Tujadili: Pre-ndoa... Plan B aka 'BIMA'


Hili ni fundisho kubwa sana kwa wote wenye mpango wa kando; l like your style na nafikiri lara 1 ameipenda pia. Khah, yaani mbele ya umati wa watu unamdiss mtu.
Gals plan B ni kichomi tu; go for chaguo la Moyo, ikishindikana unaruhusiwa ku-CRY lakini utapata another plan A in God's time.
 
Last edited by a moderator:

Ila thats true, kuna mtu unampenda just from within your heart inawezekana si mzuri sana wala ana eztra qualification but you find yourself ndiye wamuona the one
 
Haaaaahaaaaaahaaaaaaaaa sosoliso pole mwaya yaani kumbe ndo plan ya saudari eeeh na kwa taarifa yake hakuwezeni wewe na Paloma,afu alivyo mchokozi yaani kakutisia nyau?mwambie kuwa mtu mzima hatishiwi nyau eti.
 
Last edited by a moderator:

Aisee, yaani vikao haviahirishwi ila jina la muolewaji tu ndilo linabadilika. Kazi kweli kweli! Na huyo mdada plan B alijisikiaje?????
 
Nashukuru kwa mchango.
Suala kuu hapa ni kutojiamini.
Hii ya kutojiamini imechangiwa na hayo no 3 right; tunawasaidiaje wadada na baadhi ya wakaka waweze kujiamini na kuwaamini wachumba wao?? Au twende nayo tu hivi hivi kidijitali!
Kwanza tuunde tume, kama tume ikija na majibu ya kuunda NGO tutajua wapi kwa kupatia pesa za kuendeshea NGO yetu.
 

::
Kaunga
I like you too & thanks for the challenging topic
=
 
Last edited by a moderator:

In bold, Aiseeee.
I red, nakubaliana na wewe, maisha haya ni ubatili tu!
 
mdada alikuwa anajua kuwa yeye ni mwizi tangu mwanzo, inakuwa rahisi sasa mwizi kawa promoted, lol!
Very important point, unajua nini mtu mwingine unamwambia wazi kuwa nina mtu wangu na bla bla zake; lakini anakwambia naomba hata niwe mpango wa pembeni. So some men/women wanazijua status zao na wanzikubali. So kwa mtu kama huyo kuwa promoted from plan B kuwa the ONLY plan ni ujiko.
 
Last edited by a moderator:
unayataka mwenyewe! na naenda kukufungulia faili! ole wako sosoliso apate hata mkwaruzo tuuu utanyeaje debe la pale buguruni! wewe na kundi lako.....!!!
sosoliso hato umia wala kupata mchubuko bali atapotea machoni mwako kwa muda usiojulikana.
 
Last edited by a moderator:
sosoliso hato umia wala kupata mchubuko bali atapotea machoni mwako kwa muda usiojulikana.

now put this in your very oblongata and keep it there saudari na wapambezo..........hata iwe milele......sina mpango wa plan B wewe ukiwa mmojawapo! sosoliso keshaandikwa!
 
Last edited by a moderator:
sijawahi kuwa muumini wa hii dini ya plan B,siwezi toa experience lakini nafikiri ni tamaa tu.na kujishusha thamani.mtu mwenye wanaume/wanawake wawili watatu huwa namdharau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…