Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer
Kichekesho sasa, huyo anaekutoa, na kukubembeleza....akikukuoa mnakuwa hamna nyumba, chakula daily ni shida, kwa ujumla mzigo wa mke mtu huyo hawezi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana cha kupoteza coz kashaolewa kila Siku analala na mwanaume, hakuna tofauti na huwezi mgundua.hata ukipata mimba atakwambia yako.

Ni tofauti na sisi ambao hatujaolewa.

1: najiskia vibaya kuhesabiwa wanaume
2: naogopa midushe kunipanua uchi wangu:
3: naogopa mimba
4: naogopa mgonjwa
5: napunguza kujiamini: hakuna kitu kizuri kama kujiamini mbele ya mwanaume, coz najua sina history ya kuvuliwa chupi.

😂😂 pata picha Jf ulishawavuliwa wanaume 10 what do u expect? Kila anaekuja pm unataka mkutane si upimbi😂😂😂😂
 
Hali ni mbaya sana, wake za watu wamekuwa warahisi sana, wanatafunwa kirahisi mno, mbaya zaidi hawaoni Shida kutoa siri za mume wake kwa mwanaume wa nje, kifupi ukigundua mke wako ana mwanaume nje Muache maana siri zako zote kale kamchepuko atakuwa nazo..

Nini tatizo enyi wanawake??

Nasisi wanaume tunaowatumia wake za watu tumegundua wapi kuna udhaifu kwa hawa wanawake ili tuliooa tujitahidi kuuziba huo udhaifu na ambao hatujaoa tujifunze ili tukioa tuwe makin..

HALI INATISHA, NDOA HAZINA HESHIMA TENA,....

tujadili...

Sent using Jamii Forums mobile app


Tatizo mara nyingine liko kwa mwanaume mwenyewe, akishaoa/ weka ndani, anajua keshamaliza, anahamishia akili kwenye pesa/ majukumu mengine.......

Ukimsahau mwanamke wako, uliyeamua kuoa mwenyewebila kushurutishwa, na aither kwa kuchangiwa ama kujikusanya mwenyewe ili ufanye sherehe.... hakika nakuhakikishia huyo artartombwa tu... hata awe mvumilivu kiasi gani.....

mimi ninao watatu...... wote nawamiliki kwa kuwapa faraja kwa wakat wao.... na bado hudum hiyo hiyo naitoa kwa mchumba wangu, tena kikamilifu.....:p

#fuata nyuki uote manundu#
 
Hali ni mbaya sana, wake za watu wamekuwa warahisi sana, wanatafunwa kirahisi mno, mbaya zaidi hawaoni Shida kutoa siri za mume wake kwa mwanaume wa nje, kifupi ukigundua mke wako ana mwanaume nje Muache maana siri zako zote kale kamchepuko atakuwa nazo..

Nini tatizo enyi wanawake??

Nasisi wanaume tunaowatumia wake za watu tumegundua wapi kuna udhaifu kwa hawa wanawake ili tuliooa tujitahidi kuuziba huo udhaifu na ambao hatujaoa tujifunze ili tukioa tuwe makin..

HALI INATISHA, NDOA HAZINA HESHIMA TENA,....

tujadili...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtenda hutendwa itafika muda tena wewe hutaamini. Jidanganye na vinguvu vya konyagi saiz ukiingia ndo utajua
 
Wanaume wanaanza usaliti
Mke anataka ngoma drooo

Mwanaume kaoa lakini hapigani miti vizuri na mkewe yuko radhi achepuke akapige vzuri
Mke haridhishwi naye atafta nje


Wanaume tulia na mkeo mpige miti hadi kutoka nje isiwe ni option kwake..mchoshe sana every chance u get

Nguvu za kiume zenyewe za kuwinda afu mtu anawapanga eti wawili kisa anasambaza goli moja moja kila mahala..braza ukitoka kwako mkeo lazma wakuto.mbee tu
Nimependa ulivoelezea, kuna ukweli mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mada hapa ningine"wezangu mnalichukuliaje swala la wasanii wa umli mdogo kutoka na majimama????
Au ndo kutafuta kiki kwenyewe????
 
Ni tatizo la kutokuowa mabikira
Jokajeusi baelezee
True ukioa bikra umemaliza mchezo...ata raha yenyewe ww ndo utakuwa wa kwanza kumpa..sasa ww unaoa mwanamke anajua style zote,kapitia kila size kwann usigongewe...unajua kwa ss maskini kutokana na majukumu yetu ya kutafuta vipato so sio kwel kwamba utaweza kumtimizia mke wangu kila hitaji sio tu la kitandani hata pia kumhudumia mahitaji ya kwake yy kama mavazi n.k...mwingne anachepuka kisa mwanaume wake hamnunulii nguo au hamtunzi lkn sio kwamba haridhiki kitandani LAHASHA,ukioa mwanamke bikra hutopata hii dhoruba maana kinachotia hamasa wanawake kuchepuka,utakuta labda ex wake alikuwa anamfanyia shopping za maana mazawad kibao ila ww humfanyii hvyo lazima atatafuta suluhu...ila ukioa mwanamke ambaye hajawah kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kimapenz lazima risk kuchepuka itakuwa ndogo au itakuwa hakuna kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnabana matumizi unampa halima mume wa halima anampa mkeo bunda lakutosha .
Upo??
Maisha sio kutesana maisha nikusaidiana.
Ukimla mke wa mtu jua wako hata jibana.
Ataliwa ukijiheshimu na yeye roho itamsuta ila nimeona sehemu nyingi sana wanaume za watu wanawabania.
Matumizi wake zao.

unaweza usile wa wenzio wa kwako akaliwa vilevile
 
Back
Top Bottom