Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

Ngoja wake tuone ila tatizo linakuja wenye hio mitandao mikubwa wana moles ktk serikali hivyo wakiona hawa jamaa wanawatoa sokoni, wataingilia na TCRA watakuja na kale kamsemo ka ku-promote a level playing field to all competitors!
 
Mitambo ipo on kwaiyo ili kujua kama wapo fanya manual seach ya operators eneo ulilopo utawaona wanatumia jina Hit TZ.
View attachment 297332View attachment 297332
LAKN pia huko Zanzibar ulishaona wanachimba mitaro na kutandaza nyaya? Maana huku bara wametandaza nyaya karibu nchi nzima.

Mtandao wao una nyaya Inapita ardhini, huwezi ona minara mingi, wana minara michache alafu mirefu sana ile myembamba. Sehemu nyingine wamenyanyua juu nguzo kama za ttcl.

Hao ndio halotel wengine tushaanza watumia kama freelancer

Kutandaza nyaya na uchache wa minara kuna uhusiano gani??

Kama Wana minara michache basi network yao ndogo.
 
Ni kweli mkuu! Hawa Jamaa makubaliano yao ya kwanza na serikali ni kufikisha mawasiliano maeneo yote ya vijijini!
Pia wavute fibre optic cable maeneo yote ambayo serikali haikumaliza kulaza fibre optic cable

Hzo fiber zao znazopita juu?? Ujanja Ujanja tu hawawezi kumalizia ile project ya serikali ile ni multimillions....
 
kabla ya kusifia huo mtandao inakubidi ujiulize swali hili!

je, huo mtandao utaendeshwa kwa sheria na taratibu za nchi gani?
-maana kama na Tz Kampuni pekee inayoweza kutoa huduma kwa bei nafuu ni ile iliyo chini ya serikali (TTCL) haya mengine hawawezi kwani kufanya hivyo itakuwa hasara kwao.

Promosheni tu baada ya muda kama dawa kama kazi
 
Mmenikumbusha ile kampuni nyingine ilikuja na same colour za orange hivi. Wakauza modem bei rahisi na watu wakabakia na modem Kama souvenir.

Shamba la bibi at your disposal, karibu Mgeni.

Kwa kweli mimi kuhama voda au Airtel itakuwa ngumu........ndizo zinazoingia ishu za kuweza kununua hiyo halotel nilitaka........sasa nahamaje kwa mfano............
 
Huo mtandao ni mkubwa kiasi gani kuweza kutoa huduma vijijini,njiani,mijini,maporini na baharini?maana yake umewafikia watu wote nchi nzima?

Baharini sehemu gani hasa.......atoe coordinates............
 
kabla ya kusifia huo mtandao inakubidi ujiulize swali hili!

je, huo mtandao utaendeshwa kwa sheria na taratibu za nchi gani?
-maana kama na Tz Kampuni pekee inayoweza kutoa huduma kwa bei nafuu ni ile iliyo chini ya serikali (TTCL) haya mengine hawawezi kwani kufanya hivyo itakuwa hasara kwao.
Mbona fastjet wameweza
 
Halotel mabadiliko,mabadiliko halotel.
 
Vodacom, Airtel na Tigo wanafanya umafia kufix bei za products mbalimbali. Wangeacha nguvu ya soko ifanye kazi gharama za kupiga simu na kununua bundle ingekuwa ndogo sana.
Huyo mgeni wanaweza kumuongezea kwenye mtandao wao.
 
Na mishahara yao mbuzi wanayolipana ngoja muone quality ya network
 
Kwa serikali hii au nyingine?angalia bei ya mafuta ya taa ambayo ni muhimu sana kwa vijijini bei yake na petrol ni karibu sawa!
 
TCRA hawawezi kuwaacha wafanye watakavyo.
Tigo, voda na airtel lazima wafanye hujuma.
 
Back
Top Bottom