Tujadili: Prenuptial/premarriage agreement/contract

Tujadili: Prenuptial/premarriage agreement/contract

mleta mada kama ni mwanamke basi unaakili sana hii ndio sababu tosha wanaume hatuoi siku hizi sabab mwanamke kakukuta una kazi yako halafu unajenga nyumba yeye kazi yake kukupa mzigo tu, ndani kuna house girl analeta visa ili mgawane mali ulizoziangaikia wewe, yeye wakati hausiki hii imewashinda wanaume wengi na ndio maana hata wakristo nao hawaoi siku hizi ni bora mahakama ya kadhi ikaja haraka.ndoa za siku hizi hazina mapenzi bali kila mtu anakuja na interest zake,siwezi nikaachana na mke wangu niliyemfumania au anayenidharau alikuwa hajachangia kitu chochote kile kwenye mali halafu yeye anakimbilia mahakamani anasema nyumba zte tugawane wapi na wapi? kisa eti alikupikia na kukuoshea vyombo sasa kama kuosha vyombo na kupika nao mchango basi tupige hesabu nilikaa naye miaka mingapi and then tunaangalia mahousegirls wanalipwa bei gani halafu tuna jumlisha halafu namlipa yeye lakini huwezi kuniambia eti tugawane nyumba hata siku moja na ndio maana waislam tunataka mahakama yetu ije hizi sheria kama wakristo wenyewe zinawashinda sisi waislam tutaziwezea wapi???
 
Blaine, say Beyonce kakuzimikia nawe unampenda kwa dhati. Sasa ndugu zake na rafiki zake wanamwambia kuwa ni kwa sababu ya mali yake; utafanyaje nawe wampenda, si bora usign hiyo kitu ili kuwaassure wote, au utaamua kumuacha?
i would kwa shingo upande not bcoz tafsiri ni kwamba i plan ku-divorce na kukomba mamilioni yake. it's against my character.
Kaunga nijuavyo mm ni kwamba mali alizo chuma mwenza b4 hamjaish ni zake na pia hata kama mtaisha for yrs kama mchumaji ni mmoja basi mnapotengana mahakama, haigawi pasu kwa pasu haya nimeyashuhudia. mchumaji hupewa asilimia kubwa zaid and hili limekuwa ni tatizo kwa wanawake wengi ambao hawafanyi kazi wakisubiria wanaume , inapotokea wanakwenda kufile divorce hawapati kama wanavyofikiri wao so to me its worth tuish pasi contract, na ikitokea mtu anasema tufuate formal procedures.
hivi ni ukweli? mie nlidhani mki-divorce then mnagawana everything 50/50, kama sivyo asante kwa ufunuo
Katika mazingira ya bongo hii kitu ni utata mkubwa.Hasa lile kabila lileee la kaskazini ni noma!
chezea kabila la kilimanjaro wewe
 
mmh, kutema tamu, kumeza ya moto.

Kuna umuhimu wake, ila mtu akiniomba nisaini nitasikitika kwa mwezi hivi
 
mmh, kutema tamu, kumeza ya moto.

Kuna umuhimu wake, ila mtu akiniomba nisaini nitasikitika kwa mwezi hivi

Ha ha ha
Baada ya mwezi unarudi normal. LOL

Vipi wewe huwezi muomba mtu asign? Labda bila kutumia Maneno Makubwa, why not all those sweet n little promises zisiwe kwenye writing na muhuri wa lawyer au hakimu?
 
Mi siwezi saini PRENAP hata iwejeeeee!!!!!!!! Kwanza wakati unanioa na utaponiacha sitokuwa sawa! Hiyo DEPRECIATION nani ataicover!!!! Hata nikirudi sokoni baada ya wewe kunitema ASSET IKIWA IMPARED ITALETA LOSS tu!!!!! Sasa hapo unadhani hiyo scraper nani atafidia UCHAKAVU!!!!!! ITS VERY FAIR TO LEAVE WITH HALF OF EVERY THING! PLUS CONTINUOUS CHILD SUPPORT FEES!
 
Honestly, l was thinking of you wakati naandika Uzi huu! LOL

Lazima kulipia uchakavu eeh? Na vipi wewe ukiwa nazo na mwenzio hana, it is also fair kupiga pasu kwa pasu.

Halafu umeipata hiyo sheria ya TZ, umemkuta na kiwanda cha cement ni chake hicho, vyenu ni vile mlivyo acqure pamoja tena kwa capital sawa kwa sawa! LOL
 
Napigia mstari kwenye 'kuweka mtakacho'.

Kuna mdada mmoja alikubaliana na mchumba wake kwa maandishi kabla hajamuoa na kuwa mke no 3, kuwa nyumba atakayojenga huyo dada itabaki kuwa ya kwake na mume anatakiwa amsomeshe Mdogo wake wa kiume. Ni waislam so nafikiri alichosema zomba kinatendeka kwa waislamu, coz yule dada ni mtihimu wa darasa la 7 tu lkn she came up with those clauses. Nilimuadmire kwa kweli!

Nadhani watu wanahofia kufanya hayo makubaliano kwa sababu wanaona wataonekana they are not head over heels in love na labda "wanamatarajio" ya kuachana

Mimi nikifanyiwa kitu kama hicho wala sitaona sipendwi. Nimuhimu akaandika siku mmoja wetu akifa, baba na mama yake pamoja na ndugu zake wengine wasijekunyimwa haki yao
 
Honestly, l was thinking of you wakati naandika Uzi huu! LOL

Lazima kulipia uchakavu eeh? Na vipi wewe ukiwa nazo na mwenzio hana, it is also fair kupiga pasu kwa pasu.

Halafu umeipata hiyo sheria ya TZ, umemkuta na kiwanda cha cement ni chake hicho, vyenu ni vile mlivyo acqure pamoja tena kwa capital sawa kwa sawa! LOL

Mi sina kitu sasa, so siwezi kuwaza ningekuwa navyo ingekuaje! LOLEST! Sheria bongooo, Unamkoleza tu na Maloveee UNAMWAMBIA HATI ZOTE ANDIKA JINA LANGU!!!! Siku vikigeuka ndo akili inamkaa vizuri. MJINI HAPA!!!!
 
Mmekutana mmoja (Mke/mume) anazo za kutosha labda za kuzidi.
Mmoja anamwambia mwenzake wakubaliane, ikitokea wakaachana au mmoja akifa. Yaweza kuwa 'asiye nazo' ili amuhakikishie 'aliye nazo' kuwa hajampendea mali yake. Au mwenye nazo kwa maamuzi yake mwenyewe au kwa shinikizo la familia yake.

Sijui kama huu utaratibu tunao (watanzania), lkn kuna wakili mmoja wa mambo ya kodi NY anasema asilimia 60 ya wateja wake wana hayo makubaliano ya kabla ya ndoa.

Je utaratibu huo mnauonaje wana MMU?
Pre nup muhimu.marriage can be a scam ,you have to protect yourself and your fortune .mwingine anaamua kukuacha anakuambia I need part of your inheritance hapo Mzazi wako mmoja mzima ,atakugalagaza mahakamani wewe mpaka ukome.ndio maana marekani cheating Kwenye ndoa ni big deal .mtu anakusafisha kila kitu .I wish bongo prenup iwepo
 
i would kwa shingo upande not bcoz tafsiri ni kwamba i plan ku-divorce na kukomba mamilioni yake. it's against my character.hivi ni ukweli? mie nlidhani mki-divorce then mnagawana everything 50/50, kama sivyo asante kwa ufunuochezea kabila la kilimanjaro wewe
Pre nup nzuri lol.inheritance yangu protected hapooo.pesa kwanza mambo ya mapenzi baadae
 
Mi siwezi saini PRENAP hata iwejeeeee!!!!!!!! Kwanza wakati unanioa na utaponiacha sitokuwa sawa! Hiyo DEPRECIATION nani ataicover!!!! Hata nikirudi sokoni baada ya wewe kunitema ASSET IKIWA IMPARED ITALETA LOSS tu!!!!! Sasa hapo unadhani hiyo scraper nani atafidia UCHAKAVU!!
Mi nadhani prenap ingekuwa categorize kwenye marriage law mapema hata mambo yakiharibika kwavile ambavyo vilikuwa acquire kabla ya marriage virudi kwa mwenyewe
 
Fafanua BD, uzuri wake ni upi?
Mimi naona inabase kwenye kutokuaminiana zaidi, ingawa na binadamu tumekuwa crooked, imagine unaolewa na kibabu ambacho hata kiafya kinashauriwa kutoe manii mara moja kwa week, kisa mali zake; (kesi ya aipipi na dogo dogo wake).

nzuri kwa mwenye mali...... Haswa kuthibiti wale wanaoolewa/kuoa wenzao kwa kigezo cha mali.....

Mbaya kwa anayesign.....

Mbaya kwa mwanamke, uishi na mtu miaka 20 muachane akwambie kuna pre nup? Na wanaume wa kibongo hawa walivyo wazinzi mmmmmmmmh()of courde si wote)

na kama ulivyosema akikwambia kusign utaanza kujiuliza haniamini? Ana mpango gani future? Anaplan kumimwaga? Nk
 
Haiwezekani mkagawana mali ambazo ulichuma wewe! Kama ulihamua kummlikisha kwa makubaliano na kwa vielelezo juu basi atapewa haki yake kama ulivyo mmilikisha!

Kama hauku mmilikisha hawezi akapewa!

mleta mada kama ni mwanamke basi unaakili sana hii ndio sababu tosha wanaume hatuoi siku hizi sabab mwanamke kakukuta una kazi yako halafu unajenga nyumba yeye kazi yake kukupa mzigo tu, ndani kuna house girl analeta visa ili mgawane mali ulizoziangaikia wewe, yeye wakati hausiki hii imewashinda wanaume wengi na ndio maana hata wakristo nao hawaoi siku hizi ni bora mahakama ya kadhi ikaja haraka.ndoa za siku hizi hazina mapenzi bali kila mtu anakuja na interest zake,siwezi nikaachana na mke wangu niliyemfumania au anayenidharau alikuwa hajachangia kitu chochote kile kwenye mali halafu yeye anakimbilia mahakamani anasema nyumba zte tugawane wapi na wapi? kisa eti alikupikia na kukuoshea vyombo sasa kama kuosha vyombo na kupika nao mchango basi tupige hesabu nilikaa naye miaka mingapi and then tunaangalia mahousegirls wanalipwa bei gani halafu tuna jumlisha halafu namlipa yeye lakini huwezi kuniambia eti tugawane nyumba hata siku moja na ndio maana waislam tunataka mahakama yetu ije hizi sheria kama wakristo wenyewe zinawashinda sisi waislam tutaziwezea wapi???
 
Hii contract inaweza kuonekana ni nzuri kama ikikaa vizuri kwa upande wako, kinyume na hapo unaweza kulia mwaka mzima!

Mfano ukaamua kuona na mtu na kuamua kusign contract ya namna hii na ukamlikisha baadhi ya mali tena kwa upendo tu, lakini mwenzio anaweza kuwa yuko after wealth akaanza kukufanyia viza, mara umemfumania vya kutosha na unaona kabisa hapa nisipo fanya divorce ninajihatrisha maisha na afya yangu,una hamua kudai divorce akishatoka lazima mali za kwake atapewa(ulizo mkabidhi within contract) mbaya zaidi unaweza ukaandika nyote ni wamiliki wa mali hizo, mwisho wa siku mali zitagawiwa sawa!

Hapo ndipo unaweza ukajua ubaya na uzuri wa hii contract!

Mmekutana mmoja (Mke/mume) anazo za kutosha labda za kuzidi.
Mmoja anamwambia mwenzake wakubaliane, ikitokea wakaachana au mmoja akifa. Yaweza kuwa 'asiye nazo' ili amuhakikishie 'aliye nazo' kuwa hajampendea mali yake. Au mwenye nazo kwa maamuzi yake mwenyewe au kwa shinikizo la familia yake.

Sijui kama huu utaratibu tunao (watanzania), lkn kuna wakili mmoja wa mambo ya kodi NY anasema asilimia 60 ya wateja wake wana hayo makubaliano ya kabla ya ndoa.

Je utaratibu huo mnauonaje wana MMU?
 
dunia ya sasa watu tumeipenda mali sana.

Imagine, una vi uwekezaji vyako umevifanya kwa jasho.

Unaolewa, bahati mbaya unakufa mapema, mmeo si ataoa tena?

Kama hukujiandaa kama ulikuwa na watoto kabla ya ndoa hiyo wataula wa chuya.

Kuna umuhimu wa kuandika mambo mapema, hasa kwa maslahi ya watoto ukiwa haupo tena

Ha ha ha
Baada ya mwezi unarudi normal. LOL

Vipi wewe huwezi muomba mtu asign? Labda bila kutumia Maneno Makubwa, why not all those sweet n little promises zisiwe kwenye writing na muhuri wa lawyer au hakimu?
 
Ruttashobolwa hiyo prenup inaweza kuwa, "mali zako kabla ya ndoa zinabaki kuwa zako", huoni kama ndio itasaidia kupata penzi la kweli na sio la mali? Na mara nyingi huwa hivyo, upande wa pili ni mara chache sana!
 
Last edited by a moderator:
umeshasikia wanawake wa mjini wanajiita Chadema siku hizi??

Yaani nilicheka, wanamaanisha wanakuchomoa pesa kiulaini kwa vidole viwili.

Mi sina kitu sasa, so siwezi kuwaza ningekuwa navyo ingekuaje! LOLEST! Sheria bongooo, Unamkoleza tu na Maloveee UNAMWAMBIA HATI ZOTE ANDIKA JINA LANGU!!!! Siku vikigeuka ndo akili inamkaa vizuri. MJINI HAPA!!!!
 
Waislaam tunazo hizo kabla hamjaanza kuzifikiria, jamani Uislaam mzuri sana, na hata ndoa zetu zinaitwa "Aqd" kwa maana "contract".

mkubwa ungetuelezea na sisi tupate elimu kidogo
 
Back
Top Bottom