Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

Hana cha kupoteza coz kashaolewa kila Siku analala na mwanaume, hakuna tofauti na huwezi mgundua.hata ukipata mimba atakwambia yako.

Ni tofauti na sisi ambao hatujaolewa.

1: najiskia vibaya kuhesabiwa wanaume
2: naogopa midushe kunipanua uchi wangu:
3: naogopa mimba
4: naogopa mgonjwa
5: napunguza kujiamini: hakuna kitu kizuri kama kujiamini mbele ya mwanaume, coz najua sina history ya kuvuliwa chupi.

😂😂 pata picha Jf ulishawavuliwa wanaume 10 what do u expect? Kila anaekuja pm unataka mkutane si upimbi😂😂😂😂
Wallah umenikosha nakuja Pm
 
Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer

Kuna kipindi katika maisha inakua ni maalumu kwa ajili ya kutafuta kipindi nakutafuta sikua na majukumu yeyote jukumu langu kuu lilikua kuhakikisha una furaha lakini sasa nina familia nihakikishe unakula watoto wanakula mnaenda shule bills zinalipwa nachoka nahitaji mtu wa kuniambia we got this everything gonna be okay lakini instead ninachopata ni kuchekupkwa kisa simpi furaha damn it


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom