Kuwa na mashamba ya serikali pia ni wazo zuri, thanks.Jambo la msingi la kuishauri serikali ni kuanzisha mkakati kama wa USA, kule wana mashamba ya Serikali na huajiri wakulima kama vile zinavyoajiriwa kada mbali mbali mfano Walimu, afya n.k..
Chief democratic states nyingi hujitenga kufanya biashara badala yake hua wanamiliki share. Hayo mashamba ya usa ni state owned kwa 100%?Jambo la msingi la kuishauri serikali ni kuanzisha mkakati kama wa USA, kule wana mashamba ya Serikali na huajiri wakulima kama vile zinavyoajiriwa kada mbali mbali mfano Walimu, afya n.k...
Waongeze viwanda kwa ajili ya kununua hizo products za kilimo na kuweka mazingira rafiki, sawa asante mkuu, ila hamjanijibu vipi wana JF wakichukua hili jukumu la kusaidia graduates kupitia kilimo, itakuwaje? lolWekezeni kwenye masoko. Hicho kilimo kitajiseti chenyewe.
Mfano: Viwanda vikubwa vya kuchakata nafaka kama mahindi kuwa unga/bia/chakula cha mifugo, viwanda vikubwa vya mafuta ya kula kutoka kwenye alizeti, viwanda vikubwa vya kuchakata nyanya kuwa tomato...
Hilo kwa sasa halitawezekana labda kuanzia 2025 baada ya mkuu kutoka (kama ikitokea na upepo wa rais mpya wa 2025 atakuwaje) zaidi ya hapo changamoto ni mambo matatu:Waongeze viwanda kwa ajili ya kununua hizo products za kilimo na kuweka mazingira rafiki, sawa asante mkuu, ila hamjanijibu vipi wana JF wakichukua hili jukumu la kusaidia graduates kupitia kilimo, itakuwaje? lol
Mkuu, mara hii umesahau tulikua na kilimo kwanza na mzee wa msoga + waziri mkuu wake alikua anajiita mtoto wa mkulima, how far did we go?Kwa utafiti uliousema inamaanisha natakiwa kusubiri miaka minne mbele....
Nafikiri ishu nzima ilizungukwa na ufisadi pia chief.Mkuu, mara hii umesahau tulikua na kilimo kwanza na mzee wa msoga + waziri mkuu wake alikua anajiita mtoto wa mkulima, how far did we go?
Kilimo kwanza, Mapinduzi ya kijani, Big Results Now, e.t.cMkuu, mara hii umesahau tulikua na kilimo kwanza na mzee wa msoga + waziri mkuu wake alikua anajiita mtoto wa mkulima, how far did we go?
Waongeze viwanda kwa ajili ya kununua hizo products za kilimo na kuweka mazingira rafiki, sawa asante mkuu, ila hamjanijibu vipi wana JF wakichukua hili jukumu la kusaidia graduates kupitia kilimo, itakuwaje? lol