Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,148
- 159,070
Kwani wifi kakusaliti?
Kwani wifi kakusaliti?
Abee kaka!
Achaa tu mkuu... Yani umeenda sana viwilii... Labda mkitengana kama kwa mwezi hivi sasa hapo ndo mechi inakuwa tamu ilaa kila siku daah...Teh, sijui kama watakuelewa....tena ukijumlisha na stress za hawa watu ukishamuweka ndani ndo kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko open wazi.
Unaweza ukakata tamaa kuliko kujifunza
Sasa ulikuwa unastuka nini!???
😂😂😂😂😂😂
Wallah umenikosha nakuja PmHana cha kupoteza coz kashaolewa kila Siku analala na mwanaume, hakuna tofauti na huwezi mgundua.hata ukipata mimba atakwambia yako.
Ni tofauti na sisi ambao hatujaolewa.
1: najiskia vibaya kuhesabiwa wanaume
2: naogopa midushe kunipanua uchi wangu:
3: naogopa mimba
4: naogopa mgonjwa
5: napunguza kujiamini: hakuna kitu kizuri kama kujiamini mbele ya mwanaume, coz najua sina history ya kuvuliwa chupi.
😂😂 pata picha Jf ulishawavuliwa wanaume 10 what do u expect? Kila anaekuja pm unataka mkutane si upimbi😂😂😂😂
Kweli kabisa mkuu, wanatulaumu tu lakini haya mambo siyo rahisi hiviAchaa tu mkuu... Yani umeenda sana viwilii... Labda mkitengana kama kwa mwezi hivi sasa hapo ndo mechi inakuwa tamu ilaa kila siku daah...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnavofunguka mnatuumiza banaSasa ulikuwa unastuka nini!???
Ukweli ndio huo.
Mkuu sijasema Natoka na wake za watu mbona..km mfano tu boss. Ila pole sana maana unaonekana umepanick hasaSiku ukinaswa na mwenye mke lazima ushike ukuta tena nawatafuta sana ninyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha,, sasa kama ndio ivyo wanaume wote duniani wameiba wanawake wa watu matokeo yake wanachapiwaTatizo lingine ni kuwa...mkeo ni demu wangu wa miaka mingi...so wewe ndo ulianza kuniibia
Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer