Tujadili: Ilipaswa iweje?????????

Tujadili: Ilipaswa iweje?????????

swali ni moja tu
jamaa hakuwahi kuwa na wanawake wengine?
ali sex nao vipi?
isije kuwa tatizo ni huyu mwanamke na sio kila mwanamke?
 
Bila shaka mkaka alidhani ile covenant ya kuvumiliana kwenye shida na raha itamprotect asijue the content in it is just an illusion kwa binadamu wa sasa,wawili kua mmoja inawork pale ambapo raha inahusika ila penye shida aisee unakimbiwa mchana kweupe yani binadamu wa sasa tumekua selfish na wala hatujishtukii
 
Lawama zote kwa wazazi. Samaka mkunje angali m'bichi! Sidhani kama kijana wao atafurahia maisha coz maisha bila ile kitu, aagh ufe tu...!

Huyu kama yuko Dar ndio angalifaidi pale sinza bigborn, ila huko njombe sijui kama kuna LIBRARIES..!!
 
inasikitisha sana. sipati picha kabisa. Pole za huyo dada.

two-headed-snake_2043643i.jpg
 
Ukweli unauma....ni wachache sana wanaoweza kufunua siri zao kabla ya ndoa
.VIkojozi kitandani
.wenye uume usioweza kupenya kwenye mwanya (ulio ka utambi wa taaa)
.Wasio na uwezo wa kuzaa
etc
Mimi niko tofauti, ukihitaji kuwa na relationship na mimi na nikakubaliana na wewe kabla ya yote mimi nitakuambia mapungufu yangu nijuu yako kunyoa au kusuka. Guys jamani kuweni wawazi ili muwe huru.
 
kuna kitu kinaitwa 'consummation of marriage' yaani kukamilika kwa ndoa lazima kuwepo tendo la ndoa, kama hamna tendo la ndoa then ndoa haijakamilika. kwa sheria za kanisa (katoliki) kama hakuna consummation, ndoa inatenguliwa na kanisa.

all in all ni vizuri kumwambia mwenzi wako udhaifu ulionao kabla ili aamue kunyoa au kusuka kuliko kuja kuleteana usumbufu baadae.
ndoa hii imekuwa consumated
 
ila dah!
seriously hii ni issue!
UDHAIFU WA MCHUMBA UKIFICHWA ILHALI MCHUMBA HUYO AKIJUA KABISA KUWA UDHAIFU HUO NI SABABU YA KUVUNJA UCHUMBA IN THE FIRST PLACE NA BADO AKANYAMAZA ASIMWAMBIE MWENZIE!
ndoa hiyo haipo na wala haikuwa hi kuwepo!
 
Kwani ndoa ni kuDO pekee? Ku-DO si kama mnahitaji kuzaa pekee jamani khaa
 
Hiyo deformation kwanini wazazi wasiishughulikie wakati ni mtoto, nafikiri inaweza hata kumfanya asiweze kupata watoto. Pili jamaa kwanini asiseme matatizo yake..............

Anyway sioni tatizo kwa mdada inataka roho hasa ikiwa hilo jambo kuelezwa mwanzo
kwani eti hiyo defo.....ndio nini shostito maana naleta picha sielewi vile hebu nijengee picha kweli
 
inasikitisha sana. sipati picha kabisa. Pole za huyo dada.

two-headed-snake_2043643i.jpg
yaani wazazi wa huyu jamaa wanapaswa kufungwa mawe mazito shingoni nakupigwa jamani 9na wangemwaisha hospitali akiwa na 0-5 it was so easy to handle it,lakini Kaunga nawaza hii stori yakusadidika kwa jinsi akili yangu inafanya haraka haraka je !hata akliyemtairi hizo kichwa mbili hakuweza mshauri? hii ni kusadikika jamani ila ndio mjue ndoa za siku hizi ni gambling tu kamari tena wengi wenu mnalamba majocker wakati wenzenu weshalia last card
kwangu kama ndio imetokea hivi kabla sijafanya lolote twende hospitali ili kama itawezekana maisha yaendelee ya nini kumdhalilisha mtu unafikiri haitawezekana !nafikiri thou its too late always there is alternative B
 
Last edited by a moderator:
huyo dada angejikaza washirikiane na mwenzake kusolve hilo tatizo.... kwa mungu yote yanawezekana mbona
aisee nilikuwa napinga haya mambo ya kuonjana loooh! ngoja
 
mdau mbona story yako kama hypothetical vile jinsi ulivyoianza ktk ikawa kama ya kweli? sasa bakora ikisimama mgawanyiko nao unapata nguvu? mimi ninavyofahamu maumbile ya wanawake labda mgawanyiko ulikuwa umbali kama kidole gumba cha mguu nakidole kidogo ndo hauwezi ingia! ila pia mme pengine hakuwa fanya mapenzi and it was first experience so huwezi mulaumu pia.
 
Jackson ni mtu wa Njombe lakini anaishi Dar es Salaam, kijana mtanashati tu na mwenye kazi yake nzuri. Lily ni mdada wa njombe lakini anafanya kazi Mafinga (ni nurse); vijana hao wawili wanajuana na familia zao zinajuana. Mawasiliano kati yao ni ya simu na barua pepe, wamependana na kuamua kuwa wachumba.Baada ya taratibu zote, hatimaye wamefunga ndoa ya kikristu kanisani (mpaka kifo kiwatenganishe). Usiku wa harusi, ambapo ndipo haswaa ndoa ilipopaswa kutimia (uchumba wao ulikuwa wa kikristu, hakuna tendo la ndoa kabla ya ndoa), ndipo tatizo lilipotokea. Bwana harusi, ana deformation kwenye penis yake; yaani uume umegawanyika kichwani hivyo kuufanya kuwa mpana sana kiasi kwamba ikawa vigumu kumuingia mkewe (hakuwa bikira).BInti alipata maumivu makubwa sana, hadi kutoka damu (nafikiri alichanika); kiasi kwamba tendo la ndoa halikuwa la furaha tena. Bibi harusi hakukubali tena kushiriki tendo la ndoa na mumewe, na akamlaumu sana, na bwana harusi akasema yeye kazaliwa hivyo na alifikiri mkewe atamvumilia na kumtunzia siri. Baada ya fungate (hawakoDO tena) bwana harusi alirudi kwake Dar na bibi harusi akaenda kwenye kituo chake cha kazi.Recently wameongea, na mume amempa go ahead mke in case anataka aanze upya na mtu mwingine. So mke ameongea na mshenga (ambaye ndio alisimulia) afanyaje?Maswali niliyojiuliza:-1. Kwanini mwanaume hakumuambia mchumbaye hali yake kabla?2. Kiapo cha ndoa kimepoteza maana kiasi kwamba unaweza fanya majaribio ya kuingia na kutoka just like that?3. Hivi mdada ameshindwa kweli kumvumilia (anyway sijui hiyo deformation ni mbaya kiasi gani), lakini nina imani angeweza kuishi naye some how.4. Poor Jackson, wazazi wake hawakuweza kufanya kitu alivyokuwa mdogo. Anyway karibuni kuchangia.NB This is true story
jackson aende kwa doctor (hospital) atapata msaada. idk kama ni ugonjwa wa kurithi au body piercing gone wrong but it should be treatable.pia jackson should have said it before kwa Lily
 
Ndio maana sisi tulijaribu tena sana kabla ya ndoa. Kabla ya ndoa tukatubu zetu saaafi. Ndoa ikafungwa tunajuana fika!! Sasa tunanogesha tu mbwembwe za hapa na pale mambo yawe matamu zaidi.

Tendo la ndoa siku ya ndoa? Acha utani. Mke achape lapa tu
 
ndoa hii imekuwa consumated

itategemea na hali yenyewe ilivyokuwa.. kama tendo halikufanikiwa from day one, then hakuna consummation. BTW ndoa haikamiliki kanisani bali hukamilika pale wanandoa wanapofanya tendo la ndoa na likafanikiwa. kwa hali nayoiona hapo, tendo la ndoa (intercourse) halikufanikiwa hivyo hakuna ndoa hapo.
 
Back
Top Bottom