Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

Jaman kwa uzoefu wangu mdogo nimegundua kitu kwenye ndoa wanandoa wamekuwa wakiishi kama dada na kaka mume upiga goli moja tu ukute yeye kashatoka kula papuchi uko nnje hivi unadhani uyu mwanamke akatolee wapi ugwadu wake lazima akaliwe nnje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaani mwanamke anaridhika kwa bao ngapi? Mbona hata moja linamtisha kama kaandaliwa vyema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua utakuwa umeona rafiki zako au watu unao wafahamu wanafanya haya ...aya mambo hata zamani yalikuwepo sema Rich mavoko na wahenga wanaita siri ya ndani...awo wanaotembea na wake za watu na wanamakolomeo ndio wanawatangaza hao ma aunt...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnazunguka sana ila jibu hakuna upendo kwenye ndoa. Ila issue ya kupiga bao nyingi sio suruhisho maana unaweza kupiga nyingi mkeo asikojoe hata moja. Mwanamke ni kiumbe ambae akionyeshwa upendo wa dhati hahesabu mapungufu maana kwake akikojoleshwa hata mara moja kwa wiki anaridhika.

Neno upendo tu ndo dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha wanaume hawawapendi wake zao toka moyoni thats y hii upelekea kutokulizishana kwenye ndoa au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ni mbaya sana, wake za watu wamekuwa warahisi sana, wanatafunwa kirahisi mno, mbaya zaidi hawaoni Shida kutoa siri za mume wake kwa mwanaume wa nje, kifupi ukigundua mke wako ana mwanaume nje Muache maana siri zako zote kale kamchepuko atakuwa nazo..

Nini tatizo enyi wanawake??

Nasisi wanaume tunaowatumia wake za watu tumegundua wapi kuna udhaifu kwa hawa wanawake ili tuliooa tujitahidi kuuziba huo udhaifu na ambao hatujaoa tujifunze ili tukioa tuwe makin..

HALI INATISHA, NDOA HAZINA HESHIMA TENA,....

tujadili...

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini na mama yako ni mke wa mtu! Ukitukana angalia kulia na kushoto!
 
Short n clear,big up
Wanaume tunajisahau,kuna tulivyokuwa tunawafanyia wake zetu kabla ya ndoa mpaka watadata na sis,ukimuweka ndan unaona haina haja maana n wako,kama ulikuwa unapga shoo ya kibabe unapunguza,unakuta mwenzio anataman ile shoo za kpnd iko,anatoka nje kutafuta shoo,vijana nao wakijua kuwa huyu n mke wa mtu wanapga shoo mpaka wanasimamia vidole
Wanawake wengine pia hawajatulia tu internally
Hao watu hamtawaweza danganyaneni tu.huwezi kumridhisha mdudu sababu hujui lugha yake.Mpe kila kitu na atachepuka tu.
 
Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer

Hayo yote bado siyo sababu za wewe ukatoe siri za mumeo kwa mabawana wako.

Kwani wanaume hawana michepuko? mbona hawawaaniki wake zao kwa michepuko yao?
 
mtu anayethamini utu wake hawezi kuvua kwa kila mtu eti kisa shida zake.
hizi ni tabia mbaya na jamii haipendi sijambo la kujisifia eti unatembea na mke wa mtu je ulishawahi kumuuliza huyo mwenye mke sababu za udhaifu wowote kwa mke wake? kwa nini huyo mwanake hatoki kwa mmewe?
kiukweli kama ni kjana hakuna tofauti na simba mzee nayesubiri mawindo kwa simba jike kwa kuwa kwa mapungufu aliyokusimulia ukiletewa yale anayotendewa ikiwa ni pamoja na kununuliwa gari na mafuta sidhani wewe kama utaweza kwa show ya muda mfupi unayopiga.
iweleweke wazi kuwa ndoa sio tendo la ndoa peke yake bali ndoa ni taasisi pana mno kuzidi unavyofikiria.
 
Back
Top Bottom