote umeileta ili kuhalalisha uhalifu wa unaowatetea!?
Pia kuwa mwanasiasa sio jambo jepesi , kwahiyo usitishwe na mafanikio walionayo

Kwakuwa ktk siasa kuna kuuliwa pia , kupewa sumu , kupigwa risasi n.k

Ndo maana ukiwa hauwezi siasa usilalamike aliyeichagua hiyo Kazi

Swala la kuiba umeliongea wewe Ila wao wanayonya Kama ambavyo wewe boss anavyokunyonya anakulipa ujira mdogo lakini Kazi unafanya kubwa that's game.


Kulalamika mitandaoni haisadii kitu .
 
Wanasiasa wote sio Tz tu duniani hutajirika kupitia siasa
HIyo wote umeileta ili kuhalalisha uhalifu wa unaowatetea
Kukaa kimya pia kunasaidia nini!?
 
Tatizo lenu; watu wenye nia hasa ya upotoshaji ni kuwa mnapoandika ni kama mmezima akili za kufikiri kuwa watakaosoma maandishi yenu na wao wanazo akili za kuchambua na kuelewa mnacholenga nyinyi.

Uliwahi kuona wapi amani inayotokana na kuvuruga utulivu wa nchi kwa kuwanyima wananchi haki?

Hiyo amani ya kugawiwa kwa mitutu ya bunduki ni amani hiyo?

Wewe siyo mtu wa kwanza aliyekuja na hadaa za aina hii; huu ni msimamo toka BAKWATA na pengine mafunzo yenu ndivyo yanavyo elekeza; hili sijui.

Tanzania kama taifa, hatuwezi kufuata maelekezo ya imani ambayo yanahimiza kunyima watu haki zao za msingi kama kuchagua viongozi wanaowataka wao.

Umemuuliza Samia Suluhu Hassan kwa nini kakataa kila aina ya njia za kutafuta uelewano kwa mazungumzo, unayoyahimiza wewe ili pawepo na uchaguzi huru?Hayo mazungumzo unayoyataka wewe ili taifa liwe na amani ni mazungumzo ya namna gani hayo; anayolazimisha Samia kwa mitutu ya bunduki?
 
Mtu kama wewe utaanzia wapi kujuwa kuwa CCM ni jina tu linalotumiwa na waovu akina Samia, Kikwete kutimiza malengo ya upande huo unaokuleta hapa na kejeli tele!

Unajitangaza "uzalendo", upi hasa; wa kugawanya waTanzania katika makundi na kuwatawala kwa nguvu na vitisho?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…