Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Hali ni mbaya sana, wake za watu wamekuwa warahisi sana, wanatafunwa kirahisi mno, mbaya zaidi hawaoni Shida kutoa siri za mume wake kwa mwanaume wa nje, kifupi ukigundua mke wako ana mwanaume nje Muache maana siri zako zote kale kamchepuko atakuwa nazo..

Nini tatizo enyi wanawake??

Nasisi wanaume tunaowatumia wake za watu tumegundua wapi kuna udhaifu kwa hawa wanawake ili tuliooa tujitahidi kuuziba huo udhaifu na ambao hatujaoa tujifunze ili tukioa tuwe makin..

HALI INATISHA, NDOA HAZINA HESHIMA TENA,....

tujadili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer
 
Short n clear,big up
Wanaume tunajisahau,kuna tulivyokuwa tunawafanyia wake zetu kabla ya ndoa mpaka watadata na sis,ukimuweka ndan unaona haina haja maana n wako,kama ulikuwa unapga shoo ya kibabe unapunguza,unakuta mwenzio anataman ile shoo za kpnd iko,anatoka nje kutafuta shoo,vijana nao wakijua kuwa huyu n mke wa mtu wanapga shoo mpaka wanasimamia vidole
Wanawake wengine pia hawajatulia tu internally
 
Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer
Duuh!!pressure ya kutafuta hela awamu hii bado nikufanyie hayo yote wanawake wawe na huruma kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom