Tujadili: About the love life

Waoh, hapo juu good for you.

Kwa reacher na settler thing, l think I am a reacher! Lol picky picky typo.

Haha..good for u too!!!

someone said, unapofika mahali ukajiona kwa mtu uliye naye unajiona wewe ni reacher na yeye anajiona ni reacher kwako..then you have a perfect relationship! problem ni pale mmoja anapojiona ni settler kwako...imbalance inatokea!!!

Though in reality kuna settler na reacher lakini hilo jamii ya nje ndo inatakiwa ilione hilo...not the two of u!!!
 
kuapa till death do us part is one thing and keeping the vow is another thing.......
labda hapa tuongelee wale ambao wanafanikiwa kufikia mwisho wa safari.......
au siyo Dark City, snowhite, gfsonwin?
 
Last edited by a moderator:
Ukweli mimi huwa sijui inakuwaje mpaka mtu anakuwa Attractor.
Wanasema beauty is in the eye of beholder (hii naiamini kabisaaaaaaa)......
lakini unaweza kushangaa mtu unajiona wa kawaida tu lakini hali inakuwa mbaya sana......
kuna siku niliwahi kusema hapa nachukia sana kutokewa wengi hawakunielewa kwa nini.
Kikawaida mimi ni mpole sana, na huwa sio muongeaji sana hasa kwa watu ambao siwafahamu.
naweza kusafiri Dar mpaka Moshi kwa basi nikaishia nikamsalimu tu seat mate wangu, labda awe muongeaji sana na anilazimishe sana kuongea naye......
tabasamu ndo kabisaaaaaa, huwa natabasamu tu nikikutana na mtu ambaye namfahamu. zaidi ya hapo huwa sina tabasamu usoni, lol!
kitu cha ajabu, kuna siku nilikaa na baba mmoja kwenye basi, kumsalimu, na kiuhakika sikuwahi kumwona sehemu, lakini aliniambia kitu ambacho kila mara nakikumbuka, na alikuwa sahihi kabisa
 
babu mbinu zinatumika na inachosha sana......
imagine na uzee huu kukariri mistari ya kukwepa mishale, lol!
 
aiseeeeeeeee..... Marahaba mke wangu.....{mke wa kaka ni mke wangu pia}

ahahahahhahhhahahhha mweh!
kuolewa uchagani af nikavumilia haya ujue ni credit nyingie hii!lol
fikiria hilo mixer!bombi hii na shimboni!kaka yako ana kazi i see!:yo::A S-heart-2::yo:
 

Mbona umekatikiza shosti?
Hivyo naweza sema ni natural attraction uliyonayo (beauty, honesty look na kababy face) waoh! Wengine unapiga lismile kubwa hilo but where! Lol
 
ahahahahhahhhahahhha mweh!
kuolewa uchagani af nikavumilia haya ujue ni credit nyingie hii!lol
fikiria hilo mixer!bombi hii na shimboni!kaka yako ana kazi i see!:yo::A S-heart-2::yo:

unafaa sana wewe mke wetu.
 
Mbona umekatikiza shosti?
Hivyo naweza sema ni natural attraction uliyonayo (beauty, honesty look na kababy face) waoh! Wengine unapiga lismile kubwa hilo but where! Lol
ha haaaa, nilijua tu utalazimisha kumalizia story......
ndo imeishia hapo hapo shosti, lol!
 
Mbona umekatikiza shosti?
Hivyo naweza sema ni natural attraction uliyonayo (beauty, honesty look na kababy face) waoh! Wengine unapiga lismile kubwa hilo but where! Lol
hata mimi nililigundua hili!
lakini nikaona hebu leo (yan sahiz tu kwenye post hii)niache uchokozi kidogo manake nshanusurika sana vifinyo vya dada mkubwa akiwa anaongea na babu Dark City.asanteeee mwaya kwa kuniulizia!lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…