Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

Na Wanaume watu WAZIMA mnaopenda kuowa vitoto ingali nyie mlishatmia nguvu zenu vya kutosha hukuujanani hayo ndo huwa matokeo yake!!!!!!
Kuna babu kastaafu kama miaka 3/4 hivi mkewe ndiyo ana 40 mziki wake sasa baba na sukari juu piga picha angekuwa na Mzee mwenzie ambaye kwa wakati huu angekuwa na 55----60 asingepata shida sasa mdada kazi yake kuchepuka tu kayataka mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer
Umeongea logic. Hili suala lishakuwa tatizo kubwa sana kwenye jamii zetu za kiafrika....nadhani inachangiwa na hali halisi ya kiuchumi, ila kuna haja ya wanaume kuliangalia kiundani suala hili, maana tunapoelekea sipo pazuri kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu haridhiki no matter what, do your part, fulfill your family's dreams and the rest leave it to her.

Mwanamke wa kuliwa ataliwa tu...
Mhhhhh we mbona km mwandiko wako naujua...lol
And why umekata tamaa sana?
 
Mhhhhh we mbona km mwandiko wako naujua...lol
And why umekata tamaa sana?
Mmmh, muandiko wangu umeujua vipi? Means unadhani unanifahamu? Maybe...na sijakata tamaa, hakuna mahali panaonyesha nimekata tamaa hapo.
 
Mmmh, muandiko wangu umeujua vipi? Means unadhani unanifahamu? Maybe...na sijakata tamaa, hakuna mahali panaonyesha nimekata tamaa hapo.
Reading you btn the lines..
Basi sawa..kukata tamaa mwiko
 
Mambo ni mengi mda mchache mshale wa sekunde unakwenda less najaribu Ku cover mambo mengi ndani ya mda huo mdogo niliokuwa nao ka umri kanasonga, I have to pay bills, njia ya chooni isiote nyasi, nihakikishe kila mtu anakwenda chooni kwa wakati, balance ya hospital in case, ni serve for future use, niongeze vyumba kwenye kakiwanja kidogo nilichokuwa nacho mana watoto wanakuwa siwezi mix boys and girls in single room. She is my partner lazima anisaidie kwa upande mwingine ili tu balance life. Namuamini ila sishiki simu yake wala sitaki kujua anachati na nani, sijari siri zangu ngapi katoa nje mana sio wa kwanza yeye kuongea juu yangu ila hilo sio jukumu langu kuchunguza nani anaongea nini kuhusu mimi. Najiamini, kama nina mchepuko ni mmoja tu na sichati nae nikiwa hom na nilishamwambia. That is reality, after all siwezi kushindana na nilipotoka. Show za kibabe afu nigundue nini... I'm matured enough.
Sijui nimeandika nini
 
Hakika mkuu, siku zote Kunguru hafugiki.

Kama mwanaume kosea yote lakini ukikosea mwanamke wa kuoa ukaoa kahaba kichwa maji jua umeamua kukipatia mateso kizazi chako (watoto watapata tabu sana nakuambia)

Hakika mkuu, ukioa malaya ujuwe watoto watapata shida sana.
 
Back
Top Bottom