Tujenge shule yetu, walimu 10 wanahitajika

KABALEGA

Senior Member
Jul 18, 2017
164
102
Habari, nahitaji walimu 10 tuu ambao watakuwa na mtaji wa milioni mbili na nusu kila mmoja ili tupige hatua na tujikomboe kimaisha.
.
.
Hili ni wazo la biashara lengo kuu ni kujenga shule yetu ambayo tutaijenga kwa gharama ya 25 million .
.
.
Plan yangu ni kujenga vyumba vya madarasa 10 tena kwa gharama nafuu, tutatumia mafundi wa kawaida (wa mtaani) ila ambao wanajua kujenga ipasavyo sio wale mafundi wanao tafta mamilioni.
Madarasa yetu tutayajenga kwa tofali za kuchoma na si blocks kuepusha gharama (tukikubaliana hata blocks) kulingana na makubaliano yetu.
.
.
Ujenzi huu hautafanyika sehemu ambayo viwanja vinauzwa bei juu Bali tuachagua mkoa ama wilaya ambayo viwanja ni bei chini zaidi yani karibia bure kabisa ,na hatutajenga mjini kati Bali pembeni kidogo na mji husika,hata kama ni kijijini ila pawe karibu na mjini kwani elimu ni popote.
.
.
Pesa hii itatosha kabisa kwani usajili utakuja baadae cha msingi ni kujenga, kumbuka uoga ndo umasikini, nitatolea ufafanuzi baadae kwa nini nahitaji walimu pekee.

UFAFANUZI WA JINSI YA KUJENGA NA GHARAMA.

Zinatakiwa tofali 3300 tuu zilizochomwa kwa kila darasa ambapo tutajenga vyumba saba vya madarasa = 3300@7=23100 jumla ya tofali zote.

Kila tofali moja kwetu inauzwa tsh.100 ambapo itakuwa ,23100@100=2310000 hii ni pesa inayotakiwa kwa vyumba vyote saba.

Ujenzi wa madarasa haya uta gharimu tsh.2100000 kwa maana kwamba kila darasa litajengwa kwa tsh.300000 kwa mafundi wetu wa kawaida 300000@7, hapa sijafafanua kuhusu mifuko ya cement, utanielewa baadae weee ambae utakua tayari,kumbuka hapa tayari maboma yame simama.
.
.
Kuhusu mabati, bandari moja ya bati hutofautiana bei kulingana na ubora wake ,zipo zinauzwa laki 3, 2 na nusu nakadhalika ,hapa tutachukua za laki tatu ,ambapo nime ambiwa kuwa darasa moja litachukua bandari 4 hivyo itakuwa 400000@7 =2800000.
.
.
Kenchi, namaanisha zile mbao za kupaulia ,kila kenchi moja kwetu huuzwa kwa tsh. 25000 hadi 2000tsh. Ila hapa tunaweza punguza gharama kabisa kwani kuna mbinu na miti flani hivi huku kwetu wanaiona si dili ila nimeona wengi huitumia mikoa ya watu, sisi pia tutaitumia vyema kwa gharama ndogo sana hapa itakuwa 2500@100=250000 hapa namaanisha kila darasa litachukua kenchi 100,baada ya hapa tutakua tumemaliza kupaua madarasa yetu ,kitakacho baki ni ukarabati wa kawaida tuu!!
.
.
Tutaamua shule yetu iwe ya namna gani baada ya kukutana na kujadiliana ,na ramani tutapeana baadae.

Jamani naomba kuishia hapa mwenye nia na mawazo chanya na uchungu, naomba tulianzishe ,nahitaji walimu tuu! Jaman ,inaonekana sijachambua vizuri mm si mzoefu wa kuandika ila kama MTU anania tutalisongesha gurudumu hili, naomba msishangae kutaja gharama ndogo kiasi hiki katika ujenzi ,vipato vyetu hutofautiana na mm ni mtoto wa mama ntilie ,
Nina mawazo mengi sana ya kibiashara tena kwa kuanzia mtaji mdogo sana ila kwa kushirikiana,

Najua humu wamo wabobezi wa mambo watanikosoa na kuniona kama naota ,Najua kuna watu watasema kuusu usajili na mambo mengi niliyo yaacha ila kumbuka nahitaji akina kayumba wenzangu tufanye hii kitu!

Kumbuka hakuna mwenye pesa sisi sote tuna tafuta, naomba kama huna pesa na umependa wazo hili anza kukusanya pesa by mwezi wa sita mwaka 2018 kazi ianze maana,NAWAPENDA WOTE
 
Wazo zuri sana sana. wapigadili watakunyemelea kulikwamisha. songa mbele
 
Wazo nzuri ,umeplan kujenga mkoa gani? Primary au sec.tuwasiliane 0716817950
 
[QUOTEKABALEGA, post: 23974173, member: 444206"]Napendekeza makoa wa tabora ila ni makubaliano na watakao kuwa tayari ,lengo ni kushirikiana kwa walimu watakao kuwa tayari[/QUOTE]

Nipo Tabora Mkuu.! Ni mwalimu pia!
Napendekeza makoa wa tabora ila ni makubaliano na watakao kuwa tayari ,lengo ni kushirikiana kwa walimu watakao kuwa tayari
 
Ni bonge la wazo,kwa hii joint bussiness watu mbona tutatusua tu,i'm a teacher too,ila ingekuwa umespecify mapema kama ni ya sec/pr,maana nimeshakuelewa kuwa uhitaji wako wa walimu 10,maana yake unataka haohao waanze kufundisha ilihali ni wamiliki pia.Sasa hoja yangu ikiwa baadaye inaamuliwa kuwa ya sec.na wamiliki ni walimu mixture wa pr.& sec.It means utalazimisha mwalimu wa pr. afundishe sec sasa? Weka clear plan yako mkuu katika kipengeke hicho ili watu tujoin.
 
Vizuri sana kamanda kweli umenielewa hasa na hiyo ndo target yangu, tutaangalia tujenge shule ya namna gani baada ya kuwa committed, shule ya namna yeyote inawezekana tuu kulingana na makubaliano yetu na aina ya walimu tutakao kuwa pamoja ,India shaka cha msingi makubaliano tuu
 
Vipi mtu kama sio mwalimu kwa profession. Ila ana degree moja na pesa hiyo ninayo na uwezo wa kufundisha anao.
 
Hapo inabidi utafiti juu ya mkoa wa kujenga ambao una mwamko wa kusoma na wenye vipato vya kusomesha watoto mfano Tabora sio sehemu nzuri kwa kuwa watu wake ni maskini na hawana mwamko wa kuwapeleka watoto shule napendekeza mkoa wa Kilimanjaro lakini angalizo kumbuka unapaswa uwe na kibali cha mhandisi wa mkoa au wilaya kujenga hayo madarasa na lazima uwatumie wajenzi ambao wamepitia veta au vyuo vinavyotambuliwa na serikali ndipo shule yako itasajiliwa.
 
Back
Top Bottom