Tujiandae na Janga lingine!

Azadirachta

Senior Member
Oct 9, 2010
171
11
Tukiwa bado na majonzi ya ndugu zetu waliopoteza maisha huko Nungwi - Zanzibar kwa kuzama kwa meli. Kiasi kikubwa ukiwa ni uzembe wa serikali. Nimepita kwenye Mto Kilombero hali ni mbaya sana Kivuko kimechakaa na kinajaza kuliko kawaida. Sintoshangaa yale yaliyotokea April 2002 yakatokea tena na kuangamiza maisha ya watanzania wengi. Mto Kilombero ni kiunganishi cha wilaya ya Ulanga na Kilombero. Kuna wabunge zaidi ya wanne maeneo haya na mawaziri 2 sijui wanafanya vitu gani
1. Celina Kombani - Waziri wa Sheria na Katiba
2. Dr Hadji Mponda - Wazir wa Afya
3. Regia Mtema - Mbunge
4. Papa Mteketa - Mbunge

Jamani hatutaki mje kutupa ubani tunaomba daraja kabla hatujafa.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Attachments

• DSC03610.JPG
DSC03610.JPG
248.3 KB · Views: 116
• DSC03594.JPG
DSC03594.JPG
367.8 KB · Views: 110
• DSC03611.JPG
DSC03611.JPG
255.3 KB · Views: 111
• DSC03590.JPG
DSC03590.JPG
298.5 KB · Views: 113
wanasubiri waje waunde TUME ya kuchunguza chanzo cha ajali.

Tofauti na kivuko cha kigamboni yani nikiangalia picha hizo naona hata hayo maandishi yanaonekana nusu tu

Mmmmmmmmmmmmm niliwahi kuvuka hapa yaani panatisha, ila ukishavuka unajiliwaza na samaki wa kukaanga. Serikali Iangalia haya mambo maana vyombo hivi ni vya zamani sana! Nakumbuka ile barabara ya kwenda TARIME ukitokea MWANZA kulikuwa na kivuko baada ya kupita sehemu inaitwa makutano na walikuwa wanatumia panton lakini ipo kwenye kamba za steel. palikuwa panatisha sana/ Ila lilijengwa daraja pale na ukipita leo hutajua kama kuna mto pale. Uongozi wa wakati ule ulijali wananchi ila wa sasa umebweteka tu ngoja nikajiunge na wale wa DC kwenye maandamano

BILA SHAKA NILI LITAKUWA PIGO KWA WATANZANIA WENGI WENYE KUTOKUELEWAWA MAJIRA NA HATA KUSOMA NYAKATI YA MAMBO YANAYOKUJA YA HATARI,,,,,,,,,,,na bila shaka itatugharimu sana.

Wenzetu wanasema kinga ni bora kuliko tiba lakini kwa watanzania ni kinyume chake. Tunasubirh maafa ndipo tutoe rambirambi na msaada kwa wahanga. Wakati wa kampeni jk aliahidi vivuko kt mito na maziwa mengi lakini baada ya kuchaguliwa ahadi zote kazisahau, anatujia na ahadi mpya za DNA test kuwatambua marehemu. Itasaidia nini roho za ndugu zetu zimepotea? Na hao watoa rambirambi baada ya maafa kwa nini serikali isiwaombe watoe mchango ili kuboresha miundombinu na kuzuia maafa?.Hao mawaziri uliowataja hapo juu(celina kombani na haji mponda) hawana mchango wowote kt jamii.

NILIDHANI UZEMBE UPO INDIA TU, KUMBE NCHI ZOTE ZINAZOENDELEA!!!

achen kutuuzia chai, hyo picha ya kwanza bado haijanishawishi

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom