Tujadili: Ilipaswa iweje?????????

Tujadili: Ilipaswa iweje?????????

jackson alipaswa kuwa wazi toka mwanzo

Ila kabla hawajaachana jackson ameenda hospitali? Madaktari wanasemaje?

Halafu tatizo siku hizi vijana wanadhani ndoa ni sherehe matokeo yake wanaingia ndoani bila "kujuana " vizuri

Mwisho kabisa hapo ndo umuhimu wa kutest unapoonekana
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa! (Its not a laughing matter and im ASHAMED of myself! Seriously)

Ila MAMBO YA KUNUNUA MBUZI KWENYE GUNIA NIKIYAPINGA NAONEKANA SINA DINI!!!!!!!! Ona sasa yaliyomkuta huy bibie!

Bck to Topic

Mimi naungana na mdada 80% sio kwa ushabiki maandazi kutiwa amira kidogo kuumuka beseni zima, bali kwa hoja nzito!

1. Ndoa ni kwa kufurahia tendo la ndoa! Sasa kama tendo mtihani WHY SHOULD SHE DENY HERSELF THE BIGGEST PLEASURE OF THIS WORLD? Hapana Mumewe kuwa na matatizo ni kazi ya Mungu, ila yeye kujinyima another opportunity ya kufaidi maisha NI KAZI YAKE BINAFSI!!!!!! Everbody deserves a second chance! Afterall SHE WAS TRICKED IN THE 1st PLACE!

2. Ndoa ni MAKUBALIANO (OKAY FINE! BLESSED BY GOD) Na kuvunja ndoa ni ZAMBI 1, tena inatubika, Ila kubakia kwenye mfano wa ndoa na KUCHEAT CONTINUOUSLY NI ZAMBI 100, hapo sijahesabia zambi zingine za KUDANGANYA, KUSENGENYA,KUTOKUSHUKURU, KUZUGA ETC ambzo na ACCESSORY YA CHEATTING! Heri shoka moja mbuyu chini unaanza

TAWILEE, TAWILE.
IGWEEE, IGWEEE
TRUE, TRUE,
 
Jamaa angekuwa muwazi tangu mwanzo na angekuwa anakito.besha kwa wanawake tofautitofauti am sure wengi wangemkimbia lkn ultimately in the long run angempata tu wa saizi yake cz sure hizi K zipo dizaini na size tofauti, thr mst one he wld fit in
 
Ndo maana kuna umuhimu wa kukamua mzigo wako mapeema.
 
looks like cook story..

it is not.
Tena nimeiweka huku hoping somehow 'jackson' ni member au hata mpitaji wa humu ili apate mawili matatu on how to go on with his love life. Sijui kwanini ninamuhurumia zaidi mkaka, nafikiri ni kwakuwa uwezekano wa kupata mdada atakayemkubali the way alivyo ni mgumu sana. He never asked to be like that remember.
 
kuna kitu kinaitwa 'consummation of marriage' yaani kukamilika kwa ndoa lazima kuwepo tendo la ndoa, kama hamna tendo la ndoa then ndoa haijakamilika. kwa sheria za kanisa (katoliki) kama hakuna consummation, ndoa inatenguliwa na kanisa.

all in all ni vizuri kumwambia mwenzi wako udhaifu ulionao kabla ili aamue kunyoa au kusuka kuliko kuja kuleteana usumbufu baadae.

Lakini tendo la ndoa lilikuwepo ingawa lilikuwa la maumivu kwa mdada.
Sijui huenda mkaka amekuwa mhanga wa kusema ukweli hapo kabla, hivyo akaona awe selfish for once na somehow afungwa na ndoa.
 
Huyo bwana harusi katoa Go ahead now alikuwa wapi siku zote
kujielezea hali halisi ili ajue mbele ingekuwaje!!!!!!!!!

SEX IS NOT SUPPOSED HURT ikifika muda wa ku DO unafikiria
leo itakuwaje!!!!!!Mwache tu aende as the guy was not open since day 1!!!!!!

Nami hilo ndilo linalonitatiza; kuliko hasara ya muda, mali, na kujifungia masacrament (maana bila annulment ya ndoa, hapo wote watakuwa wanazini wanapokuwa na watu wengine tofauti) bora angejieleza mapema. Kuna watu wanaowapenda watu wanaoishi na VVU nini hiyo deformation ambayo with a bit of creativity wanaweza kuenjoy tu sex without penetration.
 
swali ni moja tu
jamaa hakuwahi kuwa na wanawake wengine?
ali sex nao vipi?
isije kuwa tatizo ni huyu mwanamke na sio kila mwanamke?

I have no idea, kwakweli. I real hope ameweza kuwa na at least mdada mwingine.
 
Bila shaka mkaka alidhani ile covenant ya kuvumiliana kwenye shida na raha itamprotect asijue the content in it is just an illusion kwa binadamu wa sasa,wawili kua mmoja inawork pale ambapo raha inahusika ila penye shida aisee unakimbiwa mchana kweupe yani binadamu wa sasa tumekua selfish na wala hatujishtukii

Nafikiri ndicho alichowekea imani yake.
Kuna mama yangu mkubwa, naye aliolewa na mwanaume haniithi kabisa. Baada ya muda ndipo mama yangu akawaambia watu, mwanaume akakiri na kuomba msamaha na kukawa na makubaliano kuwa mama mkubwa azae na wanaume wengine; that was the arrangement, haikuwa nzuri sana kwani somehow ilimnyima uhuru wa kufurahia ndoa mamkubwa but kwa wakati ule it did work.
 
yaani wazazi wa huyu jamaa wanapaswa kufungwa mawe mazito shingoni nakupigwa jamani 9na wangemwaisha hospitali akiwa na 0-5 it was so easy to handle it,lakini Kaunga nawaza hii stori yakusadidika kwa jinsi akili yangu inafanya haraka haraka je !hata akliyemtairi hizo kichwa mbili hakuweza mshauri? hii ni kusadikika jamani ila ndio mjue ndoa za siku hizi ni gambling tu kamari tena wengi wenu mnalamba majocker wakati wenzenu weshalia last card
kwangu kama ndio imetokea hivi kabla sijafanya lolote twende hospitali ili kama itawezekana maisha yaendelee ya nini kumdhalilisha mtu unafikiri haitawezekana !nafikiri thou its too late always there is alternative B

I real wish ingekuwa ya kusadikika isingeniumiza the way it did; aliyeniambia ni mtu aso wa mizaha na zaidi wakati anaongea na Lily (kwa simu) nilikuwepo (l wish watu wangekuwa wanaenda chemba wanapoongea na simu, mada nyingine hii).
 
Jackson ni mtu wa Njombe lakini anaishi Dar es Salaam, kijana mtanashati tu na mwenye kazi yake nzuri. Lily ni mdada wa njombe lakini anafanya kazi Mafinga (ni nurse); vijana hao wawili wanajuana na familia zao zinajuana. Mawasiliano kati yao ni ya simu na barua pepe, wamependana na kuamua kuwa wachumba.

Baada ya taratibu zote, hatimaye wamefunga ndoa ya kikristu kanisani (mpaka kifo kiwatenganishe). Usiku wa harusi, ambapo ndipo haswaa ndoa ilipopaswa kutimia (uchumba wao ulikuwa wa kikristu, hakuna tendo la ndoa kabla ya ndoa), ndipo tatizo lilipotokea. Bwana harusi, ana deformation kwenye penis yake; yaani uume umegawanyika kichwani hivyo kuufanya kuwa mpana sana kiasi kwamba ikawa vigumu kumuingia mkewe (hakuwa bikira).

BInti alipata maumivu makubwa sana, hadi kutoka damu (nafikiri alichanika); kiasi kwamba tendo la ndoa halikuwa la furaha tena. Bibi harusi hakukubali tena kushiriki tendo la ndoa na mumewe, na akamlaumu sana, na bwana harusi akasema yeye kazaliwa hivyo na alifikiri mkewe atamvumilia na kumtunzia siri. Baada ya fungate (hawakoDO tena) bwana harusi alirudi kwake Dar na bibi harusi akaenda kwenye kituo chake cha kazi.

Recently wameongea, na mume amempa go ahead mke in case anataka aanze upya na mtu mwingine. So mke ameongea na mshenga (ambaye ndio alisimulia) afanyaje?

Maswali niliyojiuliza:-
1. Kwanini mwanaume hakumuambia mchumbaye hali yake kabla?
2. Kiapo cha ndoa kimepoteza maana kiasi kwamba unaweza fanya majaribio ya kuingia na kutoka just like that?
3. Hivi mdada ameshindwa kweli kumvumilia (anyway sijui hiyo deformation ni mbaya kiasi gani), lakini nina imani angeweza kuishi naye some how.
4. Poor Jackson, wazazi wake hawakuweza kufanya kitu alivyokuwa mdogo.

Anyway karibuni kuchangia.
NB This is true story

mwanamke alipaswa kumtaarifu aliyemfungisha ndoa baada ya kugundua tatizo hilo kwa sex is impossible na ndoa ingevunjwa haraka....it is allowed hata kiroho. Hata hivyo anaweza kufuata utaratibu huo na manaume akikiri mbele ya mfungishaji wa ndoa yao-padri, mchungaji...hiyo ndoa itavunjwa na mwanamke anaweza kuolewa. Hakuna sheria ya kuwafunga hapo, maana ndoa bila tendo la ndoa si ndoa.
 
Nawaza sana imepasukaje huko kichwani.

Hivi, hawawezi kutumia ile stail ya gulion katerero? Ila ndio for life?
 
Embu fafanua kidogo hiyo deformity ina maana ana vichwa viwili kwenye dusherere yake au?
 
Back
Top Bottom