Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

Habar za muda huu wadau samahani kama kuna anayejua kama matokeo ya usaili wa posts za freelencers tuliofanya tar 15/5 kwenye ofisi za sales DSM, coz walisema after 7 days watakua wametoa majibu nashukuru.
 
Kuna nyuz nyizi hapa JF za kulalamikia taratibu za ajira za tpb.binafsi nilishapost mara 2-3 kulalamikia uozo kwenye taratibu zao za ajira.
 
Hao utumishi nao hawafanyi kazi yao sawasawa walipaswa kutembelea forums km hizi na kupata feedback za wadau, changamoto na vitu km hivyo wao wamejifungia maofisini wanakula kiyoyoz wanasubiri wapelekewe ishu mezani!

Najua wanaruhusu kuandikiwa email afu wanajibu.lakn ukiangalia uzito wa maswali na namna yanavyojibiwa kizembekizembe ni wazi kabisa hawa jamaa hawako serious na nahisi anayejibu ni mtu very junior, kwangu naona hata utumishi ni walewale tu!
 
Binafsi namfahamu yule Mkuu wa HR pale jamaa ni kilaza hujapata kuona nashangaa aliwezaje hata kupata nafasi ile.Jamaa ukiongea naye kwa dkk 2 tu utajua ni mbumbumbu asiye na mfano nikashindwa kushangaa mtu wa namna hii kushika wadhifa ule ni aibu si kwa benki hiyo tu balibkwa taifa.
 
Wana jamvi naleta ushauri huu kwenu mimI binafsi napeleka mashitaka kwenye hii bank ya posta inapotosha umma huwezi amini kinachofanyika pale ni upotoshaji wa umma mfano wanatoa nafasi za kazi ovyo ovyo bila utaratibu maalumu ili mradi waonekane wanatangaza kazi.

Mfano walitangaza nafasi za freelencer email zikawa haziend wakatoa nafasi branch morogoro kimya wakatoa BOF musoma mbeya branch 14 hapo hapo hata dead line haijaisha wametoa nafasi arusha je hii ni halali je hyo anaetangaza kazi hiyo bank amesoma.

Kweli au ndo wale wanaochukuliwa na mjomba form four leaver huu ni ujinga nafungua kesi na hwa jamaa na hii nafanya hivo kama raia kupinga upotoshaji wa umma yaan chombo cha serikali kinaendesha kazi zake kama matapeli huu ni ujinga na mim staukubali ujinga huu msubirie mtaona mabadiliko.

Nenda kalime..kwani lazima uajiriwe
 
Binafsi namfahamu yule Mkuu wa HR pale jamaa ni kilaza hujapata kuona nashangaa aliwezaje hata kupata nafasi ile.Jamaa ukiongea naye kwa dkk 2 tu utajua ni mbumbumbu asiye na mfano nikashindwa kushangaa mtu wa namna hii kushika wadhifa ule ni aibu si kwa benki hiyo tu balibkwa taifa.

Anapenda papuchi balaaaaaa...hahaaaa
 
Hao mbona ndio zao...wanasemaga after 7days matokeo yake wanaita after 100days...mda wote huo huwa wanakaa vikao kuakikisha watu wao wote waliowataka hajasahaulika ata nmoja....ndio wanawafikilia watu wengine...jamaa hawako serious kabisa ndio maana mpaka Leo bado hawajawa full fregde bank. Wapo kwenye group la non-bank deposit taking financial institution..ni sawa na SACCOS tu.
 
Pole ndugu yangu, kimya means haukufaulu. Ila usikate tamaa. Aluta Continua!
 
kama ulifanya tarehe 15 wenzako waliitwa training jana na juzi na wakapewa mikataba yao siku iyo iyo. Ila naisi hawatarudisha mikataba pesa wanayolipwa ni ndogo mno. Just imagine una bachelor yako ulipwe 140,000 hapo mpaka ufikishe wateja 40. chini ya hapo unalipwa 50,000 kwa mwezi.
 
jaman tusisubir tuitwe ktk interview...kama huna hela ya kuhonga au ndugu imekula kwako..sahau kuajiliwa popote pale...
 
Huu ni mshahara Wa mahouse girl na mabar med...pu.mba.fu. zao
 
jaman tusisubir tuitwe ktk interview...kama huna hela ya kuhonga au ndugu imekula kwako..sahau kuajiliwa popote pale...

Wewe acha kuwavunja wenzio moyo wewe baki na kujuana kwako wenzio tunamjua Mungu ambaye ni mweza wa yote na anayetupitisha kwenye magumu yooooooooote.
 
Mnayo yasema si ya kweli,ukiwa competence utapata tu kazi tpb lakini kama uwezo ni mdogo ni ngumu,npo tpb bila hata kuwa na ndugu,comptence matters alot.
 
kama ulifanya tarehe 15 wenzako waliitwa training jana na juzi na wakapewa mikataba yao siku iyo iyo. Ila naisi hawatarudisha mikataba pesa wanayolipwa ni ndogo mno. Just imagine una bachelor yako ulipwe 140,000 hapo mpaka ufikishe wateja 40. chini ya hapo unalipwa 50,000 kwa mwezi.[/QUOTEh]

Hivyo ni viwango vya freelancer na hapo ni b4 tax deduction...usipofikisha watu 40 hata hyo ef 50 bado inakuwa ni b4 tax...wch means inapingua zaid
 
Dah mimi naona ni bora huu mjadala mngeupeleka bungeni naona kila m1 anataka kuajiriwa tpb kwa kigezo kuwa ni mali ya umma! Kwa mtazamo wangu ujumbe hauwafikii tpb kwa sisi kujadili hapa.
 
Mrejesho.. nilipeleka taarifa wakaniambia ngoja wafanya uchunguzi wa intelegensia kwanza wabaini kweli je kuna madudu
 
Back
Top Bottom