Picha na mtukio: Katibu mkuu wa CCM ndugu Abdurahman Kinana na Nape wawasili Mahenge

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akishuka kutoka kwenye Kivuko cha Mto Kilombero leo akiwa njiani kuelekea Mahenge ambako atakuwa akiongea na wananchi na kuamsha ari ya kushiriki katika shughuli za maendeleo na kukagua uhai wa chama pia kukagua shughuli za maendeleo katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi leo jioni atahutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Mahenge

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akipata vitumbua baada ya kununua kutoka kwa mmoja wa akina mama mara baada ya kuvuka mto Kilombero na ujumbe wake

Katibu wa NEC Itikidi na Uenezi Nape Nnauye naye alipata Kitumbua kama anavyoonekana pichani

Ndugu Abdurahman Kinana akiingia kwenye gari tayari kwa kuanza msafara wa kuelekea Mahenge

Nape Nnauye akijaribu kupanda katika moja ya mitumbwi ya wavuvi wa mto Kilombero.

Haji Mponda kulia Mbunge wa Ulanga Magaharibi akizungumza na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana mara baada ya kumpokea katika mto Kilombero .

Msafara ukiwa tayari kuelekea Ulanga na Mahenge
j

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akitembelea karakana ya mafundi Ushirika wa mafundi seremala wa Ulanga ambao wanatengeneza mizinga ya nyuki.

Ndugu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Ulanga mara baada ya kuwasili ofisini hapo kwaajiji ya kupata taarifa za chama

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akiangalia ngoma za asili kutoka Ulanga mkoani Morogoro

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akifuarahia ngoma zilizokuwa zikipigwa wakati wa mapokezi yake.

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana wa pili kutoka kulia akiwa katika mkutano wa ndani wa chama ili kupata taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM

Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo

Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo wakimsikiliza Katibu Mkuu Ndugu Abdurahman Kinana.
 
Dah wananchi wamekata tamaa wanaonekana choka mbaya, ila bado wanadanya nyika kwa tshirt, kanga na vitenge duh
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akishuka kutoka kwenye Kivuko cha Mto Kilombero leo akiwa njiani kuelekea Mahenge ambako atakuwa akiongea na wananchi na kuamsha ari ya kushiriki katika shughuli za maendeleo na kukagua uhai wa chama pia kukagua shughuli za maendeleo katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi leo jioni atahutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Mahenge

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akipata vitumbua baada ya kununua kutoka kwa mmoja wa akina mama mara baada ya kuvuka mto Kilombero na ujumbe wake

Katibu wa NEC Itikidi na Uenezi Nape Nnauye naye alipata Kitumbua kama anavyoonekana pichani

Ndugu Abdurahman Kinana akiingia kwenye gari tayari kwa kuanza msafara wa kuelekea Mahenge

Nape Nnauye akijaribu kupanda katika moja ya mitumbwi ya wavuvi wa mto Kilombero.

Haji Mponda kulia Mbunge wa Ulanga Magaharibi akizungumza na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana mara baada ya kumpokea katika mto Kilombero .

Msafara ukiwa tayari kuelekea Ulanga na Mahenge
j

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akitembelea karakana ya mafundi Ushirika wa mafundi seremala wa Ulanga ambao wanatengeneza mizinga ya nyuki.

Ndugu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Ulanga mara baada ya kuwasili ofisini hapo kwa ajiji ya kupata taarifa za chama

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akiangalia ngoma za asili kutoka Ulanga mkoani Morogoro

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akifuarahia ngoma zilizokuwa zikipigwa wakati wa mapokezi yake.

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana wa pili kutoka kulia akiwa katika mkutano wa ndani wa chama ili kupata taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM

Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo

Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo wakimsikiliza Katibu Mkuu Ndugu Abdurahman Kinana.

kumbe bado toleo jipya wao kila kitu wanaiga cdm; utembelee gari la milioni 200 halafu ; unatalii au kwa faida gani labda
 
Wanakula vitumbua ili waonekane ni WENZETU halafu baada ya hapo angalia hayo magari wanayoyapanda...Ee mola wafumbue macho wananchi hawa waone haya mazingaombwe!!Btw vitumbua ndo mambo ya Kigwa haya!
 
Wenye wivu wajonyonge. Ccm ina piga kasi wengine wanapika majungu na kutetea vurugu nchini
 
Kuna jamaa angu ana fuso pale Ruaha kilombero Ilovo kapata tenda toka magamba kuwatoa watu Kidodi na malinyi...kapiga ela toka kwa hawa wachovu Nape na Kinana.
 
Kinana kwenye creativity ksmfunika Mukama ; Kweli mukama alikuwa mzigo. Toka kinana kaingia CDM wanatafutana na kufukuzana
 
yaani msafara mzima ni fii x fii 8 yaani VX V8 n

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akishuka kutoka kwenye Kivuko cha
Mto Kilombero leo akiwa njiani kuelekea Mahenge ambako atakuwa akiongea
na wananchi na kuamsha ari ya kushiriki katika shughuli za maendeleo
na kukagua uhai wa chama pia kukagua shughuli za maendeleo katika
kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi leo jioni atahutubia mkutano wa
hadhara katika mji mdogo wa Mahenge

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akipata vitumbua baada ya kununua
kutoka kwa mmoja wa akina mama mara baada ya kuvuka mto Kilombero na
ujumbe wake

Katibu
wa NEC Itikidi na Uenezi Nape Nnauye naye alipata Kitumbua kama
anavyoonekana pichani

Ndugu
Abdurahman Kinana akiingia kwenye gari tayari kwa kuanza msafara wa
kuelekea Mahenge

Nape
Nnauye akijaribu kupanda katika moja ya mitumbwi ya wavuvi wa mto
Kilombero.

Haji
Mponda kulia Mbunge wa Ulanga Magaharibi akizungumza na katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdurahman Kinana mara baada ya kumpokea katika mto
Kilombero .

Msafara
ukiwa tayari kuelekea Ulanga na Mahenge

j

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akitembelea karakana ya
mafundi Ushirika wa mafundi seremala wa Ulanga ambao wanatengeneza
mizinga ya nyuki.

Ndugu
Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM
Ulanga mara baada ya kuwasili ofisini hapo kwa ajiji ya kupata taarifa
za chama

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akiangalia ngoma za asili
kutoka Ulanga mkoani Morogoro

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akifuarahia ngoma zilizokuwa
zikipigwa wakati wa mapokezi yake.

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana wa pili kutoka kulia akiwa
katika mkutano wa ndani wa chama ili kupata taarifa ya utekelezaji wa
ilani ya uchaguzi ya CCM

[URL="http://www.fullshangweblog.
 
by JOHN BUKUKU on APRIL 15, 2013

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akishuka kutoka kwenye Kivuko cha Mto Kilombero leo akiwa njiani kuelekea Mahenge ambako atakuwa akiongea na wananchi na kuamsha ari ya kushiriki katika shughuli za maendeleo na kukagua uhai wa chama pia kukagua shughuli za maendeleo katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi leo jioni atahutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Mahenge

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akipata vitumbua baada ya kununua kutoka kwa mmoja wa akina mama mara baada ya kuvuka mto Kilombero na ujumbe wake

Katibu wa NEC Itikidi na Uenezi Nape Nnauye naye alipata Kitumbua kama

anavyoonekana pichani.

Ndugu Abdurahman Kinana akiingia kwenye gari tayari kwa kuanza msafara wa
kuelekea Mahenge

Nape Nnauye akijaribu kupanda katika moja ya mitumbwi ya wavuvi wa mto

Kilombero.

Haji Mponda kulia Mbunge wa Ulanga Magaharibi akizungumza na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana mara baada ya kumpokea katika mto Kilombero .

Msafara ukiwa tayari kuelekea Ulanga na Mahenge

j

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akitembelea karakana ya mafundi Ushirika wa mafundi seremala wa Ulanga ambao wanatengeneza mizinga ya nyuki.

Ndugu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Ulanga mara baada ya kuwasili ofisini hapo kwa ajiji ya kupata taarifa za chama

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akiangalia ngoma za asili kutoka

Ulanga mkoani Morogoro

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akifuarahia ngoma zilizokuwa zikipigwa wakati wa mapokezi yake.

katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana wa pili kutoka kulia akiwa katika mkutano wa ndani wa chama ili kupata taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi

ya CCM

Back
Top Bottom