Tujenge kabisa wanajf

Yaani we jamaa ni moja ya Member wenye tabia za hovyo sana humu Jamiiforums, na unajiona mjanja kumbe ni mji****tu, kuna haja gani ya ku screenshot uzi wa mtu na kuanzishia uzi?

Unajifanya mjanja kumbe we ndio mjinga kabisa, hujishangai hata nyuzi zako unazoziandika zinaku define wewe ni mtu wa aina gani na unapitia hali gani?

Acha upuuzi wako na heshima mawazo na nyuzi za watu. Sijaona haja ya kisikirinishot uzi wa To yeye na kuanzishia uzi wako wa kijinga huu.

Umeonyesha tabia mbaya na ya kijinga sana na sijui lengo lako ni nini? Kupata attention? Kupata reactions?

Tafuta njia ya kuwa na furaha na maisha yako sio kutweza mawazo ya watu ili wewe ufurahi
 
Mchungaji kidini ni mtu anayeongoza kanisa , awe awakiume awe wakike , soma maana ya pastor mama mchungaji maana yake ni mke wa mchungaji bila kujali huyo mwanamke ni mchungaji ama laa,
 

Hiyo ni imani yako wewe, wengine wapo wanaoamini mitume ya kike kina Zumaridi. Ni uhuru wa kuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…