- Thread starter
- #61
AhsanteMie nitawapa uwanja
AhsanteMie nitawapa uwanja
Sijaona bajeti ya Kiwanja,Wazo zuri
Tujengee Dar.
Population na mzunguko wa hela mkubwa.
Iwe na nursery na primary.
Tabora mwamko wa shule upo chini sana kusema na kweli, labda wilaya gani.......... maana watoto hawapo tayari kabisa kusomaTabora kaka ,ukiwa tayari tuwasiliane
Uko sahihi mkuu shule za primary zinalipa kuliko sekondari. Mwaka 2015 nilitafiti kidogo kuhusu mchakato wa kuanzisha shule.Shule za primary kimuundo ni nzuri kwa faida kuliko secondary. Mm ni mwalimu wa secondary, nina experience na biashara ya shule kwa takriban miaka mitano, ukianzisha primary school unapata watoto bado wadogo, ww ndo unaaanza nao, unawamold kitabia, unawapa first sight ya elimu ww, wanapata muda wa kukuzoea na kuanza kukupenda, kisha wanakuelewa. Hapo unakua na guarantee ya ufaulu wao wakimaliza darasa la saba. Ila changamoto ya sekondary ipo kwenye ufaulu tu..uwe na uhakika wa kupata pool nzuri ya watoto kutoka mashule tofauti, yaan pool nzuri kitabia lakini pia msingi wa kingereza na utayar wa watoto, experience yangu inaonesha watoto wengi wanamaliza shule ya msingi hata kiingereza hawajui, sasa na ww ndo unakabidhiwa hao watoto. Ni vgumu kufikia malengo kwakweli kwa njia hio.
Unaweza kufundisha mkuu ikiwa utakubaliana na wahusika wenye taasisi yao japo kisheria isn't right lazima uwe na professional au licence ya kufundisha....ukipata nafasi ya kufundisha maana yake ni kuwa jina lako na cv havitawasilishwa kwa mamalaka husika kukaguliwa.Ni lazima awe mwalimu professional au hata mtu ambaye ameishia o level ili mradi ajue vyema kufundisha vyema lugha ya kiingereza na kiswahili.
Mkuu vipi kuhusu usajili umeshalifuatilia hilo hasa vigezo?, kumbuka shule siyo majengo, mim naweza shauri kama bado embu fuatilieni vigezo na mambo yote ya usajilikabla msije mkajenga vyumba vya madarasa mkavigeuza mabanda ya kuku wa kienyeji.
Ikiwezekana mkachukue vibali vya mwanzo huku mkiahidi kuanza ujenzi mara moja, hapa ikibidi washirikisheni wadau wa elimu mkoa husika kuanzia mkoani adi tarafa msije lia baadae
..wakikwama watakodisha majengo, usiwatishe.Husna wewe ni mtaalamu wa kushona?Halafu mi nitakuwa fundi wenu Wa kuwashonea uniform wanafunzi wenu
Ndio mkuuHusna wewe ni mtaalamu wa kushona?