Tujenge kabisa wanajf

Ubarikiwe sana.
Mimi nilikuwa naomba kitengo cha kukusanya sadaka mtumishi.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hakika hutosahaulika,hakikisha nguo utakayovaa inakuwa na mifukomifuko... maana zikishahesabiwa imeisha hiyo ๐Ÿค’
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hakika hutosahaulika,hakikisha nguo utakayovaa inakuwa na mifukomifuko... maana zikishahesabiwa imeisha hiyo ๐Ÿค’
Hicho Kitengo cha sadaka kitakuwa na watu wangapi, maana mpaka sasa washafika wanne ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nimeipenda hii,kwahiyo hapa itakuwa free kabisa au watalipia kidogo maana hii suala linahitaji mtaji nalo
Free of charge, ila watatakiwa kuwa na commitment ya kuhudhuria mafunzo. Nimeplan kuanzia na desktop computer 5 - 6, nitafundisha basic computer applications baada ya hapo nitafundisha general introduction of Computer programming, watakao onyesha interest nitaendelea nao kwenye somo la Programming.
Maeneo ya kujifunza yanaweza kuongezeka hapo baadae kama vile Basic Computer Security etc.
Tuombe uzima kwa sasa changamoto ni muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ