Tujadili: Ilipaswa iweje?????????

jackson alipaswa kuwa wazi toka mwanzo

Ila kabla hawajaachana jackson ameenda hospitali? Madaktari wanasemaje?

Halafu tatizo siku hizi vijana wanadhani ndoa ni sherehe matokeo yake wanaingia ndoani bila "kujuana " vizuri

Mwisho kabisa hapo ndo umuhimu wa kutest unapoonekana
 
 
Jamaa angekuwa muwazi tangu mwanzo na angekuwa anakito.besha kwa wanawake tofautitofauti am sure wengi wangemkimbia lkn ultimately in the long run angempata tu wa saizi yake cz sure hizi K zipo dizaini na size tofauti, thr mst one he wld fit in
 
Ndo maana kuna umuhimu wa kukamua mzigo wako mapeema.
 
looks like cook story..

it is not.
Tena nimeiweka huku hoping somehow 'jackson' ni member au hata mpitaji wa humu ili apate mawili matatu on how to go on with his love life. Sijui kwanini ninamuhurumia zaidi mkaka, nafikiri ni kwakuwa uwezekano wa kupata mdada atakayemkubali the way alivyo ni mgumu sana. He never asked to be like that remember.
 

Lakini tendo la ndoa lilikuwepo ingawa lilikuwa la maumivu kwa mdada.
Sijui huenda mkaka amekuwa mhanga wa kusema ukweli hapo kabla, hivyo akaona awe selfish for once na somehow afungwa na ndoa.
 

Nami hilo ndilo linalonitatiza; kuliko hasara ya muda, mali, na kujifungia masacrament (maana bila annulment ya ndoa, hapo wote watakuwa wanazini wanapokuwa na watu wengine tofauti) bora angejieleza mapema. Kuna watu wanaowapenda watu wanaoishi na VVU nini hiyo deformation ambayo with a bit of creativity wanaweza kuenjoy tu sex without penetration.
 
swali ni moja tu
jamaa hakuwahi kuwa na wanawake wengine?
ali sex nao vipi?
isije kuwa tatizo ni huyu mwanamke na sio kila mwanamke?

I have no idea, kwakweli. I real hope ameweza kuwa na at least mdada mwingine.
 

Nafikiri ndicho alichowekea imani yake.
Kuna mama yangu mkubwa, naye aliolewa na mwanaume haniithi kabisa. Baada ya muda ndipo mama yangu akawaambia watu, mwanaume akakiri na kuomba msamaha na kukawa na makubaliano kuwa mama mkubwa azae na wanaume wengine; that was the arrangement, haikuwa nzuri sana kwani somehow ilimnyima uhuru wa kufurahia ndoa mamkubwa but kwa wakati ule it did work.
 

I real wish ingekuwa ya kusadikika isingeniumiza the way it did; aliyeniambia ni mtu aso wa mizaha na zaidi wakati anaongea na Lily (kwa simu) nilikuwepo (l wish watu wangekuwa wanaenda chemba wanapoongea na simu, mada nyingine hii).
 

mwanamke alipaswa kumtaarifu aliyemfungisha ndoa baada ya kugundua tatizo hilo kwa sex is impossible na ndoa ingevunjwa haraka....it is allowed hata kiroho. Hata hivyo anaweza kufuata utaratibu huo na manaume akikiri mbele ya mfungishaji wa ndoa yao-padri, mchungaji...hiyo ndoa itavunjwa na mwanamke anaweza kuolewa. Hakuna sheria ya kuwafunga hapo, maana ndoa bila tendo la ndoa si ndoa.
 
Nawaza sana imepasukaje huko kichwani.

Hivi, hawawezi kutumia ile stail ya gulion katerero? Ila ndio for life?
 
Embu fafanua kidogo hiyo deformity ina maana ana vichwa viwili kwenye dusherere yake au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…