Azadirachta
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 171
- 11
Tukiwa bado na majonzi ya ndugu zetu waliopoteza maisha huko Nungwi - Zanzibar kwa kuzama kwa meli. Kiasi kikubwa ukiwa ni uzembe wa serikali. Nimepita kwenye Mto Kilombero hali ni mbaya sana Kivuko kimechakaa na kinajaza kuliko kawaida. Sintoshangaa yale yaliyotokea April 2002 yakatokea tena na kuangamiza maisha ya watanzania wengi. Mto Kilombero ni kiunganishi cha wilaya ya Ulanga na Kilombero. Kuna wabunge zaidi ya wanne maeneo haya na mawaziri 2 sijui wanafanya vitu gani
1. Celina Kombani - Waziri wa Sheria na Katiba
2. Dr Hadji Mponda - Wazir wa Afya
3. Regia Mtema - Mbunge
4. Papa Mteketa - Mbunge
Jamani hatutaki mje kutupa ubani tunaomba daraja kabla hatujafa.
1. Celina Kombani - Waziri wa Sheria na Katiba
2. Dr Hadji Mponda - Wazir wa Afya
3. Regia Mtema - Mbunge
4. Papa Mteketa - Mbunge
Jamani hatutaki mje kutupa ubani tunaomba daraja kabla hatujafa.