Tuishi kwanza..harusi itafuata baadae!

Tuishi kwanza..harusi itafuata baadae!

^^
But lara 1 cheti cha ndoa hakikupi guarantee ya ndoa yenye furaha..i.e umemkataa mnae-match nae kwa kigezo cha kukunyima harusi tu.
Huoni kuwa wapo waliofanyiwa harusi za gharama lakini bado wanasota?
Cc. Heaven on earth Ablessed @FP @Cynithia Chriss
^^

Sidhani kama furaha ilikuwa kwenye mawazo yake; kwake na kwa wengi ni SECURITY zaidi. Halafu by the way things are, looks like ni wanawake tu ndio tunaoshinikiza ndoa (commitment) na ndio maana dhana ya kufujwa inaingia; sijui sisi hatuwafuji au hatuwapotezei muda ninyi?????
 
mwanaume yoyote atakae mwambia mwanamke hivyo ujue tayari kashamuona huyo mwanamke ni mdebwwedo na mpaka mwanaume anamwambia mwanamke hivyo basi huyo mwanamke kakaa kihasara hasara tuu

Na mimi nikikuambia hivyo?
I have done that you know!
 
Hadi muamue kuishi pamoja maana yake mmekwenda mbali. Sio kila boyfriend ni wa kuishi naye pamoja. Halafu, kuna limit ya nini jamii inadictate katika maisha yako; kwa swala la mahusiano ya two mature people f.ck jamii, sijali kabisa. Nimeishi na mtu mmoja tu na kwa more than 3 years na the guy turns up to be no one abuser; na ninashukuru Mungu kwa kuahirisha mara kibao yeye kunitolea mahari na ninamshukuru Mama yangu kwa kuwa alikuja kunielewa mwishoni.

Anyway ni mitazamo tu, na hakuna mtazamo ambao utakugurantee usalama au happiness kwenye maswala ya mahusiano. So ni bora kufanya kile ambacho you are more comfortable na ulichoamua mwenyewe ili usiwe na mtu wa kumlaumu baadaye.

^^
I like that Kaunga Nadhani hata ukomavu wa maisha unachangia kufanya uamuzi.
^^
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama furaha ilikuwa kwenye mawazo yake; kwake na kwa wengi ni SECURITY zaidi. Halafu by the way things are, looks like ni wanawake tu ndio tunaoshinikiza ndoa (commitment) na ndio maana dhana ya kufujwa inaingia; sijui sisi hatuwafuji au hatuwapotezei muda ninyi?????

^^
Nimewahi fujwa pia kwa kupotezewa muda wa thamani.
Binti mmoja amewahi kusema eti bila harusi upendo unayeyuka,,yupo kwao anasubiri harusi but najiuliza uzee unamkimbilia.
^^
 
^^
I like that Kaunga Nadhani hata ukomavu wa maisha unachangia kufanya uamuzi.
^^

Of course, sidhani kama unaweza kumwambia a 22 yrs girl hili akakuelewa maana kila siku anaota akijiona na wedding dress with diamond ring na white roses, akitarajia paradise kama romantic story za Mills and Booms (and they lived happily ever after).
 
^^
Nimewahi fujwa pia kwa kupotezewa muda wa thamani.
Binti mmoja amewahi kusema eti bila harusi upendo unayeyuka,,yupo kwao anasubiri harusi but najiuliza uzee unamkimbilia.
^^
You see, shida ni kwamba wanaume dont come open and share your bitter stories kiasi kwamba mnakuwa branded kuwa ni waharibifu tu na we are always VICTIMS.
 
Hadi muamue kuishi pamoja maana yake mmekwenda mbali. Sio kila boyfriend ni wa kuishi naye pamoja. Halafu, kuna limit ya nini jamii inadictate katika maisha yako; kwa swala la mahusiano ya two mature people f.ck jamii, sijali kabisa. Nimeishi na mtu mmoja tu na kwa more than 3 years na the guy turns up to be no one abuser; na ninashukuru Mungu kwa kuahirisha mara kibao yeye kunitolea mahari na ninamshukuru Mama yangu kwa kuwa alikuja kunielewa mwishoni.

Anyway ni mitazamo tu, na hakuna mtazamo ambao utakugurantee usalama au happiness kwenye maswala ya mahusiano. So ni bora kufanya kile ambacho you are more comfortable na ulichoamua mwenyewe ili usiwe na mtu wa kumlaumu baadaye.

Sometimes tunaishi according to wat seems good to the society. Unaweza fanya kitu unachokiona kizuri kwako kumbe ni kero kwa jamii.
 
Glad to see that word "sometimes" na ninatumaini katika kupima when is the time basi kuna factors za kutosha unazoziangalia, mimi moja wapo ni furaha na kama hicho kitu ni kweli hitaji langu na kama halimuathiri negatively and directly mtu mwingine. So swala la mimi kuamua kuishi na The Boss kabla ya ndoa sidhani kama mtu mwingine atashindwa kupata mkate wake wa kila siku au hata usingizi. ofcourse najua namkosea Mungu according to imani yangu, lakini ni kwa hilo tu ndio namkosea? Ninapoforge receipt ya taxi wakati nimepanda daladala nakuwa sijaiba na kudanganya? Ninapochukua rushwa ili nimtibu mtoto mwenye kuharisha na kutapika nakuwa sijatenda dhambi kwa Mungu na kwa binadamu????
 
Of course, sidhani kama unaweza kumwambia a 22 yrs girl hili akakuelewa maana kila siku anaota akijiona na wedding dress with diamond ring na white roses, akitarajia paradise kama romantic story za Mills and Booms (and they lived happily ever after).

...let the floor say AMEN! ..AMEN
 
Every girl dream wedding but things changes after unbearable life experiences.
 
Ila kuna wadada wanajiweza aisee.... Et anafunga virago anahamia kwa mwanaume kisa anataka ndoa kwa lazima.... Hivi hiyo ndoa itakuwa ni ndoa ya amani kweli hata kama mtafika wakati mfunge ndoa??

Kama ipo ipo tu.... Si mpaka mng'ang'anizane.....

Over my dead body, sitokaa nihamie kwa mwanaume kwa kigezo cha kulazimisha ndoa au ujauzito wa bila kutarajia....

Kama hana mpango wa kukuoa, akikuoa ni mateso na nyumba ndogo za kufikia kwa sababu ulilazimisha ndoa......

Wadada tubadilike!!!!!!
 
charminglady
Kwa maneno rahisi tu unaona waliopitia harusi kabla ya ndoa rasmi,,wanaishi bila nyumba ndogo?
^^
 
Last edited by a moderator:
kuna umri fulani katika maisha, hasa ya mabinti tunatamani sana ndoa/harusi
but there is a time ukishayapitia ya kutosha unaona the sherehe is less important than kupata mtu mkaelewana
hiyo security ya ndoa mara nyngi naona ni ya kwenye papers/cehti
as we can see so may pple wanaachana baada ya sherehe kubwa za ndoa
so to me, kama mnapendana, mnaelewana na mna uwezo wa kuzivumilia zile kero za kila mmoja, na muishi kwa amani
 
Kuna idea nimepata hapa,,kuwa wedding has sth to do with age.
^^
 
yeah
kuna age fulani wanawake wanakuwa obsessed sana na harusi
kuna zile age za kuwa na makundi ya mashost
unamuona shost fulani kavalishwa pete unenda kukomaa jamaa yako nae afanye mambo
mwisho wa siku mnapishana kauli mnaachana
au jamaa anakubali tuu kwa kuwa hataki kukupoteza
harusi nyingi sana unakuta mwanaume kaburuzwa tuu, hakuwa anataka

^^
Kuna idea nimepata hapa,,kuwa wedding has sth to do with age.
^^
 
^^
Asante Nsuri
Lakini sherehe ya siku moja imeleta tofauti gani ktk maisha yako ya ndoa?
^^
Kaka pale hatuangalii sherehe tu, tunaangalia lile tukio na umuhimu wake kwenye maisha. Kitu kingine ndoa ni uvumilivu, sasa kama hamna lile agano katikati yenu, hauwezi kuishi pamoja, utakuta kosa kidogo tu tayari mtu kaondoka. Ila mkiwa mmefunga ndoa, sio rahisi coz kuna process hapo.
 
Back
Top Bottom