Tujenge kuta za kifikra

Yes...I was just thinking, ujenzi wa kuta ni miradi ya viongozi wajinga!
Siwezi kuita ni mtazamo finyu wa fikra.... Pengine pressure za kisiasa nazo zinachangia
 
Najiuliza tu wale wanaopitisha Sera mbov pale mjengoni sijui tujenge ukuta kuzunguka jengo lao?
 
Mkuu umesema kweli hebu angalia BOT ilivyo na ulinzi na machuma lakini bado hela za escrow zinatoka na wanakwenda kuzigawa kwenye vigunia na magunia
Magrille na makufuli ya chuma yaliyounganishwa na kuta ndefu imara na camera za ulinzi ni sehemu tu ya kudhibiti lakini sio uhakika kwa asilimia mia moja
Mapinduzi ya kifrikra ni muhimu zaidi kwakuwa huko ndio kwenye chanzo na asili ya mipango yote
 
Umetisha sana Mshana. Umefikiri zaidi ya leo kiukweli ujenzi wa ukuta nikujipa shida. hivi bandari pale si kuna kuta mwanzo mwisho lakini wizi ni kama kawa.
 
Umetisha sana Mshana. Umefikiri zaidi ya leo kiukweli ujenzi wa ukuta nikujipa shida. hivi bandari pale si kuna kuta mwanzo mwisho lakini wizi ni kama kawa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kujenga ukuta wa kifikra tunahitaji miongo mitatu maana ni kizazi hiki hakiwezi kubadilika
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Natoka kuongea na office met wangu Leo kitu hiki hiki. Tujenge ukuta mkubwa wa uzalendo, uwaminifu na kuvumiliana matunda take yataonekana tu. UKUTA wa tofali na mawe haujwahi kuwa imara..natumaini Jembe JPM atalifanyia kazi hilo
 
Tumuombee [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ