Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,514
Now that is 'our resident queen ' talking,tatizo ukifupisha jina langu linakuwa tusi lol!
heeeeeee tusi gani hilo???maana yake nini?? sorry Upototo....lol:laugh::laugh:
Now that is 'our resident queen ' talking,tatizo ukifupisha jina langu linakuwa tusi lol!
Wanaume mnaona ili mpate wa kuwafanyia kazi kama wafalme! Duh, hayo makubwa....mbona na wewe mwanamume usim-encourage waif wako mfanye hizo kazi pamoja; hasa kama na yeye ni mfanyakazi somewhere else...hizo bla bla zote ni kututafuta "justification" kwa kutoridhika baada ya kuona, acheni kuangaza angaza huko na huko...kwani kabla hujaoa, nani alikuwa anakufanyia hayo yote?
Mkuu hapa naona unatafuta excuse, ukiona kama ni kero sana basi tafuta Houseboy.
Ukigusa hapo huenda hata hiyo heshima unayopata sasa ikaisha wewe ndio ukaishia kuwanawisha wote mikono na kufua nguo
Jinsia yangu haioneshwi na avatar....naweza kuwa mwanaume au mwanamke......
Pili umeshamshauri,asante sana.
Mhhhh! Michelle hapo penye nyekundu pameniacha hoi. Haya enjoy the rest of the weekend.
Ha ha ha ha.....uchokozi kidogo tu BAK,Enjoy the rest of the weekend as well......
nyie wababa na nyie mmezidi...
yaani ulitaka housegirl awepo na mkeo afanye kazi zote hizo???
sasa mliajiri housegirl wa nini???
kama kakunyima unyumba,au hajitengenezi ukirudi unamkuta yuko rough...ningeona basis ya malalamiko yako!
kwa sasa naona unatafuta tu excuse ya kutembea na huyo housegirl...shame on you!:twitch::twitch:
Ok hahahahahahahaha kumbe nawe ni mchokozi eeh!? LOL! Thank you my dear.
Kwani amekutaja jina michelle mbona unajishtukia??!!!!.......Jinsia yangu haioneshwi na avatar....naweza kuwa mwanaume au mwanamke......
Pili umeshamshauri,asante sana.
Pole sana kaka ila nasi wadada tukiolewa tunajisahau sana agrrrrrrrrr
Duh hii kali.........mkuu inaonekana wewe ni onja onja sana, angalia isije kukutokea puani.Ofisini wanaitwa secretary, Bar wanaitwa Bar maid, Nyumbani wanaitwa House Girl; zote ni ajira tu kama ni edible kula vitu ruksaaa....caution - umeshindwa tumia cond**
mada ya wanaume hii, NGoja kwanza tUjadili tukimaliza tutakuita uje uone mikakati tunayojiwekea
Muoe housegl wako mfanye awe bi mdogo wasaidiane.
muoe housegl wako mfanye awe bi mdogo wasaidiane.