Tujenge shule yetu, walimu 10 wanahitajika

Hapo inabidi utafiti juu ya mkoa wa kujenga ambao una mwamko wa kusoma na wenye vipato vya kusomesha watoto mfano Tabora sio sehemu nzuri kwa kuwa watu wake ni maskini na hawana mwamko wa kuwapeleka watoto shule napendekeza mkoa wa Kilimanjaro lakini angalizo kumbuka unapaswa uwe na kibali cha mhandisi wa mkoa au wilaya kujenga hayo madarasa na lazima uwatumie wajenzi ambao wamepitia veta au vyuo vinavyotambuliwa na serikali ndipo shule yako itasajiliwa.
Ahsante kwa ushauri ndugu. Kuna vijana wengi tuu wamepita veta na gharama zao za ujenzi ni ndogo ,tuwasiliane zaidi , kuna mwalim wangu alianza na madarasa matatu locally na watoto wakaanza kusoma saiv yupo mbali sana na shule ameshaisajili am sure kuna mambo yanafanyika NA itabid ni contact nae ,walio jenga madarasa hata veta hawaijui na madarasa yapo vyema sana
 
Wazo zuri wakuu, tuendelee kujoin...naunga mkono hoja.
Upembuzi yakinifu ufuate ili tuweze kufikia lengo.
 
Kwenye usajili wa shule kigezo mojawapo ni kuwa na akiba benki isiyopungua million 60.
Kama hichi kifungu kinafuatwa kikamilifu project itakua ngumu kwa mtaji huo.
Wazo zuri lakini.
Ni kweli kiongozi usemacho! Ila kuna watu wamejenga kwa only 15 million ,issue kubwa ni kuongea na watangulizi am sure pia tutakapo kuwa wengi mambo yataenda vyema, kumbuka kwenye wengi haharibiki neno, vyema kuthubutu kuliko kuahirisha wazo lako, umri unaenda ,muda haurudi nyuma ,tabia ya kuahirisha ni mbaya sana bora uthubutu am sure kama watu watajitokeza na kuwa committed mambo yatakua vyema zaidi.
 
Basi inapendeza but pia million m 2.5 kuipata kwa watoto wa mama ntilie sidhani kama ni rahisi sana kwanini tusijigroup tukaandika proposal tukaingia kuomba hela hiyo kwenye taasisi tukianzisha wao,wawe kama sehemu ya wamiliki kwa muda mpaka pesa yao na riba yao itakapokamilika.ndipo waondoke kwenye mradi.
 
mualimu una nia njema na wazo zuri ilazingatia ya fuatayo ni utaratibu wa serikale
kambali cha ujezi we shule kutoka wizarani kabla hujaanza nakipata kazima uwe na:
1.andiko Mradi
2.usajili wa kampuni na chati cha usajili (wa brailer )
3.salio ya benki isio pungua million 60.
4.accre 7.5 za aridhi ukiwa semi urban area au 3acres ukiwa bikini
5.Tin certificate ya TRA
6. hati ya umiliki au barua ya mtendaji .
7. approved plan ya majengo na kimbali cha kujenga kutoka almashauri au Jiji

kwahiyo kuazisha shule sio pesa tu ya kununulia bati au tofari tu nakuomba uazishe ndo utaanza kujua nchi yeti inaukiritimba wa hari ya juu utakimbia site au utapigana nao .....jifunge kamba mualimu mwezangu.
 
Kuna watu wengine wanasubiria kibali,wasomi wa nchi hii wengi hawatusui kwa sababu ya uoga.Baba mdogo alijenga dispensary bila kibali,iko kibali amekipata baada ya kuanza kazi.Kama ukipata watu jengeni,mambo mengine mutayapata mbele ya safari.Nyie si matajiri bana!munaweza kuanza na tution mwisho wa Siku mambo yanakuwa byeee
 
Wazo zuri pia kiongozi haina shida ni sisi tuu
 
Nimefanya research ndogo na uyasemayo ni sahihi kabisa ila kumbuka kuna watu wamejenga kwa mtaji mdogo sana na sasa wapo mbali ,kuhusu m60 ni sahihi ,kuna watu wanapesa ,kuna makampuni mengi tuu nisiseme mengi sana tutafuata nyayo za hao walofanikisha kujenga kwa pesa kidogo pia penye wengi hapaharibiki neno ,binafsi nimepeleza sana kuhusiana na kitu hii ,nimeshirikisha watu wengi ktk kupata mawazo yao , ahsante sana kwa ushauri ndugu yangu nakuomba tushikamane juu ya hili hakuna mafanikio rahisi bila mapambano ,jaribu kujiuliza hao wanao jenga wana m60? Ni wachache sana wanaojenga kwa kiasi hicho cha pesa am sure tukijitoa tutafika mbali ,tatizo halikimbiwi Bali ni kukabiliana nalo ,ahsante sana kwa mchango wako mzuri
 
Kuna watu wengine wanasubiria kibali,wasomi wa nchi hii wengi hawatusui kwa sababu ya uoga.Baba mdogo alijenga dispensary bila kibali,iko kibali amekipata baada ya kuanza kazi.Kama ukipata watu jengeni,mambo mengine mutayapata mbele ya safari.Nyie si matajiri bana!munaweza kuanza na tution mwisho wa Siku mambo yanakuwa byeee
Ahsante sana kwa mchango wako chanya ,wapo wengi nimeshuhudia wakijenga kwa pesa ndogo na walianza na wanafunzi wachache lakini saivi shule yao ni kubwa na wako vyema kabisa, naamini sote tunaishi ktk jamii na haya mambo yanaonekana wazi kabisa, bora kuthubutu kuliko kusema haiwezekani ,wengine tuna hasira ya maendeleo hata kumwambia president inawezekana kama kuna longolongo hahahaaaa tupambaneni wapendwa tuache woga,hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Napenda sana kusoma threads kama hizi yaani i love this!
Naomba muwe walimu wa masomo tofauti huko mbele mkiimarisha shule mtagawana majukumu for effective supervision.
Ahsante sana mwalim kwa wazo lako zuri am sure penye nia pana njia, karibu pia tujumuike
 
I wish to, but am interested with knowing the suggested location
Otherwise i will support you free on matters 'bout assessment and evatuation for program effectiveness.
 
Nimefanya research ndogo na uyasemayo ni sahihi kabisa ila kumbuka kuna watu wamejenga kwa mtaji mdogo sana na sasa wapo mbali ,kuhusu m60 ni sahihi ,kuna watu wanapesa ,kuna makampuni mengi tuu nisiseme mengi sana tutafuata nyayo za hao walofanikisha kujenga kwa pesa kidogo pia penye wengi hapaharibiki neno ,binafsi nimepeleza sana kuhusiana na kitu hii ,nimeshirikisha watu wengi ktk kupata mawazo yao , ahsante sana kwa ushauri ndugu yangu nakuomba tushikamane juu ya hili hakuna mafanikio rahisi bila mapambano ,jaribu kujiuliza hao wanao jenga wana m60? Ni wachache sana wanaojenga kwa kiasi hicho cha pesa am sure tukijitoa tutafika mbali ,tatizo halikimbiwi Bali ni kukabiliana nalo ,ahsante sana kwa mchango wako mzuri
Ningekuwa teacher nami ningejiunga.

Kuna baadhi ya vijiji vinaweza kuwapa ardhi bure kabisa, angalieni maji kama yapo jirani, na vitu kama umeme, maana baada ya kujenga ndio mtajua gharama za miundombinu hiyo.
 
Thanks! The location we will agree when we meet and discuss ,
 
Ningekuwa teacher nami ningejiunga.

Kuna baadhi ya vijiji vinaweza kuwapa ardhi bure kabisa, angalieni maji kama yapo jirani, na vitu kama umeme, maana baada ya kujenga ndio mtajua gharama za miundombinu hiyo.
Hakika kiongozi saivi nacho kifanya ni kuorodhesha watu ambao watakua tayari kabisa kwa jambo hili kwani tukikutana na kujadiliana ndipo tutajua tuanzie wapi na tufanye nini.
 
Nimefanya research ndogo na uyasemayo ni sahihi kabisa ila kumbuka kuna watu wamejenga kwa mtaji mdogo sana na sasa wapo mbali ,kuhusu m60 ni sahihi ,kuna watu wanapesa ,kuna makampuni mengi tuu nisiseme mengi sana tutafuata nyayo za hao walofanikisha kujenga kwa pesa kidogo pia penye wengi hapaharibiki neno ,binafsi nimepeleza sana kuhusiana na kitu hii ,nimeshirikisha watu wengi ktk kupata mawazo yao , ahsante sana kwa ushauri ndugu yangu nakuomba tushikamane juu ya hili hakuna mafanikio rahisi bila mapambano ,jaribu kujiuliza hao wanao jenga wana m60? Ni wachache sana wanaojenga kwa kiasi hicho cha pesa am sure tukijitoa tutafika mbali ,tatizo halikimbiwi Bali ni kukabiliana nalo ,ahsante sana kwa mchango wako mzuri
Mualimu nidhahiri unalosema watu wamejenga shule kwa pesa ndogo lkn usipo fuata utaratibu huo......tatizo hutasajiliwa itabaki kua tuition centre tu. ukanguzi wa afya na wa mhadisi ni muhimu sana. vikwanzo nivingi sana wtz wegi bado tunafikira mbovu ktka private investment.
 
Nimekuelewa, Ila yatupasa kupambana mkuu, tukiogopa sana tutaishia kuona mafanikio ya wenzetu tuu
 
Back
Top Bottom