Ukweli mimi huwa sijui inakuwaje mpaka mtu anakuwa Attractor.
Wanasema beauty is in the eye of beholder (hii naiamini kabisaaaaaaa)......
lakini unaweza kushangaa mtu unajiona wa kawaida tu lakini hali inakuwa mbaya sana......
kuna siku niliwahi kusema hapa nachukia sana kutokewa wengi hawakunielewa kwa nini.
Kikawaida mimi ni mpole sana, na huwa sio muongeaji sana hasa kwa watu ambao siwafahamu.
naweza kusafiri Dar mpaka Moshi kwa basi nikaishia nikamsalimu tu seat mate wangu, labda awe muongeaji sana na anilazimishe sana kuongea naye......
tabasamu ndo kabisaaaaaa, huwa natabasamu tu nikikutana na mtu ambaye namfahamu. zaidi ya hapo huwa sina tabasamu usoni, lol!
kitu cha ajabu, kuna siku nilikaa na baba mmoja kwenye basi, kumsalimu, na kiuhakika sikuwahi kumwona sehemu, lakini aliniambia kitu ambacho kila mara nakikumbuka, na alikuwa sahihi kabisa
ha haaaa, nilijua tu utalazimisha kumalizia story......
ndo imeishia hapo hapo shosti, lol!
Shikamoo babu!Alikwambia nini kwani??
Babu DC!!
yani umijuaaaaaaaje!I know, yaani ni kuongezea limbwata kwa Zombie!
Alikwambia nini kwani??
Babu DC!!
ha haaa, babu alichoniambia kinanifanya tu nijiulize kama nianze kupuliza bangi kidogo au vipi!Unachokoza watu halafu wewe mwenyewe unachukia kuchokozwa??
Babu DC!!
Labda kama hujawahi kabisa kudate ndo hutajiuliza.....Kujua kama ni keeper labda uwe umedate watu kadhaa, sasa kama umedate 2 au 3 utajua kweli kama ni keeper?
ha haaaa, mtajuuuta kunifahamu, lol!Umeona eeh, halafu analalamikia attentions anazozipata. She has kipaji cha kuwaweka kwenye suspense. Lol
Na unaposema 'attractor' sijui kama nakupata vilivyo.
Kuna aina ya watu, akiingia tu mahali watu wanajua yupo na wanavutiwa naye.
Kuna aina ya watu ambao watu huvutiwa kwake baada ya muda.
Mfano, Halima akiingia kwenye jamii, sio kila mwanamme humpapatikia
Ila baada ya kuishi na Halima, wanamme wengi kila mmoja kwa wakti wake anaanza kuvutiwa na Halima, si kwa uzuri sana labda naweza sema sababu ya personality yake. Huyu naye ni attractor?
Umeona eeh, halafu analalamikia attentions anazozipata. She has kipaji cha kuwaweka kwenye suspense. Lol
Halima ni keeper, once ukimjua hutaki aondoke; ila yeye ukimboa anakuacha.
Kujua kama ni keeper labda uwe umedate watu kadhaa, sasa kama umedate 2 au 3 utajua kweli kama ni keeper?
ha haaa, small boy mnamsingizia jamani, mimi sikusema aliniambia mimi, alikuwa anaongea tu na yaliishia hapo..... kweli tenarev mother!
dada mkubwa ni KEEPER na ATTRACTOR
for the record
unakumbuka issue ya small boy mwenye miaka 30
unakumbuka issue ya muchumba anasubiri tu mwaka wa 13 huu
babu Dark City NILINDE!
Labda kama hujawahi kabisa kudate ndo hutajiuliza.....
ila kama umeshawahi kuwa na angalau mmoja unaweza kujiweka kwenye alama fulani...
kama zaidi ya mmoja ndo kabisaaaaa
ha haaa, yaani hata nikivaa mask ntajionea aibu mwenyewe.....